Diana Spencer
JF-Expert Member
- Nov 14, 2018
- 3,611
- 5,173
Nakazia nakaziaMaisha haya!!acha tu,Mungu ndio anajua nlikotoka na anisamehe kwa mambo nloyafanya mpaka kufika hapa.ila Kama ni msoto nshapitia sana tena wa kutisha. Ila amini usiamini hakuna maisha unapata kirahisi rahisi tu lazima upambane sana
@Jael ameelewa!!
Me too.Una tabia mbaya, hata sikupendi[emoji39]
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]@Jael ameelewa!!
Kuna somo kubwa sana ulihitimu hapa ingawa it was unknowingly. I hope Sasa hujutii kupitia hiyo hali... Congrats mkuuMmenikumbusha maisha ya chuo, nipo zangu chuoni na jamaa wanaotoka familia tajiri sana, wao kila mwezi wanatumiwa sio chini ya $300 kwa ajili ya matumizi ya chakula, mavazi na luxuries zingine. Mimi natoka familia ya kawaida sana, maisha ya kawaida sana, nikajisemea nisipochekecha akili nitakuwa zobaaaa. Hivi huku mbali kweli nisubiri pesa za wazee, hapana!!
Nikatoka zangu, nikaenda supermarket moja ilikuwa inabamba sana mji huo, nikaomba kazi wakasema hatuwezi kukuajiri coz huna vibali vya ajira, dadeq níkaona sasa hapa nafeli, pesa naitaka nijikimu na pia nidundulize ili nikimaliza chuo niwe na pesa za kuanzia life. Nikaacha kujichanganya na wana "weusi" manake niliona nikiwa nao nitapoteza mda wangu, nikaanza kutafuta urafiki na classmates zangu "weupe", nikapata kama jamaa wawili na dada mmoja nae hakutokea mji ule. Yule dada akawa rafiki yangu sana ila sikutaka hata kumfanya "kimasihara" coz nilijua nitaharibu. Nikamuuliza kuhusu kazi baada ya masomo, akasema ataniunganisha na jamaa zake nao wanafanya kazi part time. Kweli nikakutana na jamaa, wakaniambia the best option ni kazi za construction, wages ni kubwa kuliko huko supermarket au kusafisha barabara kutoa mabarafu. Nikasema poa nipelekeni, nikapelekwa kuna bosi wa kike na MD wa kampuni ni kidume, yule MD akasema hatuwezi kufanya kazi na "mtu wa namna hii", nikajua tu ngozi yangu inaninyima kazi, bahati nzuri yule boss wa kike alinihurumia, akabembeleza sana kwa MD mwisho nikakubaliwa.
Nikapeleka ratiba yangu ya masomo, wakanipangia kazi kutokana na ratiba zangu. Dadeq sitasahau, nilikuwa nalala mda mchache sana, nikitoka class hata sirudi maskani, naenda site napiga kazi at -25°C, kuna kipindi baridi ilifika -40°C, nimevaa gloves za baridi lakini vidole vinaungua kama napitisha kwenye moto, navaa soksi nzito na buts zenye sufi ndani, lakini miguu inakakamaa, vidole vinakufa ganzi lakini kazi lazima ifanyike, wenzangu wanachapa Smirnoff, Vodka, wanavuta sigara balaa ili kutoa baridi, dadeq sitasahau, ila nashukuru nilibaki vile, nilijaribu kidogo kuonja Smirnoff [emoji41] . Baadae nilikuja kuzoea na kuona ni kawaida sana, wenzangu waliniona bonge la kidume, working at -20 to 35°C nje kabisa ilikuwa ni changamoto kubwa kuwahi kutokea.
Nilivyokaribia kumaliza chuo nikapata kazi kwenye kiwanda cha samaki, life was I bit easier there. Walinipenda sana the way nilikuwa nafanya kazi kwa kujituma, hadi namaliza pale boss alinifanyia goodbye party, na kupewa zawadi. Hapa ndio nilipata kuzichakata punani bila hiana, nilihakikisha nalitendea kabila langu haki[emoji23][emoji23].
