Wakati unachagua mke wa kuoa mtazame pia mama yake

Tatizo la mtu akipenda anakuwa boya hata red flags hazioni. Hata umwambie nini hawezi kukuelewa
Huwa ni hivyo kabisa dogo alioa Kwa mbwembwe kubwa mno. Uzuri nilimwambia palepale siku1 ya kwanza. Nakumbuka kipindi namwambia Dr wangu nae akaingia ananizid miaka kama6 Hivi nikawa namwambia....huyu dogo kasema huyu ndo mwanamke aliemchumbia Hivi karibun nimemwambia asitoe mahali hapa hakuna mwanamke.

Akaniambia sema umempa ukweli ila atamwambia huyo binti siku Moja.

Mke Gani anakuja na nguo za ovyo namna hii halafu ndo kwanza kachumbiwa tu hata ndoa Bado.

Tuli Discuss mengi na Dr kuhusu vijana Mae akisema yake huku akinionyesha ndoa alizohudhuria na Tyr wamebwagana.

Alinipa kisa kimoja tukacheka sana.... Ndoa ilifungwa hapo Arusha msafara ukaanzia KIA Hadi huko ukumbini baada siku 3 mwanamke anasema hajawahi pika Wala hajui. Jamaa akapiga simu Kwa mama mkwe mama mkwe akajibu ndio hajawahi kabisa kupika mpe simu....

Mama akaanza kumfundisha mtoto wake Kwa simu ....Nilicheka sana.

Nikaanza kujiuliza ilikuwaaje dogo akaoa mwanamke asiyejua hata kupika? Hadi ndoa hajui huyu anajua kupika au lah?
 
Msafara wote huo means jamaa ana pesa, wakale restaurant😅.
 
Bas huo ushauri me hauniusu kwasabab cangalii umbo niktaka kuoa, nina wake wawili sasa na nategemea kuongeza watatu, nyumba nmepanga.
Sitalazimisha ushauri wangu ukuhusu na wala katika uzi wangu sijasema wanaume wachague wanawake wenye maumbo mazuri tu, ila katika chapisho langu nimesema Umbo linalo kupendeza.
Bila shaka hao ulionao hakuna ambae umbo lake halikupendezi, sasa maumbo ya wanawake/watu habadilika kila umri unavyoenda kwahiyo nimemaanisha ukitazama umbo la mama wa binti leo umetazama umbo la kesho la binti
tafiti ziko wapi, ulipotoa hizo takwimu?

naona uongo tu hapo
Rudia tena kusoma chapisho halafu uoanishe na ulichokiandika.
 
Msafara wote huo means jamaa ana pesa, wakale restaurant😅.
Ule kutoka Arusha Hadi KIA Walienda na ndege Sasa msafara wa magari ukaanzia hapo KIA uwanja wa ndge Hadi moshi mjini ilipokuwa inafungwa ndoa (Kwa mwana mme) Baada ya ndoa kuisha zikapita siku3 Bi harusi akaambiwa aingie jikoni kupika akasema hajui akamwambia kama haamini amuulize mama yake (binti).

Mama nae akakubali kuwa hajui na akaomba apewe simu amuelekeze Kwa simu namna ya kupika Nilicheka mno
 
Nilihisi kuna madini hapa kumbe upupu tu mkuu!! Yani nyie mnaoa mnaangalua makalio mnafeli pakubwa sana.
 
Mwanamke asiyekatikiwa simu huyo ni kibwengo.
 
Kwa hiyo mzee umejikita kwenye maumbo tu wewe unapochagua mke?
 
Tabia za watoto wa kike hujengwa na mamaa zao na hata marafiki wa hao mama zao
 
Mkuu binafsi napenda makalio. Na anayo hilo tu linatosha kwangu na nimweupee.
 
Mimi namrudisha kwao akajifunze kupika na akimaliza mafunzo nampa matazamio wiki moja kwenye hiyo wiki akipika chakula cha ovyo anarudi kwao mazima🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…