Marine creature
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 2,255
- 2,978
Nlipanda mlima,aysee nlikuwa napigwa mzigo mztoo balaa,wenyew wanaita 'mboneka'Kazi ya mlima c poa kabxa kwa afya ya kiumbe yyte
Kwa Hasira ukanywa maji Lita moja na nusu[emoji16][emoji16][emoji16]Kisa changu kinaanza baada ya kumaliza form six shule x jijin Mbeya nikaenda kwa brother huko Dar. Ebwana enhee! Kufika huko nakuta life imebamba kinoma yaani tunalala room moja na kila asubuhi kumi na mbili natakiwa kufuata maji na kuwasambazia wateja majumbani mwao kwa kila dumu kipindi hicho linauzwa 150,ilikuwa shughuli pevu haswa.
Sasa nikabuni utaratibu wangu kuwa mteja maji atafuata geto na si kupeleka kwake,weee broo alikuwa mbogo balaa. Huku nikitafakari nini cha kufanya broo naye aliniahidi kunitafutia kazi,mie nikawa na mzuka wa kazi balaa. Mara naambiwa andika barua kwa anuani hii,haaa nashangaa ni anuani ya makampuni ya ulinzi,nikajisemea moyoni hivi kweli mimi nakarisk maisha kirahisi hata mafunzo ya kushika kirungu sina. Broo akaniongoza kwenda kunionesha ofisi za kamapuni hiyo na kutakiwa kesho yake nikafanye usaili.
Sasa siku iliyofata nilikamata gari huyoo kwenda zangu beach kupunga upepo hata sikusogea lilipo lango lao najioni nikarudi nikiwa na majonzi kibao kuwa wamenikataa kisa mi mfupi kumbe fix tu.
Mbilinge nyingine nikawa nahangaika na matangazo ya kazi magazetini,ghafla vuuup nakuta tangazo la kazi ya marketing katika kazeti sijui ilikuwa nipashe sijui,kidume fastet nikaandika kabarua kangu na kizungu changu cha ugoko huyo mguu kwa mguu mpaka zilipo ofisi zao nadhani mitaa ya tazara kule. Kufika tukapigwa usaili wa kizushi ndani ya dk 5 tunaambiwa kazi mmepata na mnatakiwa mkabiziwe kwa wazoefu wawafundishe kazi kwa vitendo.
Kimoyo moyo najua nimelamba dume kumbe chenga kabisaa,nikakabidhiwa kwa mdada flani na mabeg mawili ndani yamejaa mafuta,dawa za meno ,miswaki n.k tukaanza safari huyo mpaka mitaa ya kigogo huko tukadrop na kuanza kupita majumbani kwa watu na kunadi bidhaa,nikasema mmmmmhh hii ngumu kumeza. Tulizunguka kuanzia saa mbili mpaka saa saba hakuna kitu kilichouzika nikasema mama yangu huku nako choo cha kike na nimeshachuchumaa tayari. Nikawaza hapa nimpige fix takatifu nimtoroke tu huyu dada,kweli nikamdanganya nimeondoka na funguo ya geto wakirudi hawatanielewa kabisa. Kwa shingo upande akaniruhusu niondoke akanipa 200 ya nauli huyooo mpaka geto na jwa hasira nafika nilikunywa maji lita moja na nusu.
Nashukuru Mungu matokeo ya six yanatoka nikawa nimechana fresh nikamshukuru sana Mungu kwa kuniepusha na kikombe kile kwa wakati ule. Mungu ni mwema ile namaliza chuo tu sikuwahi kwenda home nikapitiliza kazini katika shirika y na kuanza kupiga kazi na kamshahara hakukuwa haba na nyumba nikapewa juu
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee hongera sana mkuu,umenifurahisha sana ulivyoandika.Kisa changu kinaanza baada ya kumaliza form six shule x jijin Mbeya nikaenda kwa brother huko Dar. Ebwana enhee! Kufika huko nakuta life imebamba kinoma yaani tunalala room moja na kila asubuhi kumi na mbili natakiwa kufuata maji na kuwasambazia wateja majumbani mwao kwa kila dumu kipindi hicho linauzwa 150,ilikuwa shughuli pevu haswa.
Sasa nikabuni utaratibu wangu kuwa mteja maji atafuata geto na si kupeleka kwake,weee broo alikuwa mbogo balaa. Huku nikitafakari nini cha kufanya broo naye aliniahidi kunitafutia kazi,mie nikawa na mzuka wa kazi balaa. Mara naambiwa andika barua kwa anuani hii,haaa nashangaa ni anuani ya makampuni ya ulinzi,nikajisemea moyoni hivi kweli mimi nakarisk maisha kirahisi hata mafunzo ya kushika kirungu sina. Broo akaniongoza kwenda kunionesha ofisi za kamapuni hiyo na kutakiwa kesho yake nikafanye usaili.
