bin haroub
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 1,662
- 812
Zanzibar ni kama mkoa kivipi? Mbona wana Raisi wana Bunge wana Bendera wana wimbo wa Taifa ni Mkoa gani mwengine wenye mambo kama hayo?Tanganyika ndio Nini sisi wayanzania hata tukivunja muungano bado tutajiita TZ
Kuoigania maslahi ya tanganyika sawa na kusema tuunde chombo Cha kusimamia maslahi ya mwanaume kamanilivyo kwa wanawake, au maslahi ya Mzungu zidi ya mwafrika, au maslahi na haki ya Mume Kama ilivyo mke nk
Tanganyika ni GIANT kwenye muungano na Zanzibar ni mtoto so haki yakuoiganiwa ni yamtoto ukisema Giant udai haki ni kujizalilisha Zanzibar ni kama mkoa ti kwa Tanganyika/Tz