Wakati umepigika kazi gani ya ajabu uliwaza kufanya?

Wakati umepigika kazi gani ya ajabu uliwaza kufanya?

Garage kuna tabia na mienendo isiyo salama kwa wageni ktk fani husika, wenyewe wanaita kubebeshwa gesi! Kuna bwana alitaka kunipigisha short makusudi kabisa na kifaa kinaitwa magneto.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha mm mpaka leo kushika nya zenye moto siogopagi mkuu kule garage nlikua nashikilia nyaya kabla hazijafungwa kwenye taminal ile kutest self mpaka taminal zinayeyuka na hurusiwi kulegeza mikono wala kusema naungua..ukidhubutu spaner inatua kiunoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliwaza kudanga’ kua kibarua kwa mma ntilie japo zote hizo sikufanya

Ukiwa mwanafunzi tena wa chuo kuna kipindi unapigika haswaaa na ukizingatia msaada wa nyumbani ni mchache Au hamna kabisa.. ni wiki Tatu tu za kufulia ila zilinipeleka nikawa nawaza kaZi nyingi sana hadi kuingia ccm[emoji23][emoji23] kuna ile mikutano wanaccm wanaelewa
 
1- Kuna jamaa nilikua nae kitaa ila yeye anatoka asubuhi (alfajir) kwenye saa 9 alafu anarudi saa 4 asubuhi anatutambia mtaani nikasema huyu jamaa anapiga kazi nzuri sana yaani masaa ma 4 karudi kitaa na mpunga fresh, basi kwa kuwa nilikuwa nimepigika na life nikamwambia jamaa anipe connection jamaa akaniambia kesho asubuhi na mapema njoo Kariakoo mitaa ya Sokoni kuna mtu nitakukutanisha nae.

Basi kesho yake lukwili nikaenda K/koo nikakutana na jamaa kumbe kazi yake ilikua ni kusambaza maziwa kwenye madumu ya Lita 20 unapakia mawili kwenye Baiskeli unawasambazia mama ntilie na vimigahawa vidogodogo vya mulemule K/koo.

Ilikua ni hardwork kwangu mimi maana nilikua si mzoefu kuendesha Baiskeli alafu ukizingatia maeneo ya K/koo jinsi kulivyo kuwa busy na watu asubuh.

Nikamwambia jamaa ngoja nikafikirie basi sikurudi tena

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoto wa mama wewe hiyo kazi mbona ilikuwa rahisi sanašŸ˜€šŸ˜€
 
Niliwaza kutoa tigo tight mpya Ila nikahisi mteja akiwa muhuni akinirusha,haya maisha jamani,usiombe uishiwe hata mkeo unaweza tamani umruhusu achepuke muishi,tufanyeji kazi kwa bidii siku zote za uhai wetu tukiwa na uthubtu wa maisha
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom