Wakati wa kukabidhi kombe kwa Chelsea jana sikuona Rais Trump akiwa na walinzi

Muite

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
3,192
Reaction score
7,112
Japo ninaamini walinzi walikuwepo tena ulinzi mkubwa.

Lakini hoja yangu ni hii :

Jana kule Marekani mara baada ya fainali ya kombe la Dunia kwa vilabu wakati Chelsea wanakabidhiwa kombe , Rais wa Marekