Wakati USAID Ikipotea, Tutegemee Vifo na Maambukizi Mapya ya HIV makubwa haijawahi tokea, Tusipochukua hatua ;it is really a timing Bomb!


Hivi ni vichochoro vya kula pesa za wenye pesa. Wameshitukia
 
UNAID Inaendelea alafu USAID sidhani kama itarudi inavyogongelewa misumari na DOGE sidhani kama kutakuwa na ulazima itaundwa ingine ila after 90 days apo katikati ndo mtafutano utaanza lazima tupate mass death ili tuzame ktk mikataba yao
 
Hivi ni vichochoro vya kula pesa za wenye pesa. Wameshitukia
Kabisa nakwambia mkuu Pesa kuipitishia kwa hivi vi Local NGO ni janga na ni matumizi mabaya ya pesa za walengwa..kuna urasimu mkubwa mno kule wanatafuna pesa vibaya mno wakurugenzi na wahasibu ndo hawafai kabisa wanavunja activities na posho za wafanyakazi na volunteers wao pesa wanakula wao,mbaya zaidi budget inafichwa haiwekwi wazi ili wapige pesa vizuri..ukihoji tu kazi huna..LOCAL NGO NI SUMU SUMU SUMU MNO
 
Acheni uzinifu, yani uende kuzini kwa starehe zako huko kisha usubiri misaada ya USAID.

Bora hata wangewasaidia wagonjwa wa cancer
 
Ni kinyume chake,
PEPFAR ndio iko chini ya USAID, inapewa pesa na USAID
Acha uzushi, USAID, Department of Defense (DOD) na CDC wanapewa pesa za HIV na PEPFAR na wote wanasimamiwa na ku report PEPFAR
 
Elimu izidi kutolewa serikali ibebe jukumu la kutoa elimu tahdhari kwa jamii ili kuilinda na maambukizi mapya

Serikali itoe wigo kwa wataalamu wetu wa ndani kusupport tafiti kwa tiba mbadala na wataalamu wetu ili wapate matokeo chanya juu ya Tiba au ahueni kwa gonjwa hili.
 
Acha uzushi, USAID, Department of Defense (DOD) na CDC wanapewa pesa za HIV na PEPFAR na wote wanasimamiwa na ku report PEPFAR

Naona hii PEPFAR imeanza kuleta chokochoko . Kama PEPFAR inatokea marekani, namuomba head of D.O.G.E asiisahau, Trump aipige pin.
 
Mlitegemea misaada mpewe mpaka kiama?
. Ni sawa kabisa ulichoandika naona awareness inahitajika sana na kuweka vipeperushi kila hospitali na pia kila sehemu kama mashuleni watoto na vijana waelezwe athari za ngono na maambukizi yake
Turudi na kusema ukimwi huuwa
Wazungu wamewachoka amkeni
Mbona waafrika wenzetu wanatengeneza ARV ? Kwani mnakwama wapi
Mlijisahau sana mkijiweka masikini wa kutupa
Misaada kwa ajili ya masikini na mmeshindwa kuvuka hiyo line kisa vya bure
 
Naona hii PEPFAR imeanza kuleta chokochoko . Kama PEPFAR inatokea marekani, namuomba head of D.O.G.E asiisahau, Trump aipige pin.
Na yenyewe inafanyiwa review, ndiyo maana hata wenyewe funds zao zimekuwa freezed.
Kilichowaponza USAID ni kitendo chao cha kujifanya wao ni vitengo kwamba hawawezi kukaguliwa, na yeyote yule hata rais.
Ila ninapenda kujua kwanini umesema imeanza kuleta chokochoko?
 
Hatari ni kubwa,ila kwa tabia zetu za Kitanzania hasa kwa tabaka lililo uongozini ni wakati sahihi kukataa yooote yale yanayoliumiza taifa kwa sababu ya itikadi za chama,na maslahi kwa chama.Badala yake uachwe mfumo wa kiuchaguzi uweze kuchagua viongozi na watunga sera wanaoweza kutoa mchango wa kweli kulisaidia taifa hili.Mtindo wa sasa na wavipindi vilivyopita vya uchaguzi wa kiini macho ni sababu ya kushindwa kufanya mambo yetu bila mazoea,kulindana,wizi na ufisadi.Hivyo ni muda sahihi kuamka kutoka usingizini vinginevyo hali ijayo hivi punde itatulazimisha kuamka.
 
Na yenyewe inafanyiwa review, ndiyo maana hata wenyewe funds zao zimekuwa freezed.
Ila ninapenda kujua kwanini umesema imeanza kuleta chokochoko?
Don't mind about this.Mi huwa nina bifu langu binafsi na watu wa sekta ya afya especially madaktari wa Tanzania.Madaktari wa Tanzania wanaonekana wamevaa nguo safi lakini moyoni ni wachafu.Huwa ninafikia hatua nashauku karma ifanye kazi yake iyafute magonjwa yote duniani ili hawa jamaa wakose kazi ya kufanya au mtu mmoja aingie na bomu wakati wa morning meeting za hospital awalipue madaktari wote wafe.

Halafu daktari aliye sababisha niwe na bifu nao karma imeshamtandika ameugua ukimwi,nataka afe.
 
Umeongea points sema umeweka na hofu elewa cha kuogopa ni hofu yenyewe. Ivi unaonaje tukakomaa na ulaji wa vyakula ambavyo vinapelekea body 7.36 ph maintenance, navyojua hakuna ugonjwa unao savaivu kwenye alkaline media , check wakati wa korona vyakula vyote vilikuwa alkaline media based maintainance,
How do you think about this.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…