Wakati wa Klabu ya Yanga kuuzwa rasmi kwa Manji umefika

sidhani kama timu ya Azam ina miaka 10 tangu imeanzishwa lakini tayari imejengeka vizuri kimiundombinu, kiuchumi, etc.

pia kwenye dimba uwanjani imeshanyakua mataji makubwa mawili (TZ & Cecafa) na imekuwa ikishika nafasi 2 za juu kwa miaka takribani 5 mfululizo kwenye ligi yetu. pia fanbase yake imeongezeka kwa kiasi kikubwa sana.

kwa zama hizi za ushindani, na ukizingatia Azam haikuwahi kuwa brand maarufu sana, haya si mafanikio madogo hata kidogo.

sasa tumia template hiyo kwa brands kubwa Simba au Yanga - boom!!!

Alicho-invest Bakhresa pale Azam hajarudisha hata robo na itakuwa ngumu sana kurudisha kwa jinsi anavyoendesha timu

Matatizo ya klabu za TZ sio viongozi tu,yanaanzia kwa mashabiki,wanachama,viongozi wa TFF,viongozi wa klabu,viongozi wa vyama vya michezo vya mikoa na serikali kwa ujumla.

Jiulize inakuwaje Azam wana uwanja lakini mechi na Simba/Yanga anaenda kuchezea Taifa,unategemea gharama za kuhudumia Azam Complex zinatoka wapi ?

Pamoja (Simba,Azam) na kufungua hayo maduka ya vifaa vya michezo mbona jezi nyingi zinazouzwa ni feki ,serikali ina msaada gani kwenye hilo ?
 
nakubaliana na wewe. uendeshaji wa timu ya Azam ni dhahiri unatumia resources nje ya vyanzo vya mapato yatokanayo na mpira. mimi nadhani tatizo linaweza kuwa ni fanbase yake kuwa nyembamba.

uwanja wa Azam ungekuwa unamilikiwa na moja ya timu hizi mbili kubwa, impact yake kwenye turnover ya klabu ingekuwa quite discernible due to a sizeable fanbase these two teams are enjoying.

tatizo la product substitution linaweza kuwa resolved kitaalamu pia. kuna utaalamu wa biocoding (siyo barcoding) kwa ajili ya brand protection ambao wamiliki kwa kushirikiana na enforcing authorities za serikali wanaweza ku-implement. inahitajika kujipanga tu...teknologia ipo.

but it has to be a BUSINESS ENTITY first and foremost - siyo klabu ya sisi Waswahili!
 
Hii issue watu wanaiongelea juuu juu tu,Mo alishamiliki timu akachemsha ,Rahim Kangezi anamiliki timu kamuulize atakueleza tatizo yako wapi.

Kama TFF,Serikali hawatatoa support hata umpe Dangote atachemsha,na wanaoendesha hizi timu still ni wabongo mfano Azam wanavyoendesha timu hawana tofauti na Simba/Yanga

Yanga walitaka kujenga uwanja lakini hawapati support kutoka TFF au serikalini,unafikiri Manji akipewa timu ndio atapewa kibali cha kujenga uwanja.
 
mkuu, kama nilivyotangulia kusema huko nyuma umiliki wa timu ndogo changamoto ni kukosekana ufuasi kutokana na traditional dominance ya Simba & Yanga.
so suala la Mo kuchemsha kuendesha timu ndogo nadhani linaweza kuwa explained na hii factor. ndiyo maana sasa anaitaka Simba kwa sababu nilizozieleza tayari.

labda hili la Manji kushindwa kujenga uwanja akiwa kiongozi Yanga linaweza kuelezwa tofauti kidogo. nionavyo mimi, uwanja kujengwa pale Kaunda is more sentimental (by sisi Waswahili) than reason. for me, uwanja ungeweza kujengwa pahala pengine popote (within a radius of 20-30 kms off Dar) na bado ukaleta business sense inayotarajiwa.

kufikia maamuzi ya kujenga mbali na Kaunda kunahitaji kuondoa kwanza kikwazo cha sisi Waswahili ambao tunataka tu uwanja ujengwe pale - ukiuliza why? kila mtu ana jibu lake! inahitajika businesswise decision making. am sure you know what am going to say next.
 
