Wakati Urusi bado wanahangaika na HIMARS, sasa USA kutuma 'VAMPIRE' Ukraine

... nakuheshimu sana humu jamvini bro; tumia lugha ya staha. Kwa hiyo tangu Russia kuivamia na kuimiliki Crimea back 2014 ilikuwa ni kulinda usalama wake (Russia) au alikuwa na mengine?
Pamoja na kuniheshimu ukitaka tuelewane usitetee mashoga wa Ukraine kwa namna yeyote ile. Ukraine ni wapuuzi maana Russia kabla ya kuvamia alitoa concerns zake ikiwamo kuiomba Ukraine i declare kuwa haina mpango wa kujiunga NATO.

Zelensky kakaza ubongo sababu USA ndo alimfadhili kijeshi na mwisho wa siku lengo ilikuwa ni kumtia ndimu ili amgeuke mrusi na kumvamia kama wao walivyovamiwa sasa. Putin ombi lake likapuuzwa basi ndio akaamua sasa atapambana kulidhoofisha jeshi la Ukraine.
 
... hizo concerns za Russia kwamba Ukraine isijiunge NATO zilitolewa lini?
 
Ukraine haijwahi kuacha kuwa neutral state.

Kwa nini Putin anataka Ukraine tu ndio iwe neutral state ila sio nyingine kama Finland, Estonia, Latvia au Japan anazopakana nazo?
Chimbuko la hizi vurugu zote ni uchaguzi uliofanyika mwaka 2014 kama sijakosea. Katika uchaguzi huo, Pro Russian walishinda!

Ila nchi za Magharibi na Marekani wakatengeneza zengwe, na hivyo hiyo serikali ikaondokewa madarakani kupitia maandamano. Na serikali zote zilizokuja baada ya hapo, ikiwemo hii ya Zelenysky zikachagua kufungamana na nchi za Ulaya Magharibi na Marekani! Badala ya Urusi.

Na ndiyo kipindi hiki Putin aliwatumia hawa Pro Russian wakio ondolewa madarakani, kuanzisha vita vya Crimea, na baadaye kujitangazia uhuru wao.

Yaani ni kama tu ilivyotokea kwenye mapinduzi ya China mwaka 1949.
Baada ya akina Chiang Kaishek wa Kuomintang Party kushindwa na Wakomunisti walio ongozwa na Mao Tse Tung, walikimbilia wenda kuanzisha Taifa lao Taiwan! Na ambalo mpaka sasa linapata backup kutoka Marekani, huku China ikiitambua Taiwan kama sehemu ya ardhi yake.
 
Ukraine haiendeshwi kidikteta kama Urusi ya Putin au mataifa mengine ya kidikteta.

Zelenskyy hana uwezo wa kuamua Ukraine kujiunga au kutojiunga NATO, hayo ni mamlaka ya BUNGE la Ukraine na Rais anatekeleza tu bunge linachoamua.

Viktor Yanukovych alipokataa kusaini mkataba wa Biashara na EU uliopitishwa na bunge mwaka 2013 aliondolewa kwa maandamano makubwa ya raia. Ni ujinga kufikiria Zelenskyy anaweza kuamua hatma ya Ukraine kuhusu NATO.
Pamoja na kuniheshimu ukitaka tuelewane usitetee mashoga wa Ukraine kwa namna yeyote ile. Ukraine ni wapuuzi maana Russia kabla ya kuvamia alitoa concerns zake ikiwamo kuiomba Ukraine i declare kuwa haina mpango wa kujiunga NATO.

Zelensky kakaza ubongo sababu USA ndo alimfadhili kijeshi na mwisho wa siku lengo ilikuwa ni kumtia ndimu ili amgeuke mrusi na kumvamia kama wao walivyovamiwa sasa. Putin ombi lake likapuuzwa basi ndio akaamua sasa atapambana kulidhoofisha jeshi la Ukraine.
 
Na Crimea ilipochukuliwa pia Zelenysky alipanga pia kuiingiza Ukraine NATO?
Mpaka mwaka huu huyo jamaa alikuwa ana huo mpango, lakini pia kuligomboa hilo eneo la Crimea! Ambalo kimsingi lilikuwa ni eneo la Urusi hapo kabla.

