Wakati umepigika kazi gani ya ajabu uliwaza kufanya?

Hongera kwa intern..ila misha ndo kupambna..hakuna kukata tamaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Daah mkuu umenichekesha Sana kazi ukapata faster tu

House girl(dada wa kazi) Ni binadamu aheshimiwe, apumzike, apewe Uhuru wa kuabudu pia
doh mkuu umenikumbusha mbali sn


.m nliendaga sinzaa kakaa..somewher nkajua n ofic flan ya maana..kumbee jamaa wamepanga nyumbaa fla. hv..nlichomekeaa na mavyeti yang kumbe kaz ynyewe n kuzungusha product zao..cdaah ckurudiaa tena...c kazi mbyaa bt kwa levo yang nlionaa hapana aisee..2. kwenye kiwandaa cha metl kipo morogoro nlipigikaa na mm nkawa naendaa kufatiliaa kupata kibaruaa pale ..posho ilikua 4000 kaa skosei..na bado kuingiaa tu kupata kazi n mziki...sitakagi kukumbukaa hzi mambo n zlishapita..nashkur Mola

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye hii post mkuu unaonekana upo real, post nyingine huwa masikhara mengi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahha ungekataa wali huo mkuu ungerudi unatambaa mana dar njaa inaumaga mpaka unajiuliza na mkoani wanajiskia njaa kiasi hiki?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haha mkuu ukataka uanze kazi hata jumamosi tu,hongera kwa kuwa mvumilivu aise.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee si mchezo,umenikumbusha niliona habari wana wamebeba magunia ya bangi kwenye ambulance ya hospitali [emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo ni rafiki wa kweli,anaelewa Risk zake na hakutaka zipate wewe rafiki yake.Jamaa nimemkubali sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dah huu uzi umenikumbusha mbali sana nilipojikusanya kwenda kufata mercury nyekundu milimani huko morogoro kisha kuisafirisha mpaka congo huko dah nkikumbuka njia nilizopitia mpka inafika congo si kitoto hapo nmeshauza kila kitu ghetto nikitarajia umaskini ndo bai bai dah nafika congo baada ya week 2, dah namfikishia mzigo tajiri sina cent alafu ile tajiri kuuona tu mzigo ananambia ni fake dah pale pale nilizima,kuja kuamka siku ya pili sema nilipiga konde na kujifunza mengi sana kuhusu ile nchi hakika kuna pesa nyingi,kwani wenzetu wengi huwa wanaweka akiba ya dhahabu na siyo pesa kama tufanyavyowengi,siku naondoka nikapewa kiasi fulani cha usd na kiasi kidogo cha dhahabu japo chote nlikiacha boda [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24],dah maisha haya ila bado tunapambana tumepitia mengi sana kiasi cha kufikiria kumuandikia mwanangu kitabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…