Ni kweli kiongozi, naweza kuishi popote mzee!!Kuna somo kubwa sana ulihitimu hapa ingawa it was unknowingly. I hope Sasa hujutii kupitia hiyo hali... Congrats mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Muhenga bila shaka wewe ni muhaya 😄Mmenikumbusha maisha ya chuo, nipo zangu chuoni na jamaa wanaotoka familia tajiri sana, wao kila mwezi wanatumiwa sio chini ya $300 kwa ajili ya matumizi ya chakula, mavazi na luxuries zingine. Mimi natoka familia ya kawaida sana, maisha ya kawaida sana, nikajisemea nisipochekecha akili nitakuwa zobaaaa. Hivi huku mbali kweli nisubiri pesa za wazee, hapana!!
Nikatoka zangu, nikaenda supermarket moja ilikuwa inabamba sana mji huo, nikaomba kazi wakasema hatuwezi kukuajiri coz huna vibali vya ajira, dadeq níkaona sasa hapa nafeli, pesa naitaka nijikimu na pia nidundulize ili nikimaliza chuo niwe na pesa za kuanzia life. Nikaacha kujichanganya na wana "weusi" manake niliona nikiwa nao nitapoteza mda wangu, nikaanza kutafuta urafiki na classmates zangu "weupe", nikapata kama jamaa wawili na dada mmoja nae hakutokea mji ule. Yule dada akawa rafiki yangu sana ila sikutaka hata kumfanya "kimasihara" coz nilijua nitaharibu. Nikamuuliza kuhusu kazi baada ya masomo, akasema ataniunganisha na jamaa zake nao wanafanya kazi part time. Kweli nikakutana na jamaa, wakaniambia the best option ni kazi za construction, wages ni kubwa kuliko huko supermarket au kusafisha barabara kutoa mabarafu. Nikasema poa nipelekeni, nikapelekwa kuna bosi wa kike na MD wa kampuni ni kidume, yule MD akasema hatuwezi kufanya kazi na "mtu wa namna hii", nikajua tu ngozi yangu inaninyima kazi, bahati nzuri yule boss wa kike alinihurumia, akabembeleza sana kwa MD mwisho nikakubaliwa.
Nikapeleka ratiba yangu ya masomo, wakanipangia kazi kutokana na ratiba zangu. Dadeq sitasahau, nilikuwa nalala mda mchache sana, nikitoka class hata sirudi maskani, naenda site napiga kazi at -25°C, kuna kipindi baridi ilifika -40°C, nimevaa gloves za baridi lakini vidole vinaungua kama napitisha kwenye moto, navaa soksi nzito na buts zenye sufi ndani, lakini miguu inakakamaa, vidole vinakufa ganzi lakini kazi lazima ifanyike, wenzangu wanachapa Smirnoff, Vodka, wanavuta sigara balaa ili kutoa baridi, dadeq sitasahau, ila nashukuru nilibaki vile, nilijaribu kidogo kuonja Smirnoff [emoji41] . Baadae nilikuja kuzoea na kuona ni kawaida sana, wenzangu waliniona bonge la kidume, working at -20 to 35°C nje kabisa ilikuwa ni changamoto kubwa kuwahi kutokea.
Nilivyokaribia kumaliza chuo nikapata kazi kwenye kiwanda cha samaki, life was I bit easier there. Walinipenda sana the way nilikuwa nafanya kazi kwa kujituma, hadi namaliza pale boss alinifanyia goodbye party, na kupewa zawadi. Hapa ndio nilipata kuzichakata punani bila hiana, nilihakikisha nalitendea kabila langu haki[emoji23][emoji23].
[emoji23]muhenga kwani nimejisifu sana? Najua jamaa wana majigambo asee, mi natoka Thame mama!!Muhenga bila shaka wewe ni muhaya [emoji1]
Kwenye kuzichakata papuchi nikajua muhaya 😄[emoji23]muhenga kwani nimejisifu sana? Najua jamaa wana majigambo asee, mi natoka Thame mama!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nishazeeka lakini!!Kwenye kuzichakata papuchi nikajua muhaya [emoji1]
Na maini yamezeeka? 😜[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nishazeeka lakini!!
