kilimbamula
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 1,792
- 853
Naafiki Yanga auziwe Manji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini Manji asisinuwe Team yake aimiliki yeye kama Bakhresa? Ndio maana maishani mwangu sintokuja kuwa mwanachama wa timu hizi, maana zimesheheni watu wajinga na wasiokuwa vision yoyote.Naafiki Yanga auziwe Manji
Hivi ni nini sababu ya hawa kina Jumanne kupenda kuitwa Jimmy!?Kuna vyeo vimewekwa kulindana tu Msemaji wa klabu,Katibu wa klabu,Meneja Masoko hakuna cha maana wanachofanya,nakumbuka hata TFF waliwahi kumuajiri Jimmy Kabwe hicho cheo hakuna alichofanya
Ujinga ni watanzania kwa ujumla na sio kwenye vilabu vya mpira,huo ujinga uko kwenye siasa pia na shughuli nyingine za watanzaniaKwa nini Manji asisinuwe Team yake aimiliki yeye kama Bakhresa? Ndio maana maishani mwangu sintokuja kuwa mwanachama wa timu hizi, maana zimesheheni watu wajinga na wasiokuwa vision yoyote.
Shukrani kubwa sana kwa watani wetu kwa kupokea ushauri wangu , mpira ni hela , mambo ya kudai kwamba eti ulichangia mchanga kwenye ujenzi wa jengo la yanga miaka 100 iliyopita , yamepitwa na wakati .Inasemekana huyu ndiye mlipaji mkuu wa Yanga , ndiyo benki ya timu , ni Mwenyekiti lakini zaidi ni mgombea pekee wa Uenyekiti kwenye uchaguzi ujao .
Katika kipindi chake tumeona Yanga ikipaa kimataifa .
Kama wanachama wengine hamtoi chochote kwanini msibaki kama washabiki tu , ili timu imilikiwe na mtu mwenye uwezo moja kwa moja ?
Kila mwenye macho ameshuhudia Kibopa Abramovic alivyoibadilisha Chelsea , mifano ni mingi sana ! Hapo jirani DRC , PDG Katumbi hakuna asiyeujua mchango wake kwenye harakati za TP MAZEMBE kutawala soka la Africa .
Shime wana Yanga wakati ni huu , yale mambo ya kudai " nilichangia tofali au sijui nilibeba mchanga " yamepitwa na wakati .
Tatizo kubwa ni njaa zenu .Kama alishiriki kuianzisha au baba yake atauziwa lakini kama kaikuta yanga ataiacha yanga Na kama ana fedha kuna ugumu gani kuanzisha timu yake akaiita yanga manji ?
Mwisho wa siku kapewa GSM !Inasemekana huyu ndiye mlipaji mkuu wa Yanga , ndiyo benki ya timu , ni Mwenyekiti lakini zaidi ni mgombea pekee wa Uenyekiti kwenye uchaguzi ujao .