Nshomile wa Muleba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2015
- 2,165
- 5,645
Maisha haya nyie acheni nakumbuka nimemalixa chuo nasubir post halafu mfukoni sina kitu .....kila unapoenda kutafuta kujisikiza wanataka uchi kwanza!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna dada tulikuwa nao mtaani jioni wanachomoka ....asubuh wanarudi wako vxuri nikawaambia wanisaidie kupata kazi
Wakaniambia kazi ipo vizano hotel ..mmmh kufika kumbe wanafanya kazi ya kujiuza .....halafu kuna mwarabu akawa ameniganda kweli si jui alihic mi mgeni maeneo yale yaani niliondoka kwa miguu hadi nyakato meko
Kesho yake nikatafuta kazi ya kuhudumia kwenye migahawa maeneo ya pale nundu...nikafanya kama miezi miwili nikapata ajira xikatoka ndio nikawa nimevuka du[emoji847]
Sent using i phone x
Sentensi Yako Ina ukakasi na kama ni utani haichekeshi...Nimeroga sana na kuuza mizoga ya wafu
Jr[emoji769]
πππ Mfyuu zakeNatufata mke mpambanaji kama wewe[emoji6][emoji846]
Mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] uliota wewSamahan sana wadau nimechelewa kuchangia huu mjadala heavy asikwambie mtu maisha kuna kipindi yanakaza kiasi mtu unanyongorota kabisa km sio kupinda kuna kkipindi nilipewa tender ya kulinda shule aisee ile kaz km huna chale itakoma yaan kuna kipindi usingiz unakuchukua unasikia km kuna mtu anakutikisa uamke unaamka huonk mtu mara unasikia nje kuna mtu anakuita unachungulia dirishan huoni mtu kuna siku nilizabwa vibao na mtu nisiyemuona toka siku nikaacha
IT zimechinja watu kaka acha kabisa, nmeshuhudia vijana kadhaa wamekula mizinga njiani huko kutoka Moro, Iringa, Mbeya ilikua balaa sabu safari mara nyingi ni night na speed wanagonga mpaka zaidi ya 120km/hr..Sasa huu ni msoto?
We yaelekea wa kujidekeza sana
Sio kazi ya ajabu hii, u konda mbona ni kazi nzuri tu na kuna vijana wametoboa kimaisha kuliko hata waajiliwa wa serikalini kupitia hii kazi tena siku hizi kuna ma kondakta wanavaa mpaka suti na tai fresh kabisa..Kupiga debe/ukonda
Ova
Pole sanaMzeebaba plse share zaidi.Jera ulitoka vip. Pia pole sana kwa mikasa mizito.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuanzisha Kanisa la mchongoHabari za muda huu wakuu, naimani mko poa na January inaendelea kuyoyoma. Naomba niende moja kwa moja kwenye swali langu.
Kwanza kabisa lazima tukubali kuna muda mtu unapigika na life hadi unaanza kuwaza kazi za ajabu au ambazo hukuwahi dhani utayafanya. Wengine wanafikia maamuzi na wanafanya, na wengine wanaishia kuwaza tu na kabla hawajafanya wanabadili maamuzi au wanapaka kazi nyingine ya kawaida.
Binafsi wakati nimemaliza elimu yangu ya hali ya juu Dar es salaam nilipitia wakati mgumu sana kimaisha kwani sikuwa na wakumtegemea. Nilikuwa napenda sana kuingia JF kujipotezea mawazo.
Siku moja nikakutana na uzi wa jamaa fulani akidai kuwa amepata mchongo wa kuigiza video za kikubwa huko majuu na akadai kuwa yeyote atayehitaji yupo tayari kumuunganishia.
Kiukweli nimelelewa vizuri tu lakini ilibaki kidogo tu nimtafute jamaa aniconnect nizame majuu. Lakini huwa napenda kufanya utafuti wa jambo kabla halijafanyika, hivyo nikazama Google kutafuta undani wa industry ya video za kikubwa.
Nikafahamu mengi sana, faida na hasara, gharama wanazolipa na mambo kibao, mwisho wa siku sauti ndani yangu ikawa inakataa sana hizo shughuli, basi nikaacha nikapambana kutafuta ishu nyingine.
Je wewe ni kazi gani ya ajabu kwako ulifikiria kuifanya kipindi ukiwa huna kazi na life limekunyoosha.
Karibuni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu tumesota sana, ndio maana sipendi kuishi maisha ya kishenzi, kula sana bata.
Maamaaeee!! Uhakika shida za Niniπ₯π―βοΈ
Sijui kwanini huwa sipendi wasaliti kwenye hii duniaAisee, nakumbuka chuo boom limekata maisha magumu mno, nikafikiria nifanyaje, nikapata mawazo ya biashara nikaanza...
kuuza bubblegum/bigijii hizi super golila @500, nikanunua 8000 pakti ukiuza faida ni 5000 hivi, nashukuru ilikua tukienda class kabla lecture haijaanza nawatangangizia nnazo so wanachukua fresh,namaliza hata pkt 2 per day.
Nikaona niongeze biashara ya biscuits fulani hivi tamuu, nilikua nanunua pakti ya biscuit sh 900 nakuja kuuza 2000/=
Nikaongeza biashara ya crips za ndizi, nilikua napika mwenyewe nakumbuka nilikua nakaa hostel na hamruhusiwi kupika, so nikamuomba rafiki yangu alikua amepanga nje ya hostel nikawa napikia huko, nakumbuka siku ya kwanza nimepika crips hazikukauka vizuri dah,lainii kufika nazo hostel roommates wakanichekaa ila nilikomaa nikaziuza zingine nikawapa wale tu, siku 2, nikapika zimeungua nilikua nashindwa kukadiria moto, baada ya hapo nikawa napika vizurii, nikapeleka hadi blocks za wakaka faster zinaisha, napigiwa simu nipeleke zingine kama zipo hadi raha, faida ilikua ni nusu kwa nusu.
Nakumbuka nilikusanya faida hadi nikapata mtaji wa viatu flani vya kimasai ambao ulinisaidia hadi nilivomaliza chuo nikaendelea nao, nikafanikiwa kusave hadi sh 70,000/= per week kwa hiyo biashara,nakumbuka nilikua namsaidia hadi babe wangu vihela kidogo vya vocha,kabla hajapata kazi, japo alikuja akaniacha mfyuuu zake. Changamoto humpa mtu akili aisee.
Sent using Jamii Forums mobile app