Nashukuru
Nashukuru
Kwanza amemtelekeza mtoto akiwa na miaka 5 kwa Bibi yake,hakua kurudi Hadi bibi anafariki,mpka mtoto anapelekwa kwa Bibi mwingineKwasabbu gani?
Nilikuomba unipe mwongozo pm but naona umedelay kuisomaBaada ya mwaka ntakuja kuwapa story ya kazi nyingine ya ajabu. Naenda kuanza kesho [emoji23]. Kweli kua uyaone
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujaelewa nini maisha haya yasikie tushapata more than hio kwa ten days Leo naandika hapa Sina MB za kutoshaNimerudia kusoma ×5
YAANI UMESEMA
Mshahara 2.8M
Umefanya miaka 9
Mshahara 2.8M
Umefanya miaka 9
Mshahara 2.8M
Umefanya miaka 9
Then umeachishwa kazi huna kitu.
Hivi ni sijaelewa au sijasoma vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo hela ni kubwa mno hata mimi nilirudia kusoma uzi wake mara mbili mbili nisiamini nilichokisoma, naona starehe zilikuwa nyingiFicha ujinga wako hapa hakuna aliyesema asiishi kwenye standards, hakuna aliyesema ajibane matumizi.
2.8M unaweza kuwekeza na still ukaishi standard mtu kama wewe utajali kuishi tu bila kufanya kitu totally, alichofanya jamaa ni Spending totally.
2.8M unahitaji mshahara mmoja tu katika mishahara yako yote ya miaka 9 kufungua hata TIGOPESA ya 1M itauokupa 200,000/= kila mwezi huku umelala...sasa lakini jamaa mishahara hiyo kwa miaka 9 unakuja kufanyishwa kazi ya 90,000/=.
NB: hiyo salary ni kubwa sana huitaji kuhaso kuishi vibaya ili uifanyie kitu hata kidogo tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mamake hakuwa tayari kuwa na. Mtoto ni basi tuKwanza amemtelekeza mtoto akiwa na miaka 5 kwa Bibi yake,hakua kurudi Hadi bibi anafariki,mpka mtoto anapelekwa kwa Bibi mwingine
Haya mtoto kapelekwa kwa baba yake anateswa mpaka anataka kuuliwa kisimani Mama hayupo tuu
Mtoto mpaka anaondoka kwa baba na kupitia changamoto mbalimbali mama asimtafute tuu mwanae
Haya mtoto kaja kumtafuta mama na mambo bado hayakua mazuri
Kweli his mother is EMINEM
Sent using Jamii Forums mobile app
Tofautisha kati ya ten days na 9 yearsHujaelewa nini maisha haya yasikie tushapata more than hio kwa ten days Leo naandika hapa Sina MB za kutosha
@kidukulilo [emoji23][emoji4][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]@kidukulilo akija kutoa ushuhuda wake mambo yatakuwa hivi:..
"Nimeteseka sana mimi..
Wakati nimemaliza shule pale IST nikaamua kuliko kukaa bure bora nitafute kazi
Nikaongea na mzee wangu anitafutie connection
Mzee akaniambia kuna issue canada nikasema sawa..
Nimeenda nikakuta kazi yenyewe ni kupanga mafile katika ofisi flani kwa masaa matatu kwa siku
Halafu mshahara wenyewe mdogo tu usd 300 kwa siku, nilisikitika sana...
niliteseka mimi, nyie acheni tu..
Ngoja aje humu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha tu Mkuu, na Kuna demu anajua Mimi ni 'afisa ' nimeajiriwa Manispaa Kama 'land surveya ' hiyo gia niliingia nayo ili anikubali Kwa sababu ningemwambia ukweli Mimi muuza ubuyu na karanga angenikatalia
🤣🤣🤣sasa je?dah...moyo wangu uliuma!Zile milioni29?
[emoji1][emoji1] shkamoo mwalimu!Hakuna kazi niliyokuwa naichukia na siipendi mpaka kesho japo wanaoifanya nawapenda na nawaheshimu saana! Sitaitaja kiuwazi ila kimaudhui wenye ufahamu wataelewa! Nilikuwa graduate fani tofauti na hiyo lakini nikajikuta natembea na bahasha kuomba toka ofisi moja hadi nyingine mwisho wa siku nikapata kuwapa maharifa form1. I seee! Nilivyokuwa nimepigika na nimekonda nilishukuru saana kupata japo hiyokazi na ulikuwa ndo mlango wa kupambana nikapata kamtaji nikaacha hiyo kazi na kuanza biashara iliyoniwezesha kutoboa kiasi fulani namshukuru Mungu!
Ulikuwa haujapigika kisawa sawa!1- Kuna jamaa nilikua nae kitaa ila yeye anatoka asubuhi (alfajir) kwenye saa 9 alafu anarudi saa 4 asubuhi anatutambia mtaani nikasema huyu jamaa anapiga kazi nzuri sana yaani masaa ma 4 karudi kitaa na mpunga fresh, basi kwa kuwa nilikuwa nimepigika na life nikamwambia jamaa anipe connection jamaa akaniambia kesho asubuhi na mapema njoo Kariakoo mitaa ya Sokoni kuna mtu nitakukutanisha nae.
Basi kesho yake lukwili nikaenda K/koo nikakutana na jamaa kumbe kazi yake ilikua ni kusambaza maziwa kwenye madumu ya Lita 20 unapakia mawili kwenye Baiskeli unawasambazia mama ntilie na vimigahawa vidogodogo vya mulemule K/koo.
