Wakati wa Klabu ya Yanga kuuzwa rasmi kwa Manji umefika

hao wazee mnaowadharau ndio waliozifikisha hizi timu hapa.walijenga uwanja na majengo ingawa kwa ufadhili ila vijana wa sasa na wanaojiita wasomi ni bure kabisa wanachukua uongozi ili kushibisha matumbo yao mfano hakuna kitu kipya kilichoendelezwa baada ya wazee kutoka madarakani
 
Naafiki Yanga auziwe Manji
Kwa nini Manji asisinuwe Team yake aimiliki yeye kama Bakhresa? Ndio maana maishani mwangu sintokuja kuwa mwanachama wa timu hizi, maana zimesheheni watu wajinga na wasiokuwa vision yoyote.
 
Kuna vyeo vimewekwa kulindana tu Msemaji wa klabu,Katibu wa klabu,Meneja Masoko hakuna cha maana wanachofanya,nakumbuka hata TFF waliwahi kumuajiri Jimmy Kabwe hicho cheo hakuna alichofanya
Hivi ni nini sababu ya hawa kina Jumanne kupenda kuitwa Jimmy!?
 
Kama alishiriki kuianzisha au baba yake atauziwa lakini kama kaikuta yanga ataiacha yanga Na kama ana fedha kuna ugumu gani kuanzisha timu yake akaiita yanga manji ?
 
Kwa nini Manji asisinuwe Team yake aimiliki yeye kama Bakhresa? Ndio maana maishani mwangu sintokuja kuwa mwanachama wa timu hizi, maana zimesheheni watu wajinga na wasiokuwa vision yoyote.
Ujinga ni watanzania kwa ujumla na sio kwenye vilabu vya mpira,huo ujinga uko kwenye siasa pia na shughuli nyingine za watanzania
 
Shukrani kubwa sana kwa watani wetu kwa kupokea ushauri wangu , mpira ni hela , mambo ya kudai kwamba eti ulichangia mchanga kwenye ujenzi wa jengo la yanga miaka 100 iliyopita , yamepitwa na wakati .
 
Kama alishiriki kuianzisha au baba yake atauziwa lakini kama kaikuta yanga ataiacha yanga Na kama ana fedha kuna ugumu gani kuanzisha timu yake akaiita yanga manji ?
Tatizo kubwa ni njaa zenu .
 
Mwisho wa siku kapewa GSM !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…