Ukisoma historia utakuja kuona kuna Rais wa USSR wa wakati huo aliliondoa hilo eneo kutoka Urusi, na kulihamishia Ukaraine, huku likiwa lina Russian speaking people wengi.
 
... kuwa na Russian speakers wengi ndio sababu? Unajua Arusha ina watu wengi wanaoongea kimasai kama wamasai wa Kenya? Mipaka na mikataba inayotambulika na UN iheshimiwe vinginevyo ni vurugu!
 
Viktor Yanukovych aliyeondolewa kwa maandamano makubwa ya raia mwaka 2014 alikataa kusaini na kuridhia(kwa maslahi yake binafsi na rushwa ya Urusi) mkataba wa biashara na mabadiliko ya kisiasa na Umoja wa Ulaya(EU) uliodhinishwa na BUNGE la Ukraine kwa wingi wa kura mwaka 2013.
Chimbuko la hizi vurugu zote ni uchaguzi uliofanyika mwaka 2014 kama sijakosea. Katika uchaguzi huo, Pro Russian walishinda!

Ila nchi za Magharibi na Marekani wakatengeneza zengwe, na hivyo hiyo serikali ikaondokewa madarakani kupitia maandamano. Na serikali zote zilizokuja baada ya hapo, ikiwemo hii ya Zelenysky zikachagua kufungamana na nchi za Ulaya Magharibi na Marekani! Badala ya Urusi.

Na ndiyo kipindi hiki Putin aliwatumia hawa Pro Russian wakio ondolewa madarakani, kuanzisha vita vya Crimea, na baadaye kujitangazia uhuru wao.

Yaani ni kama tu ilivyotokea kwenye mapinduzi ya China mwaka 1949.
Baada ya akina Chiang Kaishek wa Kuomintang Party kushindwa na Wakomunisti walio ongozwa na Mao Tse Tung, walikimbilia wenda kuanzisha Taifa lao Taiwan! Na ambalo mpaka sasa linapata backup kutoka Marekani, huku China ikiitambua Taiwan kama sehemu ya ardhi yake.
 
Wazungu nao wameonesha utahiira wao kwenye hili. Wameshindea kuwa na misimamo yao binafsi. Hawana tofauti na huku Africa
Marekani siku zote ni Taifa la chokochoko. Na limejigeuza kuwa kiranja wa dunia. Yaani ukipingana tu na sera yao ya Americanization, basi jiandae kushughulikiwa.

Sasa tangu aingie Vladmir Putin madarakani, amejifanya kuwa kichwa ngumu kwenye kukubaliana na baadhi ya matakwa ya Marekani! Na haya sasa ndiyo matokeo yake.
 
Viktor Yanukovych aliyeondolewa kwa maandamano makubwa ya raia mwaka 2014 alikataa kusaini na kuridhia(kwa maslahi yake binafsi na rushwa ya Urusi) mkataba wa biashara na mabadiliko ya kisiasa na Umoja wa Ulaya(EU) uliodhinishwa na BUNGE la Ukraine kwa wingi wa kura mwaka 2013.
.... naona unawacharaza kwa facts zenye mashiko; wao watakuambia Crimea ina Russian speakers wengi eti ndio hoja! Dah!
 
... kuwa na Russian speakers wengi ndio sababu? Unajua Arusha ina watu wengi wanaoongea kimasai kama wamasai wa Kenya? Mipaka na mikataba inayotambulika na UN iheshimiwe vinginevyo ni vurugu!
Sasa mkurugenzi mambo ya Wamasai wa Arusha na Kenya ndiyo unataka kuyafananisha na yale ya Urusi! Wale wenzetu uzalendo kwao ni kitu kinachopewa sana kipaumbele.

Tangu aingie madarakani, Putin naye ameamua kuwapa hadhi ya kipekee Russian speaking people, kama ifanyavyo Marekani kwa wananchi wake! Bila shaka ana ndoto za kuifanya Russia kuwa Taifa kubwa kama ilivyo kwa Marekani. Na uzuri hilo eneo lilikuwa ni sehemu ya Urusi, hivyo hakuona shida kulirejesha Urusi.

