mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,258
- 22,552
Ebu lete video hata moja yenye msaada kama huu waliotoa EU au USA kisha tutajua ni nani kwenye akili na ni nani maskini na nani tajiri
EU ina ukubwa wa km za mraba million 4.2 ina jumla ya GDP USD Trillion 18, kubwa jinga Russia lina ukubwa wa kilometa za mraba million 17 ila GDP ni USD Trillion 1.5 tu.