a great analysis, chief.
nachokiona why ni vigumu kwa wanachama/wapenzi kubadilika kwa hali ya sasa ni kukosekana kwa ile genuine motivation (at a personal level) ya economic benefits. wengi wa wapenzi kipaumbele chao ni kuona timu inafanya vizuri uwanjani. basi.
embu tuingalie positively hii option yako ya members kubadilika. hii ina maana ya kubadilisha mindscape ya members/fans. na hii inaweza kutokea endapo tu uongozi utatengeneza strategic scheme itakayozalisha eventual economic benefits (or similar) kwa individual members. hiyo inaweza kuleta motivation na commitment mpya (na kubwa) kwenye maeneo yote across the board - members wenyewe kuwajibika zaidi, members kuwajibisha viongozi zaidi, members kuhoji zaidi, members kuwa na ownership mentality, etc.
safari ni ndefu, lakini inawezekana..