Du mkuu umepitia magumu sana. Sasa huko garage walikuwa hawakulipi kwa kuwa ulikuwa unajifunza kwao bure? Ama kweli watu wana roho mbaya sana hapa nchini[emoji32][emoji32][emoji32][emoji32]Mimi sio kuwaza tu bali nlipigika tena nikiwa mdogo..
Ipo iv baada ya kumaliza la saba nlikataa kuendelea na shule nikazamia mjini nkapata kazi mshahara kwa mwezi 15k nkapiga kama mwaka nikawa na 180kb nkaona hyo kazi inanipotezea mda nkachukua hyo 180kb nkaenda lipia driving school nikiwa na miaka16 tu
Nkasoma kwa miezi kadhaa nkachukua cheti ila leseni nkaambiwa umri na kimo vinapishana na sheria za nchi,hapo iliniuma maana lengo langu lilikua nipate leseni nikatafute kazi ya kuendesha tax.
Nikarudi mtaan nmekaa kama siku mbili wazo likanijia niende garage nkajifunze kutengeneza magari huko ndio nlikutana na binadamu wasiokua na huruma ata chembe kwanza kumbuka hapa kabla ya kuruhusiwa kujifunza kuna form anatakiwa kujaza mzazi wako ili ata jek likifyatuka huko ukafa wao hawatahusika kwa chochote..
Nakumbuka nlipigika unaingia garage saa12 asubuhi ukiwahi sana kutoka ni saa5usiku na hulipwi ata mia ya pipi..
Gari lumekata spring ikichomelewa unatakiwa kuibeba mda huo huo haijalishi imepoa au haijapoa kuna siku sijui ni lichuma gani lizito lilikuja chomelewa af mm nlikua nmetoka ile narud tu nambiwa sogeza ilo chuma huku,kuja kushika nliungua mpaka ngozi za viganja zikabaki kwenye chuma..wala jamaa ni washenzi sana!
Kesho yake sikwenda garage nlibaki nyumban naugulia maumivu mda wote npo na ndoo ya maji barid nmeloweka huko mikono maana ilikua inawaka moto mbaya..
Baada ya siku mbili nkarudi kwa mwajiri wangu Wa 15k kwa mwezi mikono nyuma kama mateka akanihurumia nkaingia kazini japo sikuipenda ila sikua na chaguo tena..
Now wale walionitesa garage mm ndio mteja wao ata kama ni kopo la castle..
Sent using Jamii Forums mobile app
Haulipwi mkuu tena mbaya zaidi kila mwezi nilitakiwa kulipa ada ya mafunzo japo hawakua na mkazo sana, pale kuna jamaa nlimkuta nae anajifunza ila alikua hapewi kazi ngumu na akiacha kuja garage hasemeshwi kuja kuuliza nikaambiwa jamaa kwao kuna mpunga mrefu ila wapo wilaya nyingine kwa hyo pesa ya matumizi inatumwa kwa fundi jamaa anapata anachotaka nae fundi anajiongezea hapo za kwake.Du mkuu umepitia magumu sana. Sasa huko garage walikuwa hawakulipi kwa kuwa ulikuwa unajifunza kwao bure? Ama kweli watu wana roho mbaya sana hapa nchini[emoji32][emoji32][emoji32][emoji32]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu,me sikupi pole...nakupongeza we ni mwamba aiseee, nakuombea Mungu aibadilishe kesho yako.Basi wakuu,nilipoenda chuo nikaendeleza harakati zangu,nilikua nauza nguo,kofia,sabuni hasa hasa manjano akina dada wanazipenda sana hizi,liwa,n.k. Nikawa dalali wa simu na assets mbalimbali. Yani nilikua bize haswaa muda wote kichwa yangu inawaza pesa tu,japo mkopo sikukosa japo kwa asilimia kadhaa,hapo mixer niliambatanisha vyeti vya vifo vya kutosha,yani full viambata.
First year mapema semester ya pili nikajichanga vijisent vyangu vya mtaa na nyingine nyingine nikachukua boxer mpyaaaa!!! then nikamuachia mwanangu Yuzzo kitaa apigie kazi.
Mikosi ikaanza upyaa...