Na naamini watu wa Crimea wana furaha zaidi kufungamana na Urusi, kuliko Ukraine!
 
Sasa mkurugenzi mambo ya Wamasai wa Arusha na Kenya ndiyo unataka kuyafananisha na yale ya Urusi! Wale wenzetu uzalendo kwao ni kitu kinachopewa sana kipaumbele.

Tangu aingie madarakani, Putin naye ameamua kuwapa hadhi ya kipekee Russian speaking people, kama ifanyavyo Marekani kwa wananchi wake! Bila shaka ana ndoto za kuifanya Russia kuwa Taifa kubwa kama ilivyo kwa Marekani. Na uzuri hilo eneo lilikuwa ni sehemu ya Urusi, hakuona shida kulirejesha Urusi. Na naamini watu wa Crimea wana furaha zaidi kufungamana na Urusi, kuliko Ukraine!
Mkurugenzi umeamua kuleta vichekesho badala ya hoja! Ngoja nikajitafutie ugali.
 
Kwa nini Urusi analazimisha nchi zifungamane naye kwa nguvu??
Kwa hiyo kama Ukraine inaona itafaidika zaidi na Umoja wa Ulaya na Marekani isifanye hivyo kwa maslahi yake?

Uchumi wa EU ni USD trillion 18, Uchumi wa US ni dolla trillion 22, kwa pamoja ni dola Trillion 40. Uchumi wa Russia ni dola trillion 1.5tu ambao ni mdogo kuliko hata jimbo la Texas. Ukraine sio wapumbavu kujua upande upi una maslahi mapana zaidi kwao na upi ni wababaishaji tu.
Chimbuko la hizi vurugu zote ni uchaguzi uliofanyika mwaka 2014 kama sijakosea. Katika uchaguzi huo, Pro Russian walishinda!

Ila nchi za Magharibi na Marekani wakatengeneza zengwe, na hivyo hiyo serikali ikaondokewa madarakani kupitia maandamano. Na serikali zote zilizokuja baada ya hapo, ikiwemo hii ya Zelenysky zikachagua kufungamana na nchi za Ulaya Magharibi na Marekani! Badala ya Urusi.

Na ndiyo kipindi hiki Putin aliwatumia hawa Pro Russian wakio ondolewa madarakani, kuanzisha vita vya Crimea, na baadaye kujitangazia uhuru wao.

Yaani ni kama tu ilivyotokea kwenye mapinduzi ya China mwaka 1949.
Baada ya akina Chiang Kaishek wa Kuomintang Party kushindwa na Wakomunisti walio ongozwa na Mao Tse Tung, walikimbilia wenda kuanzisha Taifa lao Taiwan! Na ambalo mpaka sasa linapata backup kutoka Marekani, huku China ikiitambua Taiwan kama sehemu ya ardhi yake.
 
Kwa nini Urusi analazimisha nchi zifungamane naye kwa nguvu??
Kwa hiyo kama Ukraine inaona itafaidika zaidi na Umoja wa Ulaya na Marekani isifanye hivyo kwa maslahi yake?

Uchumi wa EU ni USD trillion 18, Uchumi wa US ni dolla trillion 22, kwa pamoja ni dola Trillion 40. Uchumi wa Russia ni dola trillion 1.5tu ambao ni mdogo kuliko hata jimbo la Texas. Ukraine sio wapumbavu kujua upande upi una maslahi mapana zaidi kwao na upi ni wababaishaji tu.
Maslahi mapana hajakatazwa, kwanini ajiandae kumpiku Russia kijeshi kwa lengo la kumvamia baadae. Mtu mjinga ndio hataelewa kuwa lengo la USA ilikuwa ni kumpiga ambush Urusi siku moja. Maana toka 2014 alikuwa analiimarisha jeshi la Ukraine.

Urusi alipopeleka virusi Cuba Marekani aling'aka vibaya mno na kumtaka atoke eneo hilo strategic kwa kumpa kichapo. Ila yeye kaona kuwekeza vifaa na kuli train jeshi la Ukraine kwa siri dhidi ya mrusi kwake ni sahihi.
 
Back
Top Bottom