Wakati umepigika kazi gani ya ajabu uliwaza kufanya?

Garage kuna tabia na mienendo isiyo salama kwa wageni ktk fani husika, wenyewe wanaita kubebeshwa gesi! Kuna bwana alitaka kunipigisha short makusudi kabisa na kifaa kinaitwa magneto.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha mm mpaka leo kushika nya zenye moto siogopagi mkuu kule garage nlikua nashikilia nyaya kabla hazijafungwa kwenye taminal ile kutest self mpaka taminal zinayeyuka na hurusiwi kulegeza mikono wala kusema naungua..ukidhubutu spaner inatua kiunoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliwaza kudanga’ kua kibarua kwa mma ntilie japo zote hizo sikufanya

Ukiwa mwanafunzi tena wa chuo kuna kipindi unapigika haswaaa na ukizingatia msaada wa nyumbani ni mchache Au hamna kabisa.. ni wiki Tatu tu za kufulia ila zilinipeleka nikawa nawaza kaZi nyingi sana hadi kuingia ccm[emoji23][emoji23] kuna ile mikutano wanaccm wanaelewa
 
Mtoto wa mama wewe hiyo kazi mbona ilikuwa rahisi sana😀😀
 
Niliwaza kutoa tigo tight mpya Ila nikahisi mteja akiwa muhuni akinirusha,haya maisha jamani,usiombe uishiwe hata mkeo unaweza tamani umruhusu achepuke muishi,tufanyeji kazi kwa bidii siku zote za uhai wetu tukiwa na uthubtu wa maisha
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…