Third year final semester nikaibiwa hiyo pikipiki,wahuni walikata rock wakatembea nayo,(kilikua ni kitendo cha kuingia ndani na kuchukua koti,kutoka nje wameacha alama tu za matairi chini. Daah niliumia sana but nikapiga moyo konde. Hapo katikati sijasimulia jinsi miradi ya saloon,chips na mitumba ilivyokufa kisa wana,sitaki story iwe ndefu.
Msoto mkali baada ya Chuo.
Basi wakuu,nikamaliza chuo then nikarud kitaa kupambana,hapo sina A wala B,kila kitu kimepukutika,nina akiba tu kiasi. Nikajaribu kucheki upepo street nikaona pagumu, nikapata wazo la kwenda kuuza moja kati kiwanja changu nje kidogo ya mji(hivi nilinunua bei ya mbuzi kipindi cha ufreelancer wangu,sehemu fulani panaitwa Kitasengwa).
Sikua na namna nikauza then nikamchek mwanangu fulan yuko Mbeya tukazama bush kwako kuchek mali nije nayo town (kosa kubwa kutokusoma alama za nyakati) daah mvua ikaharibu kila kituuu!! Tukakwama bush kama week mbili nikajikuta nazidi kuishiwa tu na hakuna tumaini la kuokoa mzigo.
Niko bush nahangaika napata taarifa huku getto wameiba kila kitu!
Daah wakuu! Nilitamani hata nitoweke tu duniani,nikajiona si kitu mbele ya uso wa dunia! Nikawaza mengi sana! Why Mungu ananiacha nitaabike hivi?
Nilidhoofu sanaaa,sikua hata na hamu ya kutafuta pesa tena! Nikajiona ni mtu nisiepiga hatua katika maisha. Yani bush nmekula loss na huku town wameniliza kila kitu daah wakuu!!
Kwa kifupi nilichoka nikachakaa,hali ikazidi kuwa mbaya nikaona bora nirudi kwa jamaa wa TIGO,jamaa wakanipa mashine zile za kusajilia line kwa alama za vidole "FAMOCO" kidume nikaingia kitaa daah!
Nikaona hapa hakuna namna wacha nipige kazi,issue nzuri ni kuwa mtu akiniona alikua anadhani either nimetoka makao makuu au niko kitengo tofauti na kile cha kusajili,hapa nazungumzia usmart,convincing,e.t.c. So nilipiga noti kwa kiasi fulani mpaka December 31 nilikua nishapata kianzio nikaachana na ile kazi, ijapokuwa kwasasa bado sijakaa sawa kabisa ila angalau ninacho kianzio.
Hayo ni baadhi tu ya niliyopitia wakuu,jambo la msingi katika maisha ni kutokukata tamaa,haijalishi ni magumu kiasi gani unapitia. Ukianguka usilale hapo hapo,inuka songa mbele kwa umakini zaidi.
Maisha ni kama mshale,ili uende mbali zaidi ni lazima uvutwe sana nyuma,so GOD PULLS US BACK TO SHOOT US FORWARD.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huwa kuna baraka ambayo Mungu ameiachilia kwa wazazi,kwa kuwa Mzee alishafariki na mama inaonekana hamna mawasiliano vizuri yamkini hili linakutafuna.Mzee alifariki baada tu ya mwaka mmoja tangu nitoke Dodoma,mama nilikuja kuonana nae 2011,na kipindi chote hicho nilikua sijawahi kuwasiliana nae.
Sijamuona tangu hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu,me sikupi pole...nakupongeza we ni mwamba aiseee, nakuombea Mungu aibadilishe kesho yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huwa kuna baraka ambayo Mungu ameiachilia kwa wazazi,kwa kuwa Mzee alishafariki na mama inaonekana hamna mawasiliano vizuri yamkini hili linakutafuna.
If you dont mind, Jaribu kumtafuta mama then andaa zawadi ambayo inaweza kugusa moyo wa mama umpatie,kisha sema nae vizuri muombe radhi kwa kumtelekeza muombe akutamkie baraka kisha rudi kapambane. Trust me unaweza pata breakthrough kwenye maisha hadi ukashangaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni ngumu kusema lakini nilishaifanya na mwishowe ikanipeleka jela 😂😂 miezi 7Habari za muda huu wakuu, naimani mko poa na January inaendelea kuyoyoma. Naomba niende moja kwa moja kwenye swali langu.
