Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,387
Pumbaaaaaf; yani umenichekesha khaaa; sikupatii picha na sauti yako ya kiunganishi. Ila shida isikie tu kwa mwenzio[emoji23][emoji23][emoji23] maisha haya ila sikushangai mdogo wangu, mimi nilifikiriaga kuimba...ila nikakumbuka kanisani sijawahi hata kuimba kwaya, nikawaangalia waimbaji ninaowafahamu, walivyostruggle mpaka na hali walizonazo hilo wazo nikalitia kwa dastibin
Sent using Jamii Forums mobile app