Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Pamoja na kuniheshimu ukitaka tuelewane usitetee mashoga wa Ukraine kwa namna yeyote ile. Ukraine ni wapuuzi maana Russia kabla ya kuvamia alitoa concerns zake ikiwamo kuiomba Ukraine i declare kuwa haina mpango wa kujiunga NATO.... nakuheshimu sana humu jamvini bro; tumia lugha ya staha. Kwa hiyo tangu Russia kuivamia na kuimiliki Crimea back 2014 ilikuwa ni kulinda usalama wake (Russia) au alikuwa na mengine?
Zelensky kakaza ubongo sababu USA ndo alimfadhili kijeshi na mwisho wa siku lengo ilikuwa ni kumtia ndimu ili amgeuke mrusi na kumvamia kama wao walivyovamiwa sasa. Putin ombi lake likapuuzwa basi ndio akaamua sasa atapambana kulidhoofisha jeshi la Ukraine.