Kwanza kabisa lazima tukubali kuna muda mtu unapigika na life hadi unaanza kuwaza kazi za ajabu au ambazo hukuwahi dhani utayafanya. Wengine wanafikia maamuzi na wanafanya, na wengine wanaishia kuwaza tu na kabla hawajafanya wanabadili maamuzi au wanapaka kazi nyingine ya kawaida.
Binafsi wakati nimemaliza elimu yangu ya hali ya juu Dar es salaam nilipitia wakati mgumu sana kimaisha kwani sikuwa na wakumtegemea. Nilikuwa napenda sana kuingia JF kujipotezea mawazo.
Siku moja nikakutana na uzi wa jamaa fulani akidai kuwa amepata mchongo wa kuigiza video za kikubwa huko majuu na akadai kuwa yeyote atayehitaji yupo tayari kumuunganishia.
Kiukweli nimelelewa vizuri tu lakini ilibaki kidogo tu nimtafute jamaa aniconnect nizame majuu. Lakini huwa napenda kufanya utafuti wa jambo kabla halijafanyika, hivyo nikazama Google kutafuta undani wa industry ya video za kikubwa.
Nikafahamu mengi sana, faida na hasara, gharama wanazolipa na mambo kibao, mwisho wa siku sauti ndani yangu ikawa inakataa sana hizo shughuli, basi nikaacha nikapambana kutafuta ishu nyingine.
Je wewe ni kazi gani ya ajabu kwako ulifikiria kuifanya kipindi ukiwa huna kazi na life limekunyoosha.
Karibuni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama una kamtaji flani
Ingia kwenye real estates mdogo mdogo, uza na kununua viwanja na nyumba au kupangisha
Ndani ya miaka 5 utakuwa unakula pension kama mstaafu,
Yaani wekeza kwenye business ambazo sio lazima uwepo muda wote
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] huyu mtu natamani aandike kitabu mkuujamaa huwa una visa vya kusisimua sana.ile story ya kung'atwa sikio na lile jitu huwa inanisimua
True that!Ukiishi na jamii vizur ukawa na kauli nzuri na unyenyekevu ni rahisi kupata kazi na huta lala njaa.
Naomba kama ukiweza share experience kidogo. Je, unayasimamiaje mambo ya shule na malezi ya wanao kama mostly uko busy na ratiba za utafutaji ?
I moved your cheese!
Hapana mzee baba kashatangulia mbele za haki alikufa na ujauzito wangu
Sent using Jamii Forums mobile app
🤝🤝 Story yako inahuzunisha.Basi wakuu,nilipoenda chuo nikaendeleza harakati zangu,nilikua nauza nguo,kofia,sabuni hasa hasa manjano akina dada wanazipenda sana hizi,liwa,n.k. Nikawa dalali wa simu na assets mbalimbali. Yani nilikua bize haswaa muda wote kichwa yangu inawaza pesa tu,japo mkopo sikukosa japo kwa asilimia kadhaa,hapo mixer niliambatanisha vyeti vya vifo vya kutosha,yani full viambata.
First year mapema semester ya pili nikajichanga vijisent vyangu vya mtaa na nyingine nyingine nikachukua boxer mpyaaaa!!! then nikamuachia mwanangu Yuzzo kitaa apigie kazi.
Mikosi ikaanza upyaa...
Third year final semester nikaibiwa hiyo pikipiki,wahuni walikata rock wakatembea nayo,(kilikua ni kitendo cha kuingia ndani na kuchukua koti,kutoka nje wameacha alama tu za matairi chini. Daah niliumia sana but nikapiga moyo konde. Hapo katikati sijasimulia jinsi miradi ya saloon,chips na mitumba ilivyokufa kisa wana,sitaki story iwe ndefu.
Msoto mkali baada ya Chuo.
