Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,403
- 465,266
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Leo umejua kunichekeshaKwa wakati ule ulikuwa ni kupata sadaka ila wengi waliamini ni kuhubiri injili
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Leo umejua kunichekeshaKwa wakati ule ulikuwa ni kupata sadaka ila wengi waliamini ni kuhubiri injili
Hapo kwenye kuhubiri na mie nimecheka haki [emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Alikujibu nini
Marahaba mtoto mzuri mzuri eeehhhShikamoo dada
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Leo umejua kunichekesha
Mama Muinjili yaani kila nikiona comment ya Sakayo naimagine sijui ameshika spika yake na Bible; afu wahubiriwaji sasa tulivyo wagumu na sadaka weee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Leo umejua kunichekesha
[emoji23][emoji23][emoji23] hatari sanaMama Muinjili yaani kila nikiona comment ya Sakayo naimagine sijui ameshika spika yake na Bible; afu wahubiriwaji sasa tulivyo wagumu na sadaka weee
Yaaani acha kabisaa, nahubiri sokoni unatoka na elfu tatu na mia mbili za sadaka!Mama Muinjili yaani kila nikiona comment ya Sakayo naimagine sijui ameshika spika yake na Bible; afu wahubiriwaji sasa tulivyo wagumu na sadaka weee
Wewe una-target sadaka afu watu wenyewe sasa wanakupita wanakushangaa tu
[emoji23][emoji23][emoji23] maisha haya ila sikushangai mdogo wangu, mimi nilifikiriaga kuimba...ila nikakumbuka kanisani sijawahi hata kuimba kwaya, nikawaangalia waimbaji ninaowafahamu, walivyostruggle mpaka na hali walizonazo hilo wazo nikalitia kwa dastibinYaaani acha kabisaa, nahubiri sokoni unatoka na elfu tatu na mia mbili za sadaka!
Mbaya zaidi, ambao unaanza nao kuhubiri unaanza na wengine, mpaka umalize wengine washaondoka daahWewe una-target sadaka afu watu wenyewe sasa wanakupita wanakushangaa tu
Mimi sikuwa na mtaji wa kuanzia kabisaa my dear, kuimba nilipiga mapambio kama yote! Niliabudu mpaka nikalia mimi sadaka hakuna![emoji23][emoji23][emoji23] maisha haya ila sikushangai mdogo wangu, mimi nilifikiriaga kuimba...ila nikakumbuka kanisani sijawahi hata kuimba kwaya, nikawaangalia waimbaji ninaowafahamu, walivyostruggle mpaka na hali walizonazo hilo wazo nikalitia kwa dastibin
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena unapiga kabisa hesabu, nikienda stendi naweza kupata 2000, sokoni nitapata walau 5000 unapangia na matumizi kabisa hiyo elfu saba [emoji23][emoji23][emoji23]Wewe una-target sadaka afu watu wenyewe sasa wanakupita wanakushangaa tu
Hhaa sipati picha siku ukitoa mahubiri ya kuhusu sadaka au ulikuwa tu unawakumbusha kuhusu kutubu. Hakika Mungu humuinua mnyonge kutoka mavumbini, humpandisha mhitaji kutoka jaani ili awaketishe pamoja na wakuuYaaani acha kabisaa, nahubiri sokoni unatoka na elfu tatu na mia mbili za sadaka!
[emoji23][emoji23][emoji23] nimekuaminia mdogo wangu wewe ni fighter, ipo siku Mungu atakumwagia baraka endelea kumtumikia ila sio kutafuta sadaka tena [emoji3]Mimi sikuwa na mtaji wa kuanzia kabisaa my dear, kuimba nilipiga mapambio kama yote! Niliabudu mpaka nikalia mimi sadaka hakuna!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tena unapiga kabisa hesabu, nikienda stendi naweza kupata 2000, sokoni nitapata walau 5000 unapangia na matumizi kabisa hiyo elfu saba [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha Sakayo ujue watu wananiona mwehu kwa kucheka huku. Yaani sipati picha na kilio juu afu unatoka bila bila. Unfortunately huwa tunaona watu wanaohubiri barabarani ni kama watu waliojichokea na maisha; so most of times huwa tunawadharau na kupita tu. So i can imagineMimi sikuwa na mtaji wa kuanzia kabisaa my dear, kuimba nilipiga mapambio kama yote! Niliabudu mpaka nikalia mimi sadaka hakuna!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sokoni unapata na mboga mboga jamani....
Stendi unapata sadaka kiduchu!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hhaa sipati picha siku ukitoa mahubiri ya kuhusu sadaka au ulikuwa tu unawakumbusha kuhusu kutubu. Hakika Mungu humuinua mnyonge kutoka mavumbini, humpandisha mhitaji kutoka jaani ili awaketishe pamoja na wakuu
Moyoni unasema asante Mungu, silali njaa