Sasa siku iliyofata nilikamata gari huyoo kwenda zangu beach kupunga upepo hata sikusogea lilipo lango lao najioni nikarudi nikiwa na majonzi kibao kuwa wamenikataa kisa mi mfupi kumbe fix tu.
Mbilinge nyingine nikawa nahangaika na matangazo ya kazi magazetini,ghafla vuuup nakuta tangazo la kazi ya marketing katika kazeti sijui ilikuwa nipashe sijui,kidume fastet nikaandika kabarua kangu na kizungu changu cha ugoko huyo mguu kwa mguu mpaka zilipo ofisi zao nadhani mitaa ya tazara kule. Kufika tukapigwa usaili wa kizushi ndani ya dk 5 tunaambiwa kazi mmepata na mnatakiwa mkabiziwe kwa wazoefu wawafundishe kazi kwa vitendo.
Kimoyo moyo najua nimelamba dume kumbe chenga kabisaa,nikakabidhiwa kwa mdada flani na mabeg mawili ndani yamejaa mafuta,dawa za meno ,miswaki n.k tukaanza safari huyo mpaka mitaa ya kigogo huko tukadrop na kuanza kupita majumbani kwa watu na kunadi bidhaa,nikasema mmmmmhh hii ngumu kumeza. Tulizunguka kuanzia saa mbili mpaka saa saba hakuna kitu kilichouzika nikasema mama yangu huku nako choo cha kike na nimeshachuchumaa tayari. Nikawaza hapa nimpige fix takatifu nimtoroke tu huyu dada,kweli nikamdanganya nimeondoka na funguo ya geto wakirudi hawatanielewa kabisa. Kwa shingo upande akaniruhusu niondoke akanipa 200 ya nauli huyooo mpaka geto na jwa hasira nafika nilikunywa maji lita moja na nusu.
Nashukuru Mungu matokeo ya six yanatoka nikawa nimechana fresh nikamshukuru sana Mungu kwa kuniepusha na kikombe kile kwa wakati ule. Mungu ni mwema ile namaliza chuo tu sikuwahi kwenda home nikapitiliza kazini katika shirika y na kuanza kupiga kazi na kamshahara hakukuwa haba na nyumba nikapewa juu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwaka huu mvua hazitabiriki mfano sasa maharage yashakomaa tayari kuvunwa ila mvua inanyesha yanaharibika ila mwezi wa saba ndio mavuno makubwa bei inategemeana na wingi wa mavuno
niliajiriwa na shombe fulani kutembeza mayai ya kuchemsha, niliuza siku moja, hesabu sikumpa na mayai yaliyobakia tukayala yote na ndugu zangu.Habari za muda huu wakuu, naimani mko poa na January inaendelea kuyoyoma. Naomba niende moja kwa moja kwenye swali langu.
Kwanza kabisa lazima tukubali kuna muda mtu unapigika na life hadi unaanza kuwaza kazi za ajabu au ambazo hukuwahi dhani utayafanya. Wengine wanafikia maamuzi na wanafanya, na wengine wanaishia kuwaza tu na kabla hawajafanya wanabadili maamuzi au wanapaka kazi nyingine ya kawaida.
Binafsi wakati nimemaliza elimu yangu ya hali ya juu Dar es salaam nilipitia wakati mgumu sana kimaisha kwani sikuwa na wakumtegemea. Nilikuwa napenda sana kuingia JF kujipotezea mawazo.
Siku moja nikakutana na uzi wa jamaa fulani akidai kuwa amepata mchongo wa kuigiza video za kikubwa huko majuu na akadai kuwa yeyote atayehitaji yupo tayari kumuunganishia.
Kiukweli nimelelewa vizuri tu lakini ilibaki kidogo tu nimtafute jamaa aniconnect nizame majuu. Lakini huwa napenda kufanya utafuti wa jambo kabla halijafanyika, hivyo nikazama Google kutafuta undani wa industry ya video za kikubwa.
Nikafahamu mengi sana, faida na hasara, gharama wanazolipa na mambo kibao, mwisho wa siku sauti ndani yangu ikawa inakataa sana hizo shughuli, basi nikaacha nikapambana kutafuta ishu nyingine.
Je wewe ni kazi gani ya ajabu kwako ulifikiria kuifanya kipindi ukiwa huna kazi na life limekunyoosha.
Karibuni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pamodz nilipata kadada fulani kasweet kalikuwa nkanaitwa Salma. Kalikuwa na wivu hako, balaa.Umetaja mitaa yangu hiyo mkuu,alienilea alikua humo ndani TRA kwa miaka kama 7 hivi namimi pia niliwahi piga fild apo pia mwaka 2016
kwa kifupi, uilikuwa'' kibaka''Nimeuza sana screpa za home,majembe yasio na mipini makalai,jalo la mkaa.
