Wakati umepigika kazi gani ya ajabu uliwaza kufanya?

Kwa hiyo tangu ulivoondokaga kwa mama hadi leo hukuwai kurudi au kuonana nae? Vip mzee wako hukuonana nae tena?
 
Ulikuwa Unapata mshahara mkubwa sana, mbali na kusomesha itakuwa ulikuwa unakula starehe kwa kwenda mberee
 
Kwa hiyo umepakia sana mchanga mweupe mlolo kwa yuzo, mawe mliman kwa kingwendu...... kama nakujua hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ususaau Mkuu msoto baada ya chuo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaa, we baharia nimejaribu kuunganisha dots hapa , huyo Mary mlikuwa naye miaka ya 2008 kushuka chini bila shaka....
 
HELA NDOGO SANA HII
kwa miaka 9 ni arround milioni mia tatu,
kwa mwaka ni arround 33.6 milioni
kama unasomesha wadogo zako watatu diploma, na umepeleka watoto wako nursary, nyingine kwenye ujenzi, harambee kanisani, michango ya harusi, kununua ka gari na kukahudumia, hamna hela hapo
 


Ila hii ya kisomesha ndugu inaumiza sana....! Huu mwaka km kuna ndugu atakula hela yangu ni mama na baba!ndugu hata umsaidieje hanaga ht wema kwako!
Shenzi sana sijui y!
 
WEWE NDIO WALELE.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matumizi ya mshahara wa 2.8
Kodi ya nyumba 300,000,
Servive ya gari 100,000,
mafuta ya gari 150,000,
mizinga ya wana ukoo 30,000
Matumizi ya jikoni 400,000,
Breakfast na lunch kazini 200,000,
Luku na Maji 80,000,
Ada ya mtoto shule za awali within miaka 9 utakuwa na watoto 3 (300,000)
house girl 50,000,
nguo viatu kiwi,kunyoa ndevu 50,000,
vitu vya kuchezea watoto 20,000
kuwatumia wazazi 100,000,
vocha kila mwezi 20,000,
harambee za kanisani 50,000
Pesa ya wife matumizi yake 200,000
majukumu ya kijamii (harusi) 50,000
matibabu 60,000

ukiwa na kamchepuko kila mwezi ukikagonga mara mbili geti tu uwe na 80,000, hakajala, etc
 
Matumizi ya kizembe na kijinga yaani yaani unaona uko sahihi kabisa kuandika list ya matumizi yasiyo na maana.

2.8 ni pesa nyingi sanaaa kwa scale ya maisha ya Tz na umasikini wa familia zetu unless utokee familia ya MO hata uwe unasomesha na ujue hakuna asiye somesha mimi nishasomesha sana...alichofanya jamaa na wewe ni uharibu wa pesa.

Salary kama hiyo 2.8 mimi sio miaka 9 huko miaka 2 tu na Triple ×3

Una toka kwenye salary hiyo unaachishwa kazi tu unagombania kazi ya 90000/= kwa mwezi kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee alifariki baada tu ya mwaka mmoja tangu nitoke Dodoma,mama nilikuja kuonana nae 2011,na kipindi chote hicho nilikua sijawahi kuwasiliana nae.
Sijamuona tangu hapo.
Kwa hiyo tangu ulivoondokaga kwa mama hadi leo hukuwai kurudi au kuonana nae? Vip mzee wako hukuonana nae tena?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mi mwenyewe nikahisi sijui hesabu au Kiswahili kimenipotea, mshahara 2.8M kwa mwezi miaka 9 halafu akastaafu hana kitu kaambulia ‘pensheni’ 4M tu.... still scratching my head.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…