Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,366
- 161,495
Nakula madhabahuni mkuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unakula matoleoo
Nakula madhabahuni mkuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unakula matoleoo
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]Heshima yako Mtumishi wa Mungu
Kwa wakati ule ulikuwa ni kupata sadaka ila wengi waliamini ni kuhubiri injili
Nafuatilia kila post yako. Hongera sana. Nakutakia kila la heri.Pamoja sana mamy!...
Mie naamini kuwa ukitoka ulipo kufanikiwa ni rahisi sana! I rem miaka ya 2016-2017 tulijikuta tu mm ma marafiki zangu wa ukubwan km wa5 hv waume zetu wakawa wanafanya kazi sehem moja...bas tukawa na mishe za hapa na pale ufigaji kilimo na kujishikiza kwa ajira isiyo nakipato kizuri .bas mshahara wa wenzetu ukitoka tunatumiana msg chap!!...ili tu kupewa walau kahela kakukidhi mahitaji yako....! Yaan saa1 unakuta sms oya kitu kimetema uanze kueleza shida zako...na bado usitimiziwe hata 20%[emoji1787][emoji1787][emoji1787]! Sikupenda ile hali...shida ikawa kutoka kwenye comfort zone...unafikiria mambo mengiiii plus hofu isiyokuwa na maana![emoji1][emoji1][emoji1]!
Nikaamua kwanza kujitoa kwa lile kundi ....sie wengine tulipigika tulipokuwa ndoani[emoji6]!
Thankyou God!
Namimi nirudie mama...Mie nimeliona km bonge ya deal...naomb niconfirm kwanza...maana niligeuka mwandishi wa habari kuhoji...then ntakurudia...means ukiwa serious kwa siku unapata kuanzia 50!...sio migodini(usiogope)
[emoji32][emoji32] kiongozi..!!Nimeroga sana na kuuza mizoga ya wafu
Jr[emoji769]
Majuu mzee inakuja master moja mnadublicate na kupeleka mikoaniMkuu hizi picha za ngono ni mnagonga copy video kutoka majuu au za wabongo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Vp mkuu unaweza kuanzisha uzi wa stori ya kweli jinsi ulivyofanya hii ishu ya bangi, vp maslahi yake tangu umeanza mpaka ukaacha?Dah maisha haya nakumbuka miaka kadhaa baada ya kumaliza elimu ya msingi nikashindwa kuendelea japo nilipenda kusoma ila sikuwa na kitu nikaingia kuchimba kokoto maeneo ya kunduchi dah jua kali ila ninakomaa tu nikapata ka elf 20 ndio nikapewa mchongo wa kusafilisha bangi kutoka masasi na hapa ndio nilipopata mwanga wa maisha mpk sasa hivi nipo vyema japo biashala hiyo nishaiacha miaka 6 nyuma ila nashukulu Mungu miladi niliyonayo inanifanya niishi kidon mjini hapa na kuheshimika juu
Wee toa tu sisi tuko tayari kwa loloteNgoja nijiridhishe kwanza .nisije pewa malalamiko
Alafu ww mishe yako ile ukisimamia fresh mbona mwaka tu unatkka!?..ntakuja na jibu
Sawaaa fanya kweli mkuu.Alafu ww mishe yako ile ukisimamia fresh mbona mwaka tu unatkka!?..ntakuja na jibu
Poua ndugu ni story ndefu ila panapomajaliwa nitatoa story yote mana mie nimesota tangu umri wa miaka 14 mpk sasa ikiwemo kuona akina mama wanabakwa pale keko mataa nkVp mkuu unaweza kuanzisha uzi wa stori ya kweli jinsi ulivyofanya hii ishu ya bangi, vp maslahi yake tangu umeanza mpaka ukaacha?
👀
Garage kuna tabia na mienendo isiyo salama kwa wageni ktk fani husika, wenyewe wanaita kubebeshwa gesi! Kuna bwana alitaka kunipigisha short makusudi kabisa na kifaa kinaitwa magneto.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahaa KK SECURITY niliwahi kwenda kuomba kazi wana ukiritimba sana walinipitisha kwenye ubao wao flani hivi unatakiwa uuguse sasa mimi nilikua chini ya hapo wakanikataa, daah niliuzunika sana.Nafanya KK ( GardaWorld )
Hizi kazi huwa ni mapito tu na siyo sehemu ya kufanya kwa muda mrefu.
Zikifika mwisho zenyewe, achana nazo. Usitumie nguvu kubwa sana kulazimisha kubaki kazini, kwasababu ni kazi za hatari na zisizo na future.
Binafsi, Nilitaka kupumzika mwaka jana mwezi wa 6 ila nikaona nifanye mpango kwanza nikope kama 1.6M then niilipie kwa kutumia kazi hii mpaka mwakani mwezi wa 3, then nishanye mambo yangu mengine.
Mwaka jana nilijitutumua nikalima mihogo kama ekari 6 haikurudi hata 100 !
So, Challenges nyingi sana na kila unapopambana na zenyewe zinaongezeka.
Nyambiza jr
We acha tu.baada ya kupigika niliingia kanisa fulani angalau nifanye kazi ya Mungu , nikagundua sivyo kwani kuna mambo ya ajabu . Nilirudi mtaani na sasa nauza chips na ninaridhika .
Sent using Jamii Forums mobile app