Wakati wa Klabu ya Yanga kuuzwa rasmi kwa Manji umefika

Wakati wa Klabu ya Yanga kuuzwa rasmi kwa Manji umefika

a great analysis, chief.

nachokiona why ni vigumu kwa wanachama/wapenzi kubadilika kwa hali ya sasa ni kukosekana kwa ile genuine motivation (at a personal level) ya economic benefits. wengi wa wapenzi kipaumbele chao ni kuona timu inafanya vizuri uwanjani. basi.

embu tuingalie positively hii option yako ya members kubadilika. hii ina maana ya kubadilisha mindscape ya members/fans. na hii inaweza kutokea endapo tu uongozi utatengeneza strategic scheme itakayozalisha eventual economic benefits (or similar) kwa individual members. hiyo inaweza kuleta motivation na commitment mpya (na kubwa) kwenye maeneo yote across the board - members wenyewe kuwajibika zaidi, members kuwajibisha viongozi zaidi, members kuhoji zaidi, members kuwa na ownership mentality, etc.

safari ni ndefu, lakini inawezekana..
Uko vizuri...lete kwa lugha moja...wengine tumetoka Kaliua.
 
Hii issue watu wanaiongelea juuu juu tu,Mo alishamiliki timu akachemsha ,Rahim Kangezi anamiliki timu kamuulize atakueleza tatizo yako wapi.

Kama TFF,Serikali hawatatoa support hata umpe Dangote atachemsha,na wanaoendesha hizi timu still ni wabongo mfano Azam wanavyoendesha timu hawana tofauti na Simba/Yanga

Yanga walitaka kujenga uwanja lakini hawapati support kutoka TFF au serikalini,unafikiri Manji akipewa timu ndio atapewa kibali cha kujenga uwanja.
Very true , Mo alichemsha vibaya sana , ila Kajumulo alikuwa anaibiwa tu na watoto wa mjini .
 
Mimi nauliza tu, mbona biashara za Manji zinakuwa na kupanuka lakini Yanga haina biashara licha ya asset ilizonazo?

Manji ni walewale tu yupo Yanga kutimiza ajenda zake, kwahiyo akifa Manji na Yanga kwishney?
Wewe Nyumbu Yanga haiwezi kufa hata siku moja
 
Hahahaaaa!
Hili suala la fanbase huwa kila siku najiuliza hivi hizi timu kama elimu inatolewa kwa wapenzi na mashabiki wakawaelewa viongozi kuwa kwa wiki unatoa mia tano unanunua gazeti la yanga imara au ngurumo za simba kwa uchache wauze nakala laki mbili kwa wiki ingekuwa bonge la kitega uchumi wapenzi wanaambiwa sio tu unapata khabari za timu pia unakuwa umechangia klabu .
Leo watu wapo radhi kuvaa jezi za nje tena original sio kafa ulaya kwanini morali huo usibadilishwe na kuwa wa yanga na simba?dhamira na uthubutu walio kuwa nao kina mzee tabu mangala upo wapi?enzi za youth timu kama black stars ilio toa kina pondamali ipo wapi?
 
Katibu wa klabu na msemaji wa klabu wanaweza kufanya kampeni ya kuongeza idadi ya wanachama hai nchi nzima,hata kufanya hivi ni lazima tuwape timu hao wahindi ?
Ni aibu Simba/Yanga wanachama hai hawafiki hata 20,000
 
Yanga ina hazina kubwa sana ya mashabiki ikiamua kutilia mkazo kuikuza brand watapata mpunga wa maana.

Juzi nilikuwa uwanjani nikamuona Meneja Masoko wa Yanga nikajiuliza huyu mtu kazi yake ni nini pale Jangwani?
 
Inasemekana huyu ndiye mlipaji mkuu wa Yanga , ndiyo benki ya timu , ni Mwenyekiti lakini zaidi ni mgombea pekee wa Uenyekiti kwenye uchaguzi ujao .

Katika kipindi chake tumeona Yanga ikipaa kimataifa .

Kama wanachama wengine hamtoi chochote kwanini msibaki kama washabiki tu , ili timu imilikiwe na mtu mwenye uwezo moja kwa moja ?

Kila mwenye macho ameshuhudia Kibopa Abramovic alivyoibadilisha Chelsea , mifano ni mingi sana ! Hapo jirani DRC , PDG Katumbi hakuna asiyeujua mchango wake kwenye harakati za TP MAZEMBE kutawala soka la Africa .

Shime wana Yanga wakati ni huu , yale mambo ya kudai " nilichangia tofali au sijui nilibeba mchanga " yamepitwa na wakati .
So far ni club ya wanachama. Kwanza igeuzwe iwe kampuni ili wanahisa wajulikane. Baada ya hapo auziwe kwenye ushindani na watu wengine.
 
Yanga ina hazina kubwa sana ya mashabiki ikiamua kutilia mkazo kuikuza brand watapata mpunga wa maana.

Juzi nilikuwa uwanjani nikamuona Meneja Masoko wa Yanga nikajiuliza huyu mtu kazi yake ni nini pale Jangwani?
Kuna vyeo vimewekwa kulindana tu Msemaji wa klabu,Katibu wa klabu,Meneja Masoko hakuna cha maana wanachofanya,nakumbuka hata TFF waliwahi kumuajiri Jimmy Kabwe hicho cheo hakuna alichofanya
 
Kuna vyeo vimewekwa kulindana tu Msemaji wa klabu,Katibu wa klabu,Meneja Masoko hakuna cha maana wanachofanya,nakumbuka hata TFF waliwahi kumuajiri Jimmy Kabwe hicho cheo hakuna alichofanya
Tuna safari ndefu sana hadi kufikia kuona mafanikio ya Vilabu vyetu na Taifa kwa ujumla.
 
Back
Top Bottom