MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
- Thread starter
- #141
Eti NATO waingize jeshi ??!!--- wao hawaujui mziki wa Russia??!!, wao hawajui silaha za siri alizokuwanazo Russia ambazo hata hajaanza kuzitumia??, hypersonics zinazoweza kubeba nuclear heads na makombora mengine heavy ya nuklear ya Russia NATO hawayajui??!!, NATO hawajui kufa??, wewe huoni wakipigana dhidi ya Russia kwa mgongo wa Ukraine??!, makombora ya Nuclear ya Russia yanaweza kufuta sehemu kubwa ya Ulaya kama sio Ulaya yote, Ulaya hawajui hilo?!!. Ni NATO mwehu anayeweza kuingiza mguu dhidi ya Russia.
Yaani hiyo NATO humo kuna nchi moja tu inailiza Urusi hadi raha, sasa hesabu mataifa yote hayo yaje kumparamia ukizingatia ameteswa na kainchi kadogo kiasi cha kushindwa pakutokea.