Mpaka bi mkubwa akawa anahofia sufuria zake.
Mzee wa bh. Bila shaka ulikua mapinduzi dom. Nilikua PCB 2 ya kwanza kabisa ya kadala.Maisha Yana Vingi Sana
Mimi Niligonga O Advance Bihawana Hapo Dodoma
Kurudi Kitaa Dah Raia Wote Wanajua Mim Naenda Chuo Muda Ulipofika Nikawa Bado Nipo Nikasingizia Mkopo Kumbe Nilipiga Bashite La PCB Yaan Pure 0 (Gs Na BAM Zote F)
Basi Nikamuomba Bro Mmoja Akawa Ananipa Boda Yake Nakula Vichwa Usiku Huwezi Amini Siku Ya Kwanza Usiku Nikagonga Mtu Nikapelekwa Sero Nikakaa Wiki.
Nipo Ndani Nikawaza Vingi Sana Ndipo Nilipotoka Nikajiunga Na Jf Nikapata Kazi Ya Lodge Humu Humu Mshaara 100k Ipo Huko Airport Lakin Shughul Yake Sio Ya Kitoto, Unafua Shuka Watu Wamelana Ndogo Yaan Mav Kabisa Na Hakuna Gloves Kabisa Yaan Unapitia Tabu Mpaka Unaona Dah Hapa Siwez Ila Ukikumbuka Msoto Wa Home Unafanya Then Unasahau, Nilikaa Pale Miez Mitano Nikamuibia Ibia Nikapata Kama 2M.
Nikarudi Kitaa Nikanunua Boda 1.2M Kwa Bro Kuja Kuchunguzwa Kumbe La Wizi Nikaenda Tena Ndan Mwezi Sema Bi Mkubwa Akaja Kunitoa.
Nikarud Mtaan Tena Nikawa Najichanganya Tu Mpaka Nikpata Nafasi Ya Chuo Diploma CO.
Kufika Chuo Ndio Nikaanza Kujifanya Fund Simu Na Laptop, Mtu Akileta Simu Naenda Choon Na Google Jins Ya Kuifungua Na Tatizo Lake, Nikawa Nafanya Hivyo Na Zinapona Na Nyingine Zinazima Kabisa But Nashukuru Mungu Hii Mishe Iliniingizia Pesa Sana Na Ndio Naifanya Mpaka Now Japo Ka Diploma Ninako Ila Sikatumii.
#Wilmer
Sent using Jamii Forums mobile app
POLE SANA----------------------------------inaelekea ulikuwa hulijui hili.;Nimesoma uzi huu kwa kweli watu wamepitia msoto Ila maisha safari wengi washatoboa wachache wapo kwenye situation.
Mine is a little different
Mara tu baada ya kumaliza elimu yangu ya chuo haukupita mwezi nikapata kazi kwene international NGO mshahara ulikua unatosha na safari kibao.
Nilifanya kwa muda wa miaka 9.baada ya hapo kazi ikakata nyumba ipo kwa linta.kiinua mgongo nilichopata Kama milioni 4 kutoka kazini nikaezeka upande.ujenzi ulinila sana hela sikua na ramani yoyote nyumba niliyokua nakaa Kodi imeisha.nikahamia kwangu.
Nilitamani kila kazi kuanzia kuuza nyanya hadi maandazi nilishawahi fanya kazi nalipwa 90 kwa mwezi niliona muujiza
Fikiria kutoka mshahara wa milioni 2.8 mpaka elfu tisini na nikashukuru jinsi msoto ulivonikamata
Japo Bado nasota Ila angalau nilipata kazi za hapa na pale za mwezi mwezi Ila nimejifunza kwamba.
Kujijenga ni muhimu hata kama una ndugu wanakuzunguka
Nikikumbuka kipato changu chote miaka 9 nimeishia kuwasomesha wadogo zangu ambao kwa Sasa wananidharau inanouma
Snitch KadalaMzee wa bh. Bila shaka ulikua mapinduzi dom. Nilikua PCB 2 ya kwanza kabisa ya kadala.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanunuzi wanajiongezea kuniMeuza kuni mimi jamani, mbaya zaidi wanunuzi wanajiongezea kuni, wanalalamika ila namshukuru Mungu kwa kweli nilifanikiwa kuvuka salama kwenye mapito!
Hahhaa kwa nini sasa haukurudi tena mkuuFreelencer wa kuuza line mitaani, nilifanya siku moja tu sijarud ten
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani acha kabisaa jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanunuzi wanajiongezea kuni
Shikamoo dadaSio kuuza tuu, nilienda kuzifuata msituni ndo nakuja kuuza!!
Kabla ya hapo nilikuwa nahubiri sokoni, kwenye vituo vya mabasi sadaka ikawa hainitoshi nikaamua kwenda msituni kukata kuni na kuuza!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Alikujibu nini