Wakati Urusi bado wanahangaika na HIMARS, sasa USA kutuma 'VAMPIRE' Ukraine


Yaani hiyo NATO humo kuna nchi moja tu inailiza Urusi hadi raha, sasa hesabu mataifa yote hayo yaje kumparamia ukizingatia ameteswa na kainchi kadogo kiasi cha kushindwa pakutokea.
 
Sasa kama ana defensive Kali mbona Makombora yanatua kwenye maghala yake yake ya silaha pamoja na command posts!?

Au defensive zake ni za mchongo?!
 

Hii habari nimeiona na lengo ni kupambana na Drones za Russia ambazo hufanya upelelezi Ukraine kisha kutuma taarifa jeshi la Russia kisha mapigo yanaanzia hapo. Kwa vyovyote nae Russia atajua counter measure ya hizo. Unajua US na Russia kwenye Silaha achana nao. Hao ni miamba, kila anachofanya mmoja anakuja kutafuta njia mbadala
 
Je, Putin analijua hilo? Mbona ni Putin alianzisha hiyo vita?
 
Sasa kama ana defensive Kali mbona Makombora yanatua kwenye maghala yake yake ya silaha pamoja na command posts!?

Au defensive zake ni za mchongo?!

Kwani ukiambiwa defensive nzuri unaelewa ni ni??-- ukiambiwa timu ya Barcelona ina defence nzuri inamaana haiwezi kufungwa kabisaa??!!🤣
 
Duh!! 😕
 

Urusi usimlinganishe na US maana ametia aibu sana, ameshindwa kuparamia kainchi kadogo saizi ya mkoa wake mmoja, kaangukia pua pale Kyiv hadi aibu......
Kila nikiangalia hii ramani naishangaa sana Urusi ilivyo hovyoo

 
Urusi usimlinganishe na US maana ametia aibu sana, ameshindwa kuparamia kainchi kadogo saizi ya mkoa wake mmoja, kaangukia pua pale Kyiv hadi aibu......
Kila nikiangalia hii ramani naishangaa sana Urusi ilivyo hovyoo



Wewe huelewi au unajifanya kutokuelewa au ndio Mahaba ya Ukraine yamekupofua macho!!, Russia anapigana na NATO na USA Kwa mgongo wa Ukraine. Kuanzia leo lazima ujue hiyo vita ni Russia upande mmoja dhidi ya NATO +USA kwa upande mwingine.
 
Wewe huelewi au unajifanya kutokuelewa au ndio Mahaba ya Ukraine yamekupofua macho!!, Russia anapigana na NATO na USA Kwa mgongo wa Ukraine. Kuanzia leo lazima ujue hiyo vita ni Russia upande mmoja dhidi ya NATO +USA kwa upande mwingine.

Hapigani na NATO maana hakuna mwanajeshi wa NATO ametia mguu pale, mwambieni kwenye makombora yake akosee njia ashambulie kataifa kamoja ka NATO, NATO wanamtamani sana, kwanza kuna kipindi hujitoa ufahamu na kufanya violation ya mpaka wake na Finland, subiri sasa hao Finland wanajiunga NATO, tuone kama huyo Urusi atajisahau tena.
 
Kinyume chake kutokana na maelezo urusi hapigani na nato.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 


Wewe upo dunia ipi au huelewi mambo??!!, NATO anajihusisha moja kwa moja kwa njia hizi; 1--Msaada wa Silaha na logistics, 2- Msaada wa utaalamu katika kutumia hizo silaha, 3--- Msaada wa spying na surveillance, 4- Msaada wa pesa nk, 5--Vikwazo vya uchumi dhidi ya Russia, 6-- Wamo wanajeshi wachache kutoka NATO (to be precise kutoka nchi za NATO individually) na USA naye yupo na NATO katika hayo majukumu sita niliyoyataja.

Kwa hali hiyo utasemaje Russia anapigana na Ukraine pekee??!!--- acha Ushabiki.
 

NATO hajajihusisha, yeye anawapa Ukraine vijisiraha fulani hivi wapambane na hivyo vimemliza Mrusi hadi raha, NATO wenyewe humo kuna mataifa moja moja tu yana uwezo wa kuipiga Urusi bila kusaidiwa, sasa wakimparamia wote atafutika. Wanamtamani sana, aambiwe akosee njia na kakombora kamoja hivi.
 
Congress wamempa Biden dola bilioni 40 za kuanzia atumuie kwa ajili ya Ukraine, bajeti ya mwaka ya ulinzi tu ya US ni dola bilioni 750.
Vita vya Iraq US ilikuwa inatumia dola milion 300 kwa siku kwa miaka 20.
Hawafilisiki leo wala kesho hao.
Wamezui pesa za Russia nyingi na ndio zitakazolipia gharama ya Vita. Marekani uchumi wake upo very strategic planning. Sisi ndio tunaishi bila mipango. Wao kila kitu ni bihashara. Apo hata USA anafanya bihashara ya Vita na lazima iyo pesa yake itarudi zaidi ya mara 5

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Unaposema Ukraine ni Mashoga. Wewe mwenyewe shoga tuuu

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Fact gani mzee. Marekani anataka kutufanya dunia nzima wasenge kwa ubabe wake wa kijinga kwa mgongo wa demomrasia. Sasa kakutana na chuma cha pua Urusi hawapangiwi.

Wacha moto uwake tu hapo Ukraine hadi watakapobakia wanajeshi wawili.
Hawawezi kubaki Askari wawili na wakati mataifa yote yanapeleka wapiganaji Ukraine. Russia nae aombe maaskari kutoka mataifa mengine, maana kila Taifa lishapoteza maaskari wengi sana

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…