Basi wakuu,nikamaliza chuo then nikarud kitaa kupambana,hapo sina A wala B,kila kitu kimepukutika,nina akiba tu kiasi. Nikajaribu kucheki upepo street nikaona pagumu, nikapata wazo la kwenda kuuza moja kati kiwanja changu nje kidogo ya mji(hivi nilinunua bei ya mbuzi kipindi cha ufreelancer wangu,sehemu fulani panaitwa Kitasengwa).
Sikua na namna nikauza then nikamchek mwanangu fulan yuko Mbeya tukazama bush kwako kuchek mali nije nayo town (kosa kubwa kutokusoma alama za nyakati) daah mvua ikaharibu kila kituuu!! Tukakwama bush kama week mbili nikajikuta nazidi kuishiwa tu na hakuna tumaini la kuokoa mzigo.
Niko bush nahangaika napata taarifa huku getto wameiba kila kitu!
Daah wakuu! Nilitamani hata nitoweke tu duniani,nikajiona si kitu mbele ya uso wa dunia! Nikawaza mengi sana! Why Mungu ananiacha nitaabike hivi?
Nilidhoofu sanaaa,sikua hata na hamu ya kutafuta pesa tena! Nikajiona ni mtu nisiepiga hatua katika maisha. Yani bush nmekula loss na huku town wameniliza kila kitu daah wakuu!!
Kwa kifupi nilichoka nikachakaa,hali ikazidi kuwa mbaya nikaona bora nirudi kwa jamaa wa TIGO,jamaa wakanipa mashine zile za kusajilia line kwa alama za vidole "FAMOCO" kidume nikaingia kitaa daah!
Nikaona hapa hakuna namna wacha nipige kazi,issue nzuri ni kuwa mtu akiniona alikua anadhani either nimetoka makao makuu au niko kitengo tofauti na kile cha kusajili,hapa nazungumzia usmart,convincing,e.t.c. So nilipiga noti kwa kiasi fulani mpaka December 31 nilikua nishapata kianzio nikaachana na ile kazi, ijapokuwa kwasasa bado sijakaa sawa kabisa ila angalau ninacho kianzio.
Hayo ni baadhi tu ya niliyopitia wakuu,jambo la msingi katika maisha ni kutokukata tamaa,haijalishi ni magumu kiasi gani unapitia. Ukianguka usilale hapo hapo,inuka songa mbele kwa umakini zaidi.
Maisha ni kama mshale,ili uende mbali zaidi ni lazima uvutwe sana nyuma,so GOD PULLS US BACK TO SHOOT US FORWARD.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu duniani wana bahati halafu hawajui kuitumia aisee.Matumizi ya kizembe na kijinga yaani yaani unaona uko sahihi kabisa kuandika list ya matumizi yasiyo na maana.
2.8 ni pesa nyingi sanaaa kwa scale ya maisha ya Tz na umasikini wa familia zetu unless utokee familia ya MO hata uwe unasomesha na ujue hakuna asiye somesha mimi nishasomesha sana...alichofanya jamaa na wewe ni uharibu wa pesa.
Salary kama hiyo 2.8 mimi sio miaka 9 huko miaka 2 tu na Triple ×3
Una toka kwenye salary hiyo unaachishwa kazi tu unagombania kazi ya 90000/= kwa mwezi kweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huenda safari haijaisha, subiri unaweza fanya kingine tena😀😀Na mm ngoja nitoe yangu.. huu ni ukweli mtupu
Nakumbuka 2017 nimenaliza zangu chuo, sina kazi wala mchongo wowote mjini..
Siku hiyo nimelala, mida ya saa 4 asbh hivi mshikaji wangu flani wa mtaani akaja geto,akaniambia kuna kazi ya kuchimba choo futi 12... nikavuta kwanza pumzi, nikasema ngoja nikanywe chai, kufika ndani hakuna chai wala mkate..
Mda huohuo nikamtafuta mwana tukaenda kuchimba choo cha futi 12, changamoto ya kazi sehemu hyo ilikiwa na maji maji, nakwambia tulichoka mpka kuyaman kiacha hyo kazi, baada ya siku 2 tukaimaliza, nikapata 60000 yangu..