Mimi nauliza tu, mbona biashara za Manji zinakuwa na kupanuka lakini Yanga haina biashara licha ya asset ilizonazo?

Manji ni walewale tu yupo Yanga kutimiza ajenda zake, kwahiyo akifa Manji na Yanga kwishney?
ulitaka manji afilisike?
 
Mimi nauliza tu, mbona biashara za Manji zinakuwa na kupanuka lakini Yanga haina biashara licha ya asset ilizonazo?

Manji ni walewale tu yupo Yanga kutimiza ajenda zake, kwahiyo akifa Manji na Yanga kwishney?

Yanga ipo kabla ya Manji na itaendelea kuwepo baada ya Manji kwa kumbukumbu sahihi tu wakati Yanga inaanzishwa uyo Manji alikua hajapita kwenye tupu ya baba ake kuja duniani na akifa leo kama walivyokufa wengine Yanga itakuwepo.
 
Hayo maelezo yako yana chembe chembe za lawama kwa manji

0
Ni kwa nini Manji asilaumiwe na yeye ndio mwenyekiti? Nyinyi mashabiki wa mpira mna akili ndogo sana nilitegemea mfanyabiashara mwenye mafanikio kama Manji angetumia skills zake ili Yanga ijitegemee.

Hivi pale mtaa wa Mafia Yanga ingejenga hotel ya kisasa na kuikodisha kwa management binafsi kuiendesha hicho si ni kitega uchumi kikubwa?

Nina mashaka hata na hii Yanga kama ina bajeti ya club, kila kitu Manji huu ni upuuzi wa hali ya juu.
 
Yanga ipo kabla ya Manji na itaendelea kuwepo baada ya Manji kwa kumbukumbu sahihi tu wakati Yanga inaanzishwa uyo Manji alikua hajapita kwenye tupu ya baba ake kuja duniani na akifa leo kama walivyokufa wengine Yanga itakuwepo.
Wewe huna akili, jengo unaloliona leo alijenga Karume, na pale mtaa wa Mafia wazee kama Tabu Mangala ambao hawana shule waliweza kuweka asset ya club, je Manji anaacha legacy gani Yanga?
 
Ni kwa nini Manji asilaumiwe na yeye ndio mwenyekiti? Nyinyi mashabiki wa mpira mna akili ndogo sana nilitegemea mfanyabiashara mwenye mafanikio kama Manji angetumia skills zake ili Yanga ijitegemee.

Hivi pale mtaa wa Mafia Yanga ingejenga hotel ya kisasa na kuikodisha kwa management binafsi kuiendesha hicho si ni kitega uchumi kikubwa?

Nina mashaka hata na hii Yanga kama ina bajeti ya club, kila kitu Manji huu ni upuuzi wa hali ya juu.
ww mwenye akili kubwa gombea au tuonyeshe club yako
 
mkuu, kama nilivyotangulia kusema huko nyuma umiliki wa timu ndogo changamoto ni kukosekana ufuasi kutokana na traditional dominance ya Simba & Yanga.
so suala la Mo kuchemsha kuendesha timu ndogo nadhani linaweza kuwa explained na hii factor. ndiyo maana sasa anaitaka Simba kwa sababu nilizozieleza tayari.

labda hili la Manji kushindwa kujenga uwanja akiwa kiongozi Yanga linaweza kuelezwa tofauti kidogo. nionavyo mimi, uwanja kujengwa pale Kaunda is more sentimental (by sisi Waswahili) than reason. for me, uwanja ungeweza kujengwa pahala pengine popote (within a radius of 20-30 kms off Dar) na bado ukaleta business sense inayotarajiwa.

