Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
Makinika sitaki tena kumroga mtu
Jr[emoji769]
[emoji120]
Jr[emoji769]
[emoji120]
Nipe connection hiyo nkapige kazi babake, sichagui kazi mimi
Ndugu ulifikiria mbali sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Niliwaza kutoa tigo tight mpya Ila nikahisi mteja akiwa muhuni akinirusha,haya maisha jamani,usiombe uishiwe hata mkeo unaweza tamani umruhusu achepuke muishi,tufanyeji kazi kwa bidii siku zote za uhai wetu tukiwa na uthubtu wa maisha
Ni sawa Lin nilijifunza Jambo, muda wote tufanye kazi tuweke akibaNdugu ulifikiria mbali sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi sijawahi kufikiria kazi na nikaiona mbaya. Nikiamua nimeamua kiukweli japo hizi ngumu sana sijawahi kiukweli
Kajojo umecheeeka,
Kuna wakati natamani nikutafute unisimulie vizuri[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]
Sikuingiza pesa kwakuwa sikuzihitaji
Nilisafiri bure
Nilikula bure
Nilikunywa bure
Chochote nilikipata bure kila nilipokihitaji kupitia kitunguli kidogo kama kitufe
Jr[emoji769]
Meuza kuni mimi jamani, mbaya zaidi wanunuzi wanajiongezea kuni, wanalalamika ila namshukuru Mungu kwa kweli nilifanikiwa kuvuka salama kwenye mapito!
Mkuu naweza kuja pm?Njoo na damu mbichi lita na robo nikupatie bure.. Ila hutapata zaidi ya mahitaji ya siku
Jr[emoji769]
Mkuu naweza kuja pm ?
Kwani hapo unakuwa umepigika ama ndio ajira yako?Nimeroga sana na kuuza mizoga ya wafu
Jr[emoji769]
Nipe doti mzee baba
Na wewe una amini? Tumia akili ya kuzaliwa
Kwa hiyo zege sio kazi? 🤧nishapiga zege hapo moshi hatari. achanana kitu kufulia asee
Sifa za kijingaSikuingiza pesa kwakuwa sikuzihitaji
Nilisafiri bure
Nilikula bure
Nilikunywa bure
Chochote nilikipata bure kila nilipokihitaji kupitia kitunguli kidogo kama kitufe
Jr[emoji769]