Nakumbuka baada ya kumaliza kazi, hata lisaa halijaisha nikapigiwa cm ya interview, nikafanikiwa kupata kazi... but siwez isahau hto siku
Sent using Jamii Forums mobile app
vipi mama yako bado yupo na mnawasiliana?Basi wakuu,nilipoenda chuo nikaendeleza harakati zangu,nilikua nauza nguo,kofia,sabuni hasa hasa manjano akina dada wanazipenda sana hizi,liwa,n.k. Nikawa dalali wa simu na assets mbalimbali. Yani nilikua bize haswaa muda wote kichwa yangu inawaza pesa tu,japo mkopo sikukosa japo kwa asilimia kadhaa,hapo mixer niliambatanisha vyeti vya vifo vya kutosha,yani full viambata.
First year mapema semester ya pili nikajichanga vijisent vyangu vya mtaa na nyingine nyingine nikachukua boxer mpyaaaa!!! then nikamuachia mwanangu Yuzzo kitaa apigie kazi.
Mikosi ikaanza upyaa...
Third year final semester nikaibiwa hiyo pikipiki,wahuni walikata rock wakatembea nayo,(kilikua ni kitendo cha kuingia ndani na kuchukua koti,kutoka nje wameacha alama tu za matairi chini. Daah niliumia sana but nikapiga moyo konde. Hapo katikati sijasimulia jinsi miradi ya saloon,chips na mitumba ilivyokufa kisa wana,sitaki story iwe ndefu.
Msoto mkali baada ya Chuo.
Basi wakuu,nikamaliza chuo then nikarud kitaa kupambana,hapo sina A wala B,kila kitu kimepukutika,nina akiba tu kiasi. Nikajaribu kucheki upepo street nikaona pagumu, nikapata wazo la kwenda kuuza moja kati kiwanja changu nje kidogo ya mji(hivi nilinunua bei ya mbuzi kipindi cha ufreelancer wangu,sehemu fulani panaitwa Kitasengwa).
Sikua na namna nikauza then nikamchek mwanangu fulan yuko Mbeya tukazama bush kwako kuchek mali nije nayo town (kosa kubwa kutokusoma alama za nyakati) daah mvua ikaharibu kila kituuu!! Tukakwama bush kama week mbili nikajikuta nazidi kuishiwa tu na hakuna tumaini la kuokoa mzigo.
Niko bush nahangaika napata taarifa huku getto wameiba kila kitu!
Daah wakuu! Nilitamani hata nitoweke tu duniani,nikajiona si kitu mbele ya uso wa dunia! Nikawaza mengi sana! Why Mungu ananiacha nitaabike hivi?
Nilidhoofu sanaaa,sikua hata na hamu ya kutafuta pesa tena! Nikajiona ni mtu nisiepiga hatua katika maisha. Yani bush nmekula loss na huku town wameniliza kila kitu daah wakuu!!
Kwa kifupi nilichoka nikachakaa,hali ikazidi kuwa mbaya nikaona bora nirudi kwa jamaa wa TIGO,jamaa wakanipa mashine zile za kusajilia line kwa alama za vidole "FAMOCO" kidume nikaingia kitaa daah!
Nikaona hapa hakuna namna wacha nipige kazi,issue nzuri ni kuwa mtu akiniona alikua anadhani either nimetoka makao makuu au niko kitengo tofauti na kile cha kusajili,hapa nazungumzia usmart,convincing,e.t.c. So nilipiga noti kwa kiasi fulani mpaka December 31 nilikua nishapata kianzio nikaachana na ile kazi, ijapokuwa kwasasa bado sijakaa sawa kabisa ila angalau ninacho kianzio.
Hayo ni baadhi tu ya niliyopitia wakuu,jambo la msingi katika maisha ni kutokukata tamaa,haijalishi ni magumu kiasi gani unapitia. Ukianguka usilale hapo hapo,inuka songa mbele kwa umakini zaidi.
Maisha ni kama mshale,ili uende mbali zaidi ni lazima uvutwe sana nyuma,so GOD PULLS US BACK TO SHOOT US FORWARD.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mama ndo anatakiwa kumuomba radhi mtotoMkuu huwa kuna baraka ambayo Mungu ameiachilia kwa wazazi,kwa kuwa Mzee alishafariki na mama inaonekana hamna mawasiliano vizuri yamkini hili linakutafuna.