Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Russia haiwezi kuwa taifa kubwa kama ilivyokuwa Marekani kwa sababu haina mifumo ya uongozi, siasa , sheria na utamaduni mwingine kama iliyo nayo Marekani
Sasa mkurugenzi mambo ya Wamasai wa Arusha na Kenya ndiyo unataka kuyafananisha na yale ya Urusi! Wale wenzetu uzalendo kwao ni kitu kinachopewa sana kipaumbele.
Tangu aingie madarakani, Putin naye ameamua kuwapa hadhi ya kipekee Russian speaking people, kama ifanyavyo Marekani kwa wananchi wake! Bila shaka ana ndoto za kuifanya Russia kuwa Taifa kubwa kama ilivyo kwa Marekani. Na uzuri hilo eneo lilikuwa ni sehemu ya Urusi, hivyo hakuona shida kulirejesha Urusi.
Na naamini watu wa Crimea wana furaha zaidi kufungamana na Urusi, kuliko Ukraine!