Kuna kipindi nilipigika chuoni kila kazi niliiwaza hata kupata jimama linilee kukawa kuna kunguni chuo nikaenda kununua dawa nikawa nauza.
Sio poa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipe dili mamilooKama unaweza jilipua nikupe dili?
Nilipohitimu Chuo nikawa sina hata mia, nakaa mpaka siku 3 sijala.
Mpaka nikilala, tumbo linahamia upande mmoja - Transcript, Academic, Enrolment na License natakiwa kulipia kama Tsh 200,000
Waswahili nao majungu mwanzo mwisho.
So, Nikawaza kwanini nisianze kuokota machupa.
Yaani Natoka Ukonga naenda hata Mburahati huko wasikonijua Naokota Nauza then narudi Jioni ?
Baada Ya Kutafakari sana, nikaghairi. Nikaingia Kampuni za ulinzi. Yaani gari zenyewe nilikuwa napata nauli kwa kuunga sana, na kwasababu ya njaa nusura siku moja nizimie kwenye daladala ( Kwasababu Ya Foleni na Kusimama )
Mpaka sasa niko huku mwaka wa pili huu.
Mimi ni mwoga sana ninapoona hakuna tumaini, huwa nakonda ghafla.
Tatizo una watoto wadogo!...lakini km unaweza jilipua daily unamake mkwanja!..means km unaondoka uondoke nao huko!...Nipe dili mamiloo
Duh hatariTatizo una watoto wadogo!...lakini km unaweza jilipua daily unamake mkwanja!..means km unaondoka uondoke nao huko!...
2011 ilivyostishwa kazi yangu ktk kampuni nilipigika sana nikaamua kukimbilia katika kisiwa kimoja kilichopo ziwa victoria (Ikuza) nikiwa huko nilijikuta nimefanya kazi ambayo ni tamaa ya pesa
niliingia ktk hifadhi taifa ya rubondokinyume na taratibu kwenda kutega samaki usku wa manane nikiwa mgeni mimi pekee wenzangu walikua wenyeji siku nyingi walikua wakiingia ikiwa ndio malayangu ya tatu kuingia tulikamatwa na watu wa dolia gemu
kipondo tulichopewa ni cha mbwa koko miaka mi3jera hadi leo mguu wangu wa kulia una hitilafu
Sent using Jamii Forums mobile app
Huenda hujaelewa! Means uondoke na wanao ukaishi nao huko! Lols .inataka kujitoa!Duh hatari
Nipe ajira kijana wako mamaa mwenye heshima zake hapa mjini manengeloKama unaweza jilipua nikupe dili?
Huku ndio kusaidiana jfTatizo una watoto wadogo!...lakini km unaweza jilipua daily unamake mkwanja!..means km unaondoka uondoke nao huko!...
Nipe ajira kijana wako mamaa mwenye heshima zake hapa mjini manengelo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mshana Jr a.k.a Meddie KagereNi kweli kabisa
Jr[emoji769]
Kwahiyo unanisaidiaje sasa mimi kama kijana wakoSio ajira! Sina ajira...nimeona sehem kuna watu wanaishi ...maisha yanasonga!..ipotezee!
Dah nmesimamia sana watengeneza picha za ngono pale kariakoo agrey aisee...nmemaliza degree yangu sina mbele wala nyuma kuzunguka kkoo nkapata shavu sio mbaya jamaa alinifundisha kupiga ndefu aisee maana mnafungiwa asubuh hadi saa 4 usiku kuphotoa cd 10, 000 mzigo usambazwe mikoani posho buku 8 hadi leo na kaumeneja kangu taasisi ya fedha amenifunza kua humble aisee..huwezi jua utamu wa ngoma hadi uingie ucheze
Mzee hujaprint cd 10000 zenye deadline siku moja machine inatoa pc 5 kwa 5 bado hujaweka cover halafu mpo watatu
ππππChezea mimi wewe
[emoji849][emoji849][emoji124][emoji124] seriouslyNimeroga sana na kuuza mizoga ya wafu
Jr[emoji769]