Wakati umepigika kazi gani ya ajabu uliwaza kufanya?

Wakati umepigika kazi gani ya ajabu uliwaza kufanya?

Ha ha ha ha, nikiwa nimepigika kinyama nyama ila nikiwa na bando la jero kipindi Habibu A.Hanga a.k.a "the bold" nilizama kwenye p.m yake na kumuomba anisaidie Kama Kuna sehemu anaweza kuniunganisha, ha ha ha nakumbuka mwishoni kabisa nikasema nina uwezo pia wa kuandika.Jamaa muungwana Sana, nakumbuka aliniuliza Kama naweza kuandika, nikasema yes, jamaa hapo hapo akanipa assignment, akanieleza sehemu ya kupata cha kuandika. Nakumbuka niliandika Bonge la Bulletin hapo hapo jamaa akanikubali na tukaingia Contract bila kuonana kwa makubaliano kila asubuhi niandike Bulletin. Ha ha ha ha, ikawa kila jioni inabidi utafakari chaa kuandika uanze kutafuta and then uandike na hapa nyenzo ilikuwa simu, daa! Nakumbuka niliandika Kama kwa mwezi mmoja na nililipwaga robo ya fedha ya makubaliona, baadae Kuna watu wakawa wanaleta humu jamvini baadhi ya Makala nilizoandika wakati watu wanatakiwa walipie kule whattap jamaa akadai mimi ndo nazileta humu jamvini ndo ikawa mwisho. But by that time nilikuwa nimepigika kweli kweli. "The bold" popote ulipo Mungu akubariki japo hatukuwahi kukutana naamini you are a good man nigga, japo nakudai 150k hadi Sasa ha ha ha ha ha ha, and the last time we made contact nilikuwa nakudai fedha hii ha ha ha ha ha ha ha.

Mkuu habibu Hanga kwanza nakupongeza kwa kumpa ugali kijana ila kuna malalamiko yako hapa!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Dah maisha haya nakumbuka miaka kadhaa baada ya kumaliza elimu ya msingi nikashindwa kuendelea japo nilipenda kusoma ila sikuwa na kitu nikaingia kuchimba kokoto maeneo ya kunduchi dah jua kali ila ninakomaa tu nikapata ka elf 20 ndio nikapewa mchongo wa kusafilisha bangi kutoka masasi na hapa ndio nilipopata mwanga wa maisha mpk sasa hivi nipo vyema japo biashala hiyo nishaiacha miaka 6 nyuma ila nashukulu Mungu miladi niliyonayo inanifanya niishi kidon mjini hapa na kuheshimika juu

El Chapo![emoji1591]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Chief unaweza nipatia mwongozo juu ya forex natamani sanaa hii biashara

mwanabhonga
Ni biashara ambayo inavutia ukiangalia unaweza kuona kama kesho utatajirika lakini kiukweli ukisoma kwa kina huo utajiri hauonekani, kwasasa sio kitu cha ajabu sana kuna machapisho mengi na video nyingi kuhusu hiyo biashara so kama umevutiwa unaweza kupata maelezo mengi mitandaoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni biashara ambayo inavutia ukiangalia unaweza kuona kama kesho utatajirika lakini kiukweli ukisoma kwa kina huo utajiri hauonekani, kwasasa sio kitu cha ajabu sana kuna machapisho mengi na video nyingi kuhusu hiyo biashara so kama umevutiwa unaweza kupata maelezo mengi mitandaoni

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo sio biashara ya kila mtu....
wachache sana ulimwenguni wanatengeneza faida hapo....
ni biashara kama biashara zingine....
mfano leo hii ukisema ukauze mbao ama ukalime ama ukanunue na kuuza dhahabu....
unaweza ukapata hasara.....
at the some time kuna wengine wanatengeneza big profit....
kwenye hiyo biashara ambayo ww umeshindwa
 
Man sijui unashangaa nini, labda kama unatoka familia/ukoo bora. Kwa tuliotoka familia ambazo ukifanikiwa kutoka kidogo unakuwa baba wa ukoo kwenye mahitaji yao hatushangai, yaani wewe unakuwa kama mfereji tu pesa inapita kwenda kwa watu. Mwisho wa siku unabaki bila kitu chochote na ukipata tatizo hakuna anayekuthamini tena ukoo mzima!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambie. Watu tunateseka sana lakini tukikumbuka fadhila tulizopata wakati tunasoma hadi kupata hiyo digrii tunakuwa wapole tu, hakuna namna. Unakuta katika ukoo mzima ni wewe tu uliyesoma na kubahatika kuingia kwenye payroll (ya Magufuli) halafu ukoo wote unakutazama wewe. Na inakuwa kama vile matatizo yao yanaotea wakati ukiwa na hela nyingi na matatizo nayo yanakuwa mengi....unajikuta unagawa mpaka zinaisha unabaki tupu. Na ukiangalia kweli wana matatizo makubwa ambayo huwezi kukwepa. Wewe acha tu, hizi shida zinatutesa sana I see!
 
Kashanipiga mzinga wa Kama lakini tano kasoro, nimemwambia asubiri hela zangu za likizo zikitoka tu ntampatia hiyo Laki tano kasoro
Hahahaha! Wewe endelea kujipigia mbunye taratibu mkuu....ikifika wakati wa likizo utatafuta gia nyengine ya kutokea 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Hahahaha! Wewe endelea kujipigia mbunye taratibu mkuu....ikifika wakati wa likizo utatafuta gia nyengine ya kutokea 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Mkuu mbunye bado Sijapata, Ndiyo nabuni njia ya kuipata mbunye
 
Nahakikisha naongea nao daily hata mara 2!muda wa homework nawaukiza km wamefanya homwrk..nnachoshukuru mkubwa anamsimamia mdg wake vzr sana kuhus shule .maana hakapend kbs kuelekezwa!then monthly narudi na zawad kuanzia anayeandika neat anpata zawadi..siwap zawad za kufanana..so wanakuwa wanashindana!..hvyohvyo siku zinasonga!ila kila siki wanaask mama kwann unanunua mawe??[emoji1787][emoji1787]!/nimeeleza bado hawaelew kbs!
[emoji1][emoji1][emoji1]...uache kununua mawe. Anyways, Asante sana kwa maelezo yako mujaarabu.
Nimejifunza kitu.

I moved your cheese!
 
Back
Top Bottom