Jama umeaua asee kwamba niliteseka mm...@kidukulilo akija kutoa ushuhuda wake mambo yatakuwa hivi:..
"Nimeteseka sana mimi..
Wakati nimemaliza shule pale IST nikaamua kuliko kukaa bure bora nitafute kazi
Nikaongea na mzee wangu anitafutie connection
Mzee akaniambia kuna issue canada nikasema sawa..
Nimeenda nikakuta kazi yenyewe ni kupanga mafile katika ofisi flani kwa masaa matatu kwa siku
Halafu mshahara wenyewe mdogo tu usd 300 kwa siku, nilisikitika sana...
niliteseka mimi, nyie acheni tu..
Ngoja aje humu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee hujaprint cd 10000 zenye deadline siku moja machine inatoa pc 5 kwa 5 bado hujaweka cover halafu mpo watatu
Mkuu hii imenigusa sana! Mimi nmeanzia kwenye u house boy pia.Ambao bado tupo kwenye stage ya kupigika nadhani tunaruhusiwa hapa!
Ni mwaka 2017 tu hapo mzee katimuliwa kazi hapo ndipo kila kitu kilipoharibika na nipo chuo,hapo niliuza hadi viatu na nguo mradi tu kitabu kiemde.
Hapo deni la ada linasoma 2.3mil...nikauza kila kitu cha thamani deni likasoma 1.1mil..na mwaka wa kuhitimu 2018 march huu hapa!!...na hii ni mwezi February!!!
Sijakaa vizuri barua hii hapa tayari nishatupwa nje ya chuo aisew wiki 2 kabla ya final..nilipambana mno bila mafanikio ikabidi tu nirudi chuoni na kuwapigia magoti hadi wakaniruhusu kuattend final kwa sharti la kushikilia vyeti hadi niwalipe chao...
Kuingia kitaa pagumu mno pagumu kwelikweli...kuna muda mtu mnakaa hata two days no chakula..msoto zikawa sio pasi ndefu tena bali crosi kabisa!
Nikaanza na kubangua korosho kiwanda fulani hivi...ndoo ndogo hii ukishabangua ukaijaza bado wanachambua zile zilizojeruhiwa hata kuparuzwa tu hazihesabiwi unakuta umejaza ndoo ndogo ila znazopimwa ni nusu ndoo tu....mbaya zaidi ukute unajaza ndoo mpja na nusu kwa wiki hivyo mwisho wa wiki unakuta una 6000 taha on hand..hapo inakulazimu tu kuchapa mguu huwezi toa nauli kwenye 6000 tshs issue ya kula ni pasi ndefuuuu...
Ilikuja kunishinda baada ya kuwa natapika kila nikivuta hewa na fukuto la mafuta ya korosho hivyo nikafurushwa..hapa nikaanza kusomba mchanga na kuuza kwa tshs 200 kwa kiroba,kubeba tofali,saidia fundi...muda kidogo nakuta mwili unazidi kuwa dhaifu hivyo nikastop vibarua vya kutumia nguvu.
Kwa vile fieled yangu ni mwalimu nikaanza kufundisha tuition pale home kila kichwa ni tshs 200 kwa siku na nilibahatika kuwa na vichwa 12...kazi ikafanyika na maisha ilibidi yaendelee tu.
Hivi karibuni kuna mmama kanipa kibarua cha houseboy...natamani iwe stori tu lakini kumbe ndio nipo katikati ya stori!
Sent using Jamii Forums mobile app
Noma mzee..halafu lazima utest kua mzigo upo vizuri..hatari sanaBora Siku hizi kuna hata hizo Duplicator za milango 5, na printer za epson zilizo na original CISS. Mkuu zamani tukikuwa tunatumia desktop computer ku Burn CD CD moja moja, na HP kuprint CD moja moja . Nero ndio ilikuwa kiunganishi mhimu hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna muujuzi ulijikosesha usingetoa hela ungemkabidhi shehe swadaka halafu ukamueleza hali yako nadhani ungesaidiwa pakubwa sana ....
Tatizo lako nn cm c yangu .....Wewe, kwani huwezi kuandika herufi sahihi!?
Kama muvie vile kumbe ndio uhalisia yani.Nakumbuka nimemaliza chuo2008 ,nikawa nipo tu home kila siku asubuhi baba wa kambo anafoka sana , na kuanza kutuambia msidhani mpo kwenye urithi wa malinzangu
Maneno yale yalikuwa yananiumiza sana ikanilazimu kwenda kutafuta kazi ya bar , nikawa counter pale kwenye bar
Yaani ugomvi matusi , kudharauli yote yakawa yangu ...usiku nalala mlemle kwenye bar sikutaka kirudi home kwa maneno yale ya mzee wetu!! Ila kazi ikawa na changamoto ukitembea tu na bamedi (sex)dharau zinaanza
Kipindi nipo pale bar nikabahatika kufahamiana na askari game watatu !! Wakawa mabest sana yaan hata kama hawana hela nawadhamini wanakunywa bia ,mwisho wa mwezi wanalipa ....
Wakanipa wazo si tuwe tunaenda na ww kwenye doria tukipata kitu tunakupa kidogo nikawaambia poa!! Ilikuwa ni kambi ya KIJERESHI
Ikawa ikifika uck km siku ya doria namuachia mdogo wangu wa pili ananisaidia kuuza pale bar ,maana tulikuwa kama makinda tukiugua mzee mara agome kutupeleka hospital ,nguo alikuwa hataki kbs ..kutuona tumevaa nguo nzuri [emoji24][emoji24][emoji24]
Tukawa tunaenda doria tukikutana na watu wameingia kwenye eneo la hifadhi tunawanyanganya kuni ,baskeli na kipigo juu kazi yangu ilikuwa kuigiza mizigo kwenye gari .....
Siku moja moja na wao walikuwa wanawinda nyati ,swala au nyumbu wananipa nyama naiuza ...napata hela kidogo kidogo natunza
Nilipokuwa mzoefu ......nikamfata gemu mmoja jina kapuni nikamwambia sasa si unifundishe kutumia bunduki tukawa tunaenda porin wananifundisha shabaa tukiwa tuna winda ..nikawa konki wa L4 ,kuitumia akanifundisha kuifuta na kuifungua
Baadae nikatafuta ya kukodi kwa mtu x alikuwa nayo na lisasi alikuwa akiniuzia moja sh 15000/- imeandikwa mzinga .ganda jekundu ..na zilikuwepo za kupigia tembo ganda jeusi ....ukimchapa na hiyo anaanguka
Nikaanza uharamia wa kuingia porini kwa kuwa nilikuwa na ratiba kamili ya askari game kufanya doria , nikawa nikikutana hata na mzoga wa mnyama nauchukua naupaka chumvi nyingi naukausha juani halafu ...nikirudi mjini natembeza mji kwa mji nyama ya porini watu walikuwa wakiipenda sana iliitwa vimoro
Nilitengeneza hela sana !! Tamaa ikanizidi bwana wakaja wasomali walielekezwa kuwa wakija kwangu hawatakwama njia nyingi nazijua
wanataka niwapeleke porini walikuwa na warundi na land cluzer ambayo ilikuwa na turbo na matenk mawili ...wakiwa na bunduki A.K 47 , NAbunduki moja inastand na mkanda wa risasi wakanilipa dola 250
Walikuwa na gari mbili kenta na land cruser tukaenda nao bwana tukapitia kijiji kinaitwa kijereshi tukaingia kwenye hifadhi ya serngeti
Ilikuwa mida ya saa moja saa tatu usiku jamaa walikuwa wana mwaga risasi kama karanga hawaangalia mnyama mkubwa mdogo !!
Baadae wakawa wanachambua wanyama wanatupia kwenye kenta mpk ikajaaa , kumbe askari game walisikia milio ya risasi wakaja aise ......zilitembezwa risasi na wale maharamia wa kisomali bunduki ilikuwa inashikiliwa na watu wawilo ....
Game wakazidiwa kabisa tukaondoka tukarudi mpk lamadi wakaniacha mida ya saa 8 usiku wakacha mwendo tokea hapo nikahapa sitakwenda porini
Maisha haya nikajikuta nimetengeneza km m1 ....yaani mpk naenda kulipot kazini tarehe 1-09-2009 ..
Nikawa nipo vizuri sana
Mafanikio ya mtu yanatengenezwa na kujitoa sadaka !! Siwez kusahau
sent from toyota Allex
Haaaaa 😂 halulaaaTatizo lako nn cm c yangu .....
Sent using i phone x
Baada ya mwaka ntakuja kuwapa story ya kazi nyingine ya ajabu. Naenda kuanza kesho [emoji23]. Kweli kua uyaone
Sent using Jamii Forums mobile app
How does that work? Zinauzwa kg sh ngap?Aaaa mimi niliamua kuwa muuza chuma (sklepa), niliiba chuma za watu sanaa
Kipindi hicho ilikua kilo sh. 400 au 350 i think hadi sasa.
Binafsi kuuza nyumba ni hatua ya mwisho kabisa, tena sio kukosa chakula, nitauza kwa kitu kingine sio chakulaBaada ya muda mrefu kutaabika nkajikuta Sina kila kitu!yaani from hero to zero!!kitu pekee nlikua nimebaki nacho ni nyumba ila Sasa utakula nyumba?lazima maisha yaendelee! Nkauza nyumba nipate msingi Cha ajabu mtu aliyenipa wazo la biashara mpya ndie alinunua nyumba tena kwa kuilipia nusu nusu nkajikuta pesa imeisha na Niko ndani ya hiyo hiyo nyumba!!nkageuka kuwa mpangaji akaanza kuniomba Kodi ya nyumba
Sent using Jamii Forums mobile app
Kilo 10 4000/= na vile chuma ni nzito. Pole sana.Kipindi hicho ilikua kilo sh. 400 au 350 i think hadi sasa.