Wakati umepigika kazi gani ya ajabu uliwaza kufanya?

Niliwaza kutoa tigo tight mpya Ila nikahisi mteja akiwa muhuni akinirusha,haya maisha jamani,usiombe uishiwe hata mkeo unaweza tamani umruhusu achepuke muishi,tufanyeji kazi kwa bidii siku zote za uhai wetu tukiwa na uthubtu wa maisha
Ndugu ulifikiria mbali sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mimi sijawahi kufikiria kazi na nikaiona mbaya. Nikiamua nimeamua kiukweli japo hizi ngumu sana sijawahi kiukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…