Wakati Urusi bado wanahangaika na HIMARS, sasa USA kutuma 'VAMPIRE' Ukraine


Himars vipi tena??!!🤣🤣-- kama Himars, the highly hyped advanced and expensive weapon imeshindwa kazi vipi hako ka vampire kanako bebwa ndani ya pick up kama wafanyavyo Alshabab huko Somalia kataweza kazi??!!.
 


Kama Himars zinatosha Vampire (bats) za nini?? --🤣🤣, wala haiingii akilini kwa mwenye kufikiri. Himars zote Mrusi kisha zisambaratisha na zingine Wa ukraine mafisadi wameziuza kupitia Black markets za silaha hivyo US anaogopa kumpatia zingine kwani anayezinunua hizo silaha za msaada kwa mlango wa nyuma ni huyo huyo Mrusi,, kumbuka ni 30% tu ya silaha kutoka US na NATO ndizo zinatumika Ukraine 70% zilizobaki ni demolished and black marketed, na hii ni njia ya kijanja kupunguza ukali wa vita kwani Ukraine hana skilled army la kuweza kuhimili mkiki wa Russia, kifupi wa Ukraine hawataki vita.. they fight under protest.
 

Mpaka Mrusi amefuata hizo S-300 zilizokua Syria ni wazi Himars zimemtesa, sasa ameongezewa vampire, atateseka sana.
Waarabu wa bongo mnalo.
 
Kwa hiyo Zelenysky ndio kavamia Urusi?
 
Mpaka Mrusi amefuata hizo S-300 zilizokua Syria ni wazi Himars zimemtesa, sasa ameongezewa vampire, atateseka sana.
Waarabu wa bongo mnalo.


Shida hutaki kuelewa na kutafakari mambo.

--Inawezekanaje Himars zitoshe hapo hapo waongeze Vampires??

---- Ipi kati ya Himars na Vampires ni more advanced??

---Je wajua kwamba ni karibu 30% tu ya silaha za misaada kutoka NATO na US ndizo hutumika??, 70% zinaenda wapi na kwanini zinaenda huko??
 

Nielewe nini wakati sote tuko hapa tunashuhudia, mnaandika insha nyingi ilhali tunajionea kwa macho, miezi sita sasa Urusi ametumia silaha mithili ya mataifa tano Afrika ila kaambulia tumiji twa huko mpakani, ameshindwa kuparamia kainchi kadogo saizi ya mkoa mmoja wa Urusi.
Useless kabisa.....
 
Himars ni offensive weapon, Vampire ni defensive weapon system.

Ni system mbili tofauti hazilingani hata kidogo
 


Wewe ndiye unashangaza.

Yakupasa ujue kuanzia leo kwamba Russia anapambana na NATO + The US.

Ni vita kati ya Russia na NATO +The US, ni nchi moja anapambana na manchi yenye nguvu za kiuchumi na kijeshi duniani lakini bado anawatandika kinyama.🤣🤣
 
Himars ni offensive weapon, Vampire ni defensive weapon system.

Ni system mbili tofauti hazilingani hata kidogo

Kabla hujanijulisha hilo hebu muambie huyo nduguyo jambo hilo ili ajue kwamba mziki wa Russia sio mchezo kiasi kwamba wameamua kutafuta defensive systems baada ya kichapo cha mbwa koko alichokuwa akiwapa na anachoendelea kuwapa Ukraine, NATO na The US.
 

NATO wakiingiza jeshi lao pale Urusi anafutika kwenye uso wa dunia, leo amelizwa na kataifa kadogo jirani yake hapo saizi ya mkoa, mpaka ameomba wapiganaji kutoka Syriana kote kote, ameingia hasara mithili ya mataifa tano au sita Afrika, na mpaka sasa ameambulia tumiji twa huko mpakani, mnashangaza sana waarabu wa bongo kwa kuendelea kumtegemea huyu useless supapawa.
 
Mbona hata Russia anazo hizo defensive weapons kuanzia laser,BUK, Pantsir,nk. Je na yeye anachezea kichapo au?!
 
Mbona hata Russia anazo hizo defensive weapons kuanzia laser,BUK, Pantsir,nk. Je na yeye anachezea kichapo au?!


Kwani mtu si huwa ananunua dawa ya ugonjwa unaomsubua !!, je utanunua dawa ya ngiri wakati unaumwa kichwa??!!, Ukraine kachezea kichapo ndio maana anatafuta kinga dhidi ya kichapo, huo ndio ukweli.
 


Eti NATO waingize jeshi ??!!--- wao hawaujui mziki wa Russia??!!, wao hawajui silaha za siri alizokuwanazo Russia ambazo hata hajaanza kuzitumia??, hypersonics zinazoweza kubeba nuclear heads na makombora mengine heavy ya nuklear ya Russia NATO hawayajui??!!, NATO hawajui kufa??, wewe huoni wakipigana dhidi ya Russia kwa mgongo wa Ukraine??!, makombora ya Nuclear ya Russia yanaweza kufuta sehemu kubwa ya Ulaya kama sio Ulaya yote, Ulaya hawajui hilo?!!. Ni NATO mwehu anayeweza kuingiza mguu dhidi ya Russia.
 
Kwani mtu si huwa ananunua dawa ya ugonjwa unaomsubua !!, je utanunua dawa ya ngiri wakati unaumwa kichwa??!!, Ukraine kachezea kichapo ndio maana anatafuta kinga dhidi ya kichapo, huo ndio ukweli.
Tukitumia logic yako bhas na Russia kachezea kichapo cha haja ndo maana ss hv kapeleka defensive weapons kibao pale Crimea,kazirundika haswa akihofia kichapo cha Ukraine
 
Tukitumia logic yako bhas na Russia kachezea kichapo cha haja ndo maana ss hv kapeleka defensive weapons kibao pale Crimea,kazirundika haswa akihofia kichapo cha Ukraine


Russia anazo defensive hata kabla vita haijaanza au hujui kwamba yeye ndiye mwamba wa defensive systems duniani??

Vipi ndugu upo ulimwengu gani??--- unawezaje kumpiga mtu mwenye good defence systems kirahisi??, ni Ukraine ambaye hakuwa na defence baada ya kichapo cha haja ndipo kaamua atafute sasa, kakumbuka shuka wakati kumekucha🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…