kufikia maamuzi ya kujenga mbali na Kaunda kunahitaji kuondoa kwanza kikwazo cha sisi Waswahili ambao tunataka tu uwanja ujengwe pale - ukiuliza why? kila mtu ana jibu lake! inahitajika businesswise decision making. am sure you know what am going to say next.
Kwanza nakupongeza kwa maoni yako tofauti na wengi wanaongea kishabiki bila kuelewa matatizo ya mpira wa wetu

Naamini kabisa Simba/Yanga zinaweza kubadilishwa kiuendeshaji na kupata mafanikio ya kiuchumi bila kumilikiwa na watu binafsi/kampuni kama sisi wenyewe tunashindwa tusitegemee kama wakija hao wamiliki ndio watabadilisha.Tatizo kubwa lililopo ni sisi tunaopiga kelele(mashabiki na wanachama) kama hatutabadilika hakutakuwa na jipya.

Hao viongozi tunaowalalamikia Rage,Malinzi,Kaburu,Aveva,Manji wote wamechaguliwa na wanachama so kama wanachama tunachagua watu na tunashindwa ku-wahoji kuwa na katiba itakayoboresha uendeshaji wa klabu zetu.Wengi wanaopigania kuongoza hizi klabu wanatafuta umaarufu kuendesha vizuri biashara zao au kujijenga kisiasa,hakuna mwenye nia ya kuleta mafanikio ya klabu.Mbeya City licha ya kuwa na fan base ndogo lakini at least viongozi wake walijitahidi kufanya mambo ambayo viongozi wa klabu nyingi wameshindwa,kutopata support toka kwa serikali/TFF kumewakatisha tamaa

Mfano Tanzania tuko 50m kwa sasa lakini wanachama wa klabu za Simba+Yanga wanaochagua viongozi au kutengeneza katiba hawafiki hata 20,000 sidhani kama kuongeza fan base ya wanachama ni lazima kumpa timu Manji/MO.Naamini Yanga/Simba inaweza ikawa na wanachama hata 3 milion

Manji alitaka kujenga uwanja pale kaunda kwa sababu ni pazuri kwa biashara plan haikuwa kujenga uwanja tu bali parking,ukumbi wa mikutano,gym maduka na vitega uchumi vingine.Azam Complex amejenga uwanja tu na location yake nje ya mji inafanya anashindwa kupata mapato mengine na kumbuka hii ligi yetu klabu inacheza mechi hazifiki hata 25
 
a great analysis, chief.

nachokiona why ni vigumu kwa wanachama/wapenzi kubadilika kwa hali ya sasa ni kukosekana kwa ile genuine motivation (at a personal level) ya economic benefits. wengi wa wapenzi kipaumbele chao ni kuona timu inafanya vizuri uwanjani. basi.

embu tuingalie positively hii option yako ya members kubadilika. hii ina maana ya kubadilisha mindscape ya members/fans. na hii inaweza kutokea endapo tu uongozi utatengeneza strategic scheme itakayozalisha eventual economic benefits (or similar) kwa individual members. hiyo inaweza kuleta motivation na commitment mpya (na kubwa) kwenye maeneo yote across the board - members wenyewe kuwajibika zaidi, members kuwajibisha viongozi zaidi, members kuhoji zaidi, members kuwa na ownership mentality, etc.

safari ni ndefu, lakini inawezekana..
 
Hii issue watu wanaiongelea juuu juu tu,Mo alishamiliki timu akachemsha ,Rahim Kangezi anamiliki timu kamuulize atakueleza tatizo yako wapi.

Kama TFF,Serikali hawatatoa support hata umpe Dangote atachemsha,na wanaoendesha hizi timu still ni wabongo mfano Azam wanavyoendesha timu hawana tofauti na Simba/Yanga

Yanga walitaka kujenga uwanja lakini hawapati support kutoka TFF au serikalini,unafikiri Manji akipewa timu ndio atapewa kibali cha kujenga uwanja.

..."MO" kumiliki mbagala market isiwe sababu ya kuilinganisha na Simba,Simba ni klabu kubwa na hata nguvu itakayotumika kwenye uwekezaji ni tofauti!,hii sio pointi kbs tafuta nyingine!
 
Back
Top Bottom