Wakati Urusi bado wanahangaika na HIMARS, sasa USA kutuma 'VAMPIRE' Ukraine

Hii VAMPIRE ina uwezo wa kufungashwa kwenye magari ya kawaida tu na ikafanya mashambulizi makali, na haihitaji wanajeshi wengi, mwanajeshi mmoja tu ametosha kusababisha maangamizi kwa kuitumia......

JMJKSNVHPFASXJG6FKSRIRAA6U.webp
The VAMPIRE system can fit in almost any pickup or vehicle with a cargo bed. (Courtesy of L3Harris)

WASHINGTON — The U.S. is sending Ukraine “Vampire” kits that transform pickup trucks and other non-tactical vehicles into highly portable missile launchers.

As part of a $3 billion package for Ukraine that the Pentagon announced Wednesday, the Vehicle-Agnostic Modular Palletized ISR Rocket Equipment system is a portable kit that can be installed on most vehicles with a cargo bed for launching the Advanced Precision Kill Weapons System or other laser-guided munitions.

Source: ARMY TIMES
Nimeiona hii CNN mkuu aisee huyu mnyama ni hatar
 
Us huenda ana silaha ambazo hazijulikani majina na madhara yake.
Mzee Putin pole sana
 
Simpendi mmarekani kabisa lakini urusi imeyumba sana inapigana kizamani imeniangusha, nasema uongo MK254
Hapana .mrusi anajifanya .kama vita imemshinda .hii si kweli ebu jaribu kufikiria toka wa magharibu watume machuma yao ukrein nn kimebadilika? Mrusi anakuambia silaha anazotumia sasa nizile toka vita kuu ya pili. Zana zake mpya hajazigusa kabisa anasubiri wa magharibi wamalize kutoa zakwao ndiyo muone mrusi anafanya nn ukrain .
 
Sio kwa Urusi! Hapo Marekani atatoa mikopo mingi kwa Ukraine ila akija kushtuka Ukraine yenyewe haitokuwepo tena.
Yani kwa kifupi Marekani atakula hasara kubwa itakayopelekea anguko lake
Daaa yaani uchambuzi mwingine huu!!yaani wewe uliyopo matombo huko, umeliona hilo kuliko hao maprof.wa duniani!!!hahaaa
Eti atakuja kula hasara babu kubwa!!!lile taifa achana nalo unafikiria ni dola trilioni ngapi zilitumika kwenye vita afganistani?, leo karibia dunia nzima kuna bases za kijeshi za USA, tena ni kwa gharama zao, mashirika yote ya kimataifa mchangiaji mkubwa ni yeye, umeshaona ametetereka?!mbona bado ndio taifa linaloongoza kwa uchumi duniani?
 
Hiki ndicho kitu Marekani anakipenda siku zote. Kutengeneza migogoro ya kivita duniani kote, ili wamiliki wa viwanda vya silaha wa Kimarekani wapate soko la kuuzia bidhaa zao.

Na wakati huo huo tenda za kuijenga upya hiyo nchi iliyo haribiwa na vita lazima yapewe makampuni ya Kimarekani!

Kiufupi tu Marekani ni Taifa la kijinga sana. Kamwe huwezi kuona vita inapiganwa nchini kwake! Yenyewe inapenda kuchochea vita kwenye nchi nyingine, halafu wakati mnauana, yenyewe inawauzia silaha na kuchukua yenda za ujenzi! Na kama kuna mafuta, inabeba kupeleka Marekani.

Yule Mchekeshaji Zelenysky anatumika pasipo yeye mwenyewe kujua.

Ha ha ha!!! Mlisheherekea sana wakati Mrusi anaanza kuparamia Ukraine, leo anapokea za uso mnaanza kulalamikia Marekani.
 
Angemheshimu tu mkubwa! Kama wanavyofanya baadhi ya majirani zake. Putin asingekubali kirahisi tu Ukraine kuwa mwanachama wa NATO.
Mbona hajawahi kuwa mwanachama wa NATO. Putin hata alipoitwaa Crimea 2014 Ukraine bado haikuwa NATO. Labda kitu pekee Ukraine angefanya ni kutulia aingiziwe vidole...

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Hapana .mrusi anajifanya .kama vita imemshinda .hii si kweli ebu jaribu kufikiria toka wa magharibu watume machuma yao ukrein nn kimebadilika? Mrusi anakuambia silaha anazotumia sasa nizile toka vita kuu ya pili. Zana zake mpya hajazigusa kabisa anasubiri wa magharibi wamalize kutoa zakwao ndiyo muone mrusi anafanya nn ukrain .
Usiwe unadanganyika kirahisi,,hizo S.3000 na S.4000,jumlisha hypersonic mesiles alikuwa nazo kwenye nyakati za vita ya pili ya dunia!? Warusi ni mabigwa wa propaganda pia. Wakati Putin anaanzisha huo upuuzi wake alitarajia kazi ingeisha ndani ya siku tatu hadi wiki moja.
Sasa amekuwa kama sangara aliyenaswa na mfupa wa gogogo, kuumeza hawezi na kuutema hali kadhalika!

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Usiwe unadanganyika kirahisi,,hizo S.3000 na S.4000,jumlisha hypersonic mesiles alikuwa nazo kwenye nyakati za vita ya pili ya dunia!? Warusi ni mabigwa wa propaganda pia. Wakati Putin anaanzisha huo upuuzi wake alitarajia kazi ingeisha ndani ya siku tatu hadi wiki moja.
Sasa amekuwa kama sangara aliyenaswa na mfupa wa gogogo, kuumeza hawezi na kuutema hali kadhalika!

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Jamaa hajui kitu huyo ndo maana mimi nikampuuzia. Russia ametumia mpaka laser weapons ili kupambana na dronea za ukraine. Masilaha yote hayo wasemaje ni ya WW II? ni kumsamehe tu.
 
Mbona hajawahi kuwa mwanachama wa NATO. Putin hata alipoitwaa Crimea 2014 Ukraine bado haikuwa NATO. Labda kitu pekee Ukraine angefanya ni kutulia aingiziwe vidole...

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Mwaka huu wa 2022 huyo Zelenysky alipanga kuiingiza Ukraine kwenye Umoja wa Ulaya na NATO! Jambo ambalo Putin alishalipinga tangu mwanzo. Ila sasa kwa sababu huyo Zelenysky alishajazwa upepo na Marekani, akajifanya mkaidi.

Na mwisho wa siku Putin akaja na hii oparesheni yake maalum ya kutaka kuiindoa kimabavu hiyo Serikali ya Ukraine yenye mafungamqno na nchi za magharibi na Marekani.
 
Back
Top Bottom