Muda sana, sina tena nguvu muhenga [emoji39]Na maini yamezeeka? [emoji12]
HayaaaaMuda sana, sina tena nguvu muhenga [emoji39]
Duuh! poleNimekesha usiku kucha nikipika karanga za mayai na tambi za dengu kipindi nikiwa chuo ili tuu niweze kujiboost kwa kiasi flani.... Ila mwisho wa siku binadamu wakachukua ka tender kangu ka kusupply bites
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera na pole sana jamaniMmenikumbusha maisha ya chuo, nipo zangu chuoni na jamaa wanaotoka familia tajiri sana, wao kila mwezi wanatumiwa sio chini ya $300 kwa ajili ya matumizi ya chakula, mavazi na luxuries zingine. Mimi natoka familia ya kawaida sana, maisha ya kawaida sana, nikajisemea nisipochekecha akili nitakuwa zobaaaa. Hivi huku mbali kweli nisubiri pesa za wazee, hapana!!
Nikatoka zangu, nikaenda supermarket moja ilikuwa inabamba sana mji huo, nikaomba kazi wakasema hatuwezi kukuajiri coz huna vibali vya ajira, dadeq níkaona sasa hapa nafeli, pesa naitaka nijikimu na pia nidundulize ili nikimaliza chuo niwe na pesa za kuanzia life. Nikaacha kujichanganya na wana "weusi" manake niliona nikiwa nao nitapoteza mda wangu, nikaanza kutafuta urafiki na classmates zangu "weupe", nikapata kama jamaa wawili na dada mmoja nae hakutokea mji ule. Yule dada akawa rafiki yangu sana ila sikutaka hata kumfanya "kimasihara" coz nilijua nitaharibu. Nikamuuliza kuhusu kazi baada ya masomo, akasema ataniunganisha na jamaa zake nao wanafanya kazi part time. Kweli nikakutana na jamaa, wakaniambia the best option ni kazi za construction, wages ni kubwa kuliko huko supermarket au kusafisha barabara kutoa mabarafu. Nikasema poa nipelekeni, nikapelekwa kuna bosi wa kike na MD wa kampuni ni kidume, yule MD akasema hatuwezi kufanya kazi na "mtu wa namna hii", nikajua tu ngozi yangu inaninyima kazi, bahati nzuri yule boss wa kike alinihurumia, akabembeleza sana kwa MD mwisho nikakubaliwa.
Nikapeleka ratiba yangu ya masomo, wakanipangia kazi kutokana na ratiba zangu. Dadeq sitasahau, nilikuwa nalala mda mchache sana, nikitoka class hata sirudi maskani, naenda site napiga kazi at -25°C, kuna kipindi baridi ilifika -40°C, nimevaa gloves za baridi lakini vidole vinaungua kama napitisha kwenye moto, navaa soksi nzito na buts zenye sufi ndani, lakini miguu inakakamaa, vidole vinakufa ganzi lakini kazi lazima ifanyike, wenzangu wanachapa Smirnoff, Vodka, wanavuta sigara balaa ili kutoa baridi, dadeq sitasahau, ila nashukuru nilibaki vile, nilijaribu kidogo kuonja Smirnoff [emoji41] . Baadae nilikuja kuzoea na kuona ni kawaida sana, wenzangu waliniona bonge la kidume, working at -20 to 35°C nje kabisa ilikuwa ni changamoto kubwa kuwahi kutokea.
Nilivyokaribia kumaliza chuo nikapata kazi kwenye kiwanda cha samaki, life was I bit easier there. Walinipenda sana the way nilikuwa nafanya kazi kwa kujituma, hadi namaliza pale boss alinifanyia goodbye party, na kupewa zawadi. Hapa ndio nilipata kuzichakata punani bila hiana, nilihakikisha nalitendea kabila langu haki[emoji23][emoji23].
Ndiwooo auntie@sakayo hawa ndio ulisema unataka eeeh?
[emoji848]Una tabia mbaya, hata sikupendi[emoji39]