Haijalishi,tutaandamana tu, watoto wao hawatuhusu,lazima hao wanyonyaji tuwafulisheAkili mu kichwa, viongozi wa CHADEMA, Sasa ni dhahiri, watoto wao wote wamewapeleka kuishi ughaibuni na kuwachukulia uraia wa huko.
Baada ya kuwapa makazi huko, wanarudi Tanzania na kuanza kuhamasisha watoto wetu waandamane ili wapigwe risasi.Tumewalea watoto hawa kwa gharama kubwa, lakini wanawachochea kufanya uhalifu.
Vijana tuwe makini, ukiwa kilema ni wewe, hutamuona Mbowe, Lema, Wala Mnyika. Na huwezi kuwaona wakienda kumpa pole mama au baba wa Akwilina. Wanajiangalia wao tu.
Wakati mwingine huwa nahoji kama kweli hao viongozi wa Chadema ni raia wa Tanzania
Kuhamia Burundi au Marekani au kubaki Tz kipi ni kipi!!!Akili mu kichwa, viongozi wa CHADEMA, Sasa ni dhahiri, watoto wao wote wamewapeleka kuishi ughaibuni na kuwachukulia uraia wa huko.
Baada ya kuwapa makazi huko, wanarudi Tanzania na kuanza kuhamasisha watoto wetu waandamane ili wapigwe risasi.Tumewalea watoto hawa kwa gharama kubwa, lakini wanawachochea kufanya uhalifu.
Vijana tuwe makini, ukiwa kilema ni wewe, hutamuona Mbowe, Lema, Wala Mnyika. Na huwezi kuwaona wakienda kumpa pole mama au baba wa Akwilina. Wanajiangalia wao tu.
Wakati mwingine huwa nahoji kama kweli hao viongozi wa Chadema ni raia wa Tanzania
Watanzania sio wajinga hivyoNi bora ufe ukipigania haki, kuliko kufa kwa uzembe wa serikali ya ccm, kama kukosa huduma za afya, msongo wa mawazo kutokana na kupanda kwa gharama za maisha uliosababishwa na bi tozo, ajali za kipumbavu ambazo ccm imeshindwa kushughulika nazo n.k
kwanini huwa mnayahusisha maandamano yaliyo ruhusiwa kisheria na kupigwa watu risasi? kwani maandamano yalikatazwa lini kwenye hii nchi?Akili mu kichwa, viongozi wa CHADEMA, Sasa ni dhahiri, watoto wao wote wamewapeleka kuishi ughaibuni na kuwachukulia uraia wa huko.
Baada ya kuwapa makazi huko, wanarudi Tanzania na kuanza kuhamasisha watoto wetu waandamane ili wapigwe risasi.Tumewalea watoto hawa kwa gharama kubwa, lakini wanawachochea kufanya uhalifu.
Vijana tuwe makini, ukiwa kilema ni wewe, hutamuona Mbowe, Lema, Wala Mnyika. Na huwezi kuwaona wakienda kumpa pole mama au baba wa Akwilina. Wanajiangalia wao tu.
Wakati mwingine huwa nahoji kama kweli hao viongozi wa Chadema ni raia wa Tanzania
Inawezekana wakisikia "Maandamano" kwao hutafsiri kama "Mapambano".kwanini huwa mnayahusisha maandamano yaliyo ruhusiwa kisheria na kupigwa watu risasi? kwani maandamano yalikatazwa lini kwenye hii nchi?
unasema watoto wao wanaponda raha US je wale wanafunzi waliokosa mikopo vyuoni wanaponda raha kama watoto wa LISU na Mbowe? tuseme hawa wa vyuoni Tanzania wakiandamana ili kupata mikopo ni haramu pia?
umeme na maji hakuna je tukiandamana kuwadai hili hitaji pia mtatupiga risasi na mpaka watoto wa LISU na Mbowe wawepo ndiyo iwe halali?
ukosefu wa ajira nao tusiandamane mpaka watoto wa Lisu na Mbowe wawepo?
Huwa najiuliza,
MTU KAMA WEWE ULISOMA KWELI? ULISOMA WAPI HUKO ULIKOFUNDISHWA UPUUZI NA UJINGA WA KIWANGO HIKI?
Kwamba mtu kuandamana mpaka mtoto wa kiongozi awepo?
Nilitegemea unaleta ushahidi wa ticket ya ndege au chochote kinachoonesha watoto wao wameenda huko unakosema. Kumbe ni porojo tu!? Ukute na wewe hapo ulipo una familia inakutegemea!Akili mu kichwa, viongozi wa CHADEMA, Sasa ni dhahiri, watoto wao wote wamewapeleka kuishi ughaibuni na kuwachukulia uraia wa huko.
Baada ya kuwapa makazi huko, wanarudi Tanzania na kuanza kuhamasisha watoto wetu waandamane ili wapigwe risasi.Tumewalea watoto hawa kwa gharama kubwa, lakini wanawachochea kufanya uhalifu.
Vijana tuwe makini, ukiwa kilema ni wewe, hutamuona Mbowe, Lema, Wala Mnyika. Na huwezi kuwaona wakienda kumpa pole mama au baba wa Akwilina. Wanajiangalia wao tu.
Wakati mwingine huwa nahoji kama kweli hao viongozi wa Chadema ni raia wa Tanzania
Ndomana CDM Bado haiaminiki kupewa DOLA,Watajwa Wanatupa NADHARIA mbili;-
1.Uraia pacha uwepo kikatiba
2.wanaleta hoja za kugawa wanachama KWA kupoteza imani KWA makada na Chama KWA UJUMLA!
Hatujui KWA faida ya Nani wamesema Hayo maana ni personal!
Suala la uraia pacha Wazee walilikataa,Watajwa Wanatupa NADHARIA mbili;-
1.Uraia pacha uwepo kikatiba
2.wanaleta hoja za kugawa wanachama KWA kupoteza imani KWA makada na Chama KWA UJUMLA!
Hatujui KWA faida ya Nani wamesema Hayo maana ni personal!
Kwa majibu haya, ndio maana kazi yako ni kusukuma mkokoteniNilitegemea unaleta ushahidi wa ticket ya ndege au chochote kinachoonesha watoto wao wameenda huko unakosema. Kumbe ni porojo tu!? Ukute na wewe hapo ulipo una familia inakutegemea!
Bora mimi msukuma mkokoteni kuliko wewe chawaKwa majibu haya, ndio maana kazi yako ni kusukuma mkokoteni
Ushazoea kupeleka ee?Haya, peleka boga likaliwe
Akilini mwako umeweka chumvi au matope.??Akili mu kichwa, viongozi wa CHADEMA, Sasa ni dhahiri, watoto wao wote wamewapeleka kuishi ughaibuni na kuwachukulia uraia wa huko.