chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Akili mu kichwa, viongozi wa CHADEMA, Sasa ni dhahiri, watoto wao wote wamewapeleka kuishi ughaibuni na kuwachukulia uraia wa huko.
Baada ya kuwapa makazi huko, wanarudi Tanzania na kuanza kuhamasisha watoto wetu waandamane ili wapigwe risasi.Tumewalea watoto hawa kwa gharama kubwa, lakini wanawachochea kufanya uhalifu.
Vijana tuwe makini, ukiwa kilema ni wewe, hutamuona Mbowe, Lema, Wala Mnyika. Na huwezi kuwaona wakienda kumpa pole mama au baba wa Akwilina. Wanajiangalia wao tu.
Wakati mwingine huwa nahoji kama kweli hao viongozi wa Chadema ni raia wa Tanzania