Wakati unachagua mke wa kuoa mtazame pia mama yake

Mimi namrudisha kwao akajifunze kupika na akimaliza mafunzo nampa matazamio wiki moja kwenye hiyo wiki akipika chakula cha ovyo anarudi kwao mazima🤣🤣🤣🤣
Sikuendelea kumuuliza Dr ilikuwaaje tulicheka sana na story ikaishia hapo
 
Attachments

  • 5923164-bf92b80d6f802322d91df6811af2355f.mp4
    958.8 KB
Upo sahihi,nipo kwenye mchakato wa kudai mahali yangu
 
Kila nikimtazama yule mama wa sanamu la Michelin ndy naelewa Kwa nn Simba la masimba dangote hataki kumwoa yule binti wa kizanzibar?..

Yule binti akishazaa,, ni yule mama mtupu aisee.
 
Nilidhani nitasoma jambo la maana kumbe upumbavu mtupu. Hata wewe mwanaume usipofanya mazoezi utakuwa na umbo baya.
 
Kwaiyo zuchu atakuwa na umbo Kama mama yake Khadija kopa. Nakubaliana na wewe asilimia 95
 
Kila nikimtazama yule mama wa sanamu la Michelin ndy naelewa Kwa nn Simba la masimba dangote hataki kumwoa yule binti wa kizanzibar?..

Yule binti akishazaa,, ni yule mama mtupu aisee.
Ni kweli kabisa ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…