Wakati umepigika kazi gani ya ajabu uliwaza kufanya?

Nilinunua chupi za kike na sandals nikaenda zangu sokoni tengeru mimi na wifi yangu. tukakodisha meza sh 3000 tukamwaga machupi na maviatu.
Wafanyabiashara wengine wakawa wanatushangaa maana tumepiga pamba jeans zimetukaa vzr na masmartphone makubwaa hlf tumekuja na gari tumepark hapo. Tuliambulia kuuza pair moja ya kiatu sh 4000 tukatoa hela ya meza tukabaki na buku.
Hatukurudi tena.
 
😂😂yule wifi cheupe?haaa...mngekaza na kesho
 
Nilinunua chupi za kike na sandals nikaenda zangu sokoni tengeru mimi na wifi yangu. tukakodisha meza sh 3000 tukamwaga machupi na maviatu.
Wafanyabiashara wengine wakawa wanatushangaa maana tumepiga pamba jeans zimetukaa vzr na masmartphone makubwaa hlf tumekuja na gari tumepark hapo. Tuliambulia kuuza pair moja ya kiatu sh 4000 tukatoa hela ya meza tukabaki na buku.
Hatukurudi tena.

Hapo mngetafuta mpiga debe mkuu, hakika mngeuza zaidi ya hapo
 
Ni biashara ambayo inavutia ukiangalia unaweza kuona kama kesho utatajirika lakini kiukweli ukisoma kwa kina huo utajiri hauonekani, kwasasa sio kitu cha ajabu sana kuna machapisho mengi na video nyingi kuhusu hiyo biashara so kama umevutiwa unaweza kupata maelezo mengi mitandaoni

Sent using Jamii Forums mobile app

Kuna dogo ni millionea SA...!he is just 23! Anatrade mbaya!
 
2011 ilivyostishwa kazi yangu ktk kampuni nilipigika sana nikaamua kukimbilia katika kisiwa kimoja kilichopo ziwa victoria (Ikuza) nikiwa huko nilijikuta nimefanya kazi ambayo ni tamaa ya pesa

niliingia ktk hifadhi taifa ya rubondokinyume na taratibu kwenda kutega samaki usku wa manane nikiwa mgeni mimi pekee wenzangu walikua wenyeji siku nyingi walikua wakiingia ikiwa ndio malayangu ya tatu kuingia tulikamatwa na watu wa dolia gemu

kipondo tulichopewa ni cha mbwa koko miaka mi3jera hadi leo mguu wangu wa kulia una hitilafu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kasenyi kazilantemwa nyarugusu msenyi au lwazi!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli mkuu, unajua kuna vitu unaweza kudhani kwamba huwezi fanya lkn mazingira yatatokea utajafanya
Halafu unajiuliza hivi ule ujasiri niliupataga wapi.
Hongera kwa udhubutu
Ukiwa na shida ujasiri unakuja. Huwa tunacheka sana tukikumbuka ila naweza nikarudia lkn kwa aina nyingine ya bidhaa.
Asante
 
Mimi mpaka leo maisha bado yananipiga chenga.nawaza kutapeli tu hapa nilipo.japo nawatapeli kiakili.

Hapa nilipo nina madeni na sijui nalipaje[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Sent using Jamii Forums mobile app

Unapenda ww kufanya kitu gan..au whts ur hobby!...tumia akili zako za kike kila kitu kitawezekan!...
Unajua hata matapeli inafikaga kipindi ujanja wao unafika mwisho...kila mtu anamjua...utaishije? Omba ht kaz za ndan kwa wahindi wanalipa.nafuu kuliko waafrica
 
Nilinunua chupi za kike na sandals nikaenda zangu sokoni tengeru mimi na wifi yangu. tukakodisha meza sh 3000 tukamwaga machupi na maviatu.
Wafanyabiashara wengine wakawa wanatushangaa maana tumepiga pamba jeans zimetukaa vzr na masmartphone makubwaa hlf tumekuja na gari tumepark hapo. Tuliambulia kuuza pair moja ya kiatu sh 4000 tukatoa hela ya meza tukabaki na buku.
Hatukurudi tena.
[emoji3][emoji3][emoji3] mkabaki na buku ambayo pia sio faida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom