Labda kuiunganisha Chato na AfricaTuliona Marais na Wafalme mbalimbali wa Afrika wengi sana wakija hapa nchini.
Mimi niliamini kabisa Africa Union (AU) inaenda kuwa imara, tena yenye maono sahihi kwa ajili ya Waafrika.
Nini kimetokea siku hizi, maana siwaoni wakija tena.
Je, Magufuli alikuwa na nia ya kuiunganisha Afrika?
Eti Mseveni na KagameAwamu ya tano? Utakua uliona vibaya
Nikutajie Wachache.Eti Mseveni na Kagame
Wengi ya uliowataja walikuja wakati wa mkutano wa SADC na ilibidi waje kwa sababu Tanzania ndio walikuwa wenyeji!Nikutajie Wachache.
Mfalme wa Morocco.
Rais wa SA.
Rais wa Malawi.
Rais wa Ethiopia.
Rais wa Msumbiji.
Mfalme wa Eswatini.
Rais wa Burundi.
Rais wa Congo.
Mseveni.
Kagame.
N.K.
Ukipenda kujua zaidi Gugu hapo.
Walikuwa wanakuja wanao fanana nayeTuliona Marais na Wafalme mbalimbali wa Afrika wengi sana wakija hapa nchini.
Mimi niliamini kabisa Africa Union (AU) inaenda kuwa imara, tena yenye maono sahihi kwa ajili ya Waafrika.
Nini kimetokea siku hizi, maana siwaoni wakija tena.
Je, Magufuli alikuwa na nia ya kuiunganisha Afrika?
Wote hao walikuja mwaka Jana waje mwaka huu kufanyaje tena?Nikutajie Wachache.
Mfalme wa Morocco.
Rais wa SA.
Rais wa Malawi.
Rais wa Ethiopia.
Rais wa Msumbiji.
Mfalme wa Eswatini.
Rais wa Burundi.
Rais wa Congo.
Mseveni.
Kagame.
N.K.
Ukipenda kujua zaidi Gugu hapo.
Tuliona Marais na Wafalme mbalimbali wa Afrika wengi sana wakija hapa nchini.
Mimi niliamini kabisa Africa Union (AU) inaenda kuwa imara, tena yenye maono sahihi kwa ajili ya Waafrika.
Nini kimetokea siku hizi, maana siwaoni wakija tena.
Je, Magufuli alikuwa na nia ya kuiunganisha Afrika?
Sasa hivi hawawezi kuja tena. Majizi yametamalaki kila kona.Tuliona Marais na Wafalme mbalimbali wa Afrika wengi sana wakija hapa nchini.
Mimi niliamini kabisa Africa Union (AU) inaenda kuwa imara, tena yenye maono sahihi kwa ajili ya Waafrika.
Nini kimetokea siku hizi, maana siwaoni wakija tena.
Je, Magufuli alikuwa na nia ya kuiunganisha Afrika?
Afrika inaweza kufanywa moja na hao viongozi wanaoingia madarakani bila ridhaa ya wananchi wao?! Kama ni muungano ungekuwa sio wa bara la Afrika, bali wa viongozi wezi na makatili katika bara la Afrika.Itakuwa basi.
Maana hadi nchi zialianza kuchangamkia Kiswahili. Yalikuwa maandalizi ya kuifanya africa moja.
Awamu ya JPM Tanzania ilipokea ugeni wa Maraisi na wafalme wengi kuliko tunachoshuhudia kwa sasa.
Nchi kama hii yenye raslimali lukuki halafu Rais anashinda mitaani Kuomba Omba?
Nimeandika ninachokielewa.
Wamekuja hapa marais wengi sana.
Nikutajie Wachache.
Mfalme wa Morocco.
Rais wa SA.
Rais wa Malawi.
Rais wa Ethiopia.
Rais wa Msumbiji.
Mfalme wa Eswatini.
Rais wa Burundi.
Rais wa Congo.
Mseveni.
Kagame.
N.K.
Ukipenda kujua zaidi Gugu hapo.