Wakati umepigika kazi gani ya ajabu uliwaza kufanya?

Pumbaaaaaf; yani umenichekesha khaaa; sikupatii picha na sauti yako ya kiunganishi. Ila shida isikie tu kwa mwenzio
 
Ndo inavyokuwaga my dear, wanakuangaliaaa wanaondokaa!! Huku naabudu kwa uchungu mimiii, daahh
 
Unajitolea tuu jamani kuhubiri injili dear!
 
Hapo kwenye kuhubiri na mie nimecheka haki [emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nishapiga injili sana jamani
Mama Muinjili yaani kila nikiona comment ya Sakayo naimagine sijui ameshika spika yake na Bible; afu wahubiriwaji sasa tulivyo wagumu na sadaka weee
Hahhaha yaani nacheka peke yangu jamani watu wanajua wapo na mchungaji wa kike kumbe mwenzao anataka sadaka zao na huku jua linampiga sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…