Wakati unachagua mke wa kuoa mtazame pia mama yake

Wakati unachagua mke wa kuoa mtazame pia mama yake

Mimi namrudisha kwao akajifunze kupika na akimaliza mafunzo nampa matazamio wiki moja kwenye hiyo wiki akipika chakula cha ovyo anarudi kwao mazima🤣🤣🤣🤣
Sikuendelea kumuuliza Dr ilikuwaaje tulicheka sana na story ikaishia hapo
 
Salamu wakuu,

Ikiwa utaamua kuoa kwa lengo la kuishi na mwanamke hadi mauti yawatenganishe usipuuze huu ushauri.

Ushauri huu nautowa kwa wale ambao tayari wameyapatia maisha kwa wewe kijana masikini na unaejitafuta Kama mimi acha kabisa kusoma huu uzi, kwa sababu wewe ndoa haikufai, tena kaa nayo mbali.

(Kwanini? nitaeleza siku nyingine maana niliwahi kuingia huu mtumbwi wa vibwengo)

Haya tuendelee hapa wazee wenzangu muliojipata.
Miongoni mwa mambo mengi ya muhimu katika kuchagua mwanamke wa kuishi nae katika maisha ya ndoa huwezi kuacha kichagua umbo linalokupendeza.

Kwa utafiti wangu asilimia 80 ya watoto wa kike hufanana na mama zao maumbo, lakini katika hizi asilimia themanini zinagawanyika tena katika mafungu matatu asilimia 25 hufanana na mama tangu kuzaliwa, asilimia 15 hufanana na mama baada ya kuvunja ungo na asilimia 40 hufanana na mama baada ya kupata mtoto/watoto.

Hivyo basi umbo lolote utakalo mwona nalo mama wa huyo binti kwa asilimia kubwa ndio umbo la huyo binti la muda mchache mbeleni.

Nisiwachoshe sana matajeree yangu ni hayo msije kusema sikuwaambia wakati hizo saa 6 za jua kali zimegeuka saa 2 usiku au hizo namba 8 zimegeuka p.

Asanteni.
 

Attachments

  • 5923164-bf92b80d6f802322d91df6811af2355f.mp4
    958.8 KB
Kila nikimtazama yule mama wa sanamu la Michelin ndy naelewa Kwa nn Simba la masimba dangote hataki kumwoa yule binti wa kizanzibar?..

Yule binti akishazaa,, ni yule mama mtupu aisee.
 
Nilidhani nitasoma jambo la maana kumbe upumbavu mtupu. Hata wewe mwanaume usipofanya mazoezi utakuwa na umbo baya.
 
Kwaiyo zuchu atakuwa na umbo Kama mama yake Khadija kopa. Nakubaliana na wewe asilimia 95
 
Kila nikimtazama yule mama wa sanamu la Michelin ndy naelewa Kwa nn Simba la masimba dangote hataki kumwoa yule binti wa kizanzibar?..

Yule binti akishazaa,, ni yule mama mtupu aisee.
Ni kweli kabisa ndugu
 
Back
Top Bottom