Ilikua ni hardwork kwangu mimi maana nilikua si mzoefu kuendesha Baiskeli alafu ukizingatia maeneo ya K/koo jinsi kulivyo kuwa busy na watu asubuh.
Nikamwambia jamaa ngoja nikafikirie basi sikurudi tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kitu hakipo sawa !! [emoji53]Mimi sio kuwaza tu bali nlipigika tena nikiwa mdogo..
Ipo iv baada ya kumaliza la saba nlikataa kuendelea na shule nikazamia mjini nkapata kazi mshahara kwa mwezi 15k nkapiga kama mwaka nikawa na 180kb nkaona hyo kazi inanipotezea mda nkachukua hyo 180kb nkaenda lipia driving school nikiwa na miaka16 tu
Nkasoma kwa miezi kadhaa nkachukua cheti ila leseni nkaambiwa umri na kimo vinapishana na sheria za nchi,hapo iliniuma maana lengo langu lilikua nipate leseni nikatafute kazi ya kuendesha tax.
Nikarudi mtaan nmekaa kama siku mbili wazo likanijia niende garage nkajifunze kutengeneza magari huko ndio nlikutana na binadamu wasiokua na huruma ata chembe kwanza kumbuka hapa kabla ya kuruhusiwa kujifunza kuna form anatakiwa kujaza mzazi wako ili ata jek likifyatuka huko ukafa wao hawatahusika kwa chochote..
Nakumbuka nlipigika unaingia garage saa12 asubuhi ukiwahi sana kutoka ni saa5usiku na hulipwi ata mia ya pipi..
Gari lumekata spring ikichomelewa unatakiwa kuibeba mda huo huo haijalishi imepoa au haijapoa kuna siku sijui ni lichuma gani lizito lilikuja chomelewa af mm nlikua nmetoka ile narud tu nambiwa sogeza ilo chuma huku,kuja kushika nliungua mpaka ngozi za viganja zikabaki kwenye chuma..wala jamaa ni washenzi sana!
Kesho yake sikwenda garage nlibaki nyumban naugulia maumivu mda wote npo na ndoo ya maji barid nmeloweka huko mikono maana ilikua inawaka moto mbaya..
Baada ya siku mbili nkarudi kwa mwajiri wangu Wa 15k kwa mwezi mikono nyuma kama mateka akanihurumia nkaingia kazini japo sikuipenda ila sikua na chaguo tena..
Now wale walionitesa garage mm ndio mteja wao ata kama ni kopo la castle..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ladies roads are always that simple ..Alwayssss!!!Kuna kipindi nilipigika mpaka nikawa sielewi kesho yangu itakuwaje, basi asubuhi moja nikaenda zangu uwanjani kwenye mazoezi kama kawaida, nilipomaliza akanifuata mshkaji mmoja tunafanya nae mazoezi amezoea kuniita sister T, akaniambia natafuta mdad wa kazi za nyumbani! Nikamuuliza mshahara na kazi zake nikamwambia ngoja nikutafutie then ntakupa jibu...
Nikarudi home nikawaza weeee, kazi za ndani nikafanye ya kwenda na kurudi mpaka hapo nitakapopata uelekeo, basi nikamtext mshkaji kumuuliza kama wanahitaji wa kwenda na kurudi akasema hakuna shida maadam mke wake yupo home maana ndio ametoka kujifungua...
Nikamwambia basi mimi nipe hyo nafasi! Kwanza alimute alafu baadae akapiga kabisa na kuuliza, upo serious? Una tatizo gani? Kwa nini umeamua hvyo? Nikajieleza pale akasema hapana, siwezi kukuweka wewe uwe mtumishi wangu aisee! Nilisononeka pale lkn baada ya wiki akaniambia kuna mahali amenitafutia kwny duka la rafiki yake nikajishikize kwa muda mpaka mambo yangu yatakapokuw sawa!! Nikavuka
Duh, ulozi ukiwa huna hela/mishe ndio kazi inayopendwa na watzNimeroga sana na kuuza mizoga ya wafu
Jr[emoji769]
Huenda safari haijaisha, subiri unaweza fanya kingine tena[emoji3][emoji3]
Hiyo ni biashara ya matajiri kapuku kama ww huiwezi...
Yaani sasa hivi ningekuwa na ofisi kubwa tu pale Mbezi beach🤣🤣🤣sasa je?dah...moyo wangu uliuma!
Kashanipiga mzinga wa Kama lakini tano kasoro, nimemwambia asubiri hela zangu za likizo zikitoka tu ntampatia hiyo Laki tano kasoroHiyo gia safi sana mkuu.....ila sasa siku akianza kukuchuna nina wasiwasi atakufilisi mtaji wako wa ubuyu.😀😃😄😁😆😅😂🤣
Mkuu jamaa yupo sahihi sana, 2.8m ni nyingi kama huipati. Ila ukianza kuipata inakuwa ndogo sana. Unashangaa matumizi ya lazima yanaongezeka.
Yaani ukilipwa ghafla unahamia nyumba ya 350,000. Unahamia viwanja standard nyingine, Ndani Dstv premium package n.k
Unampangia mchepuko somewhere.
Hata wewe ukianza kupata hiyo utabadilika tu.
Sent using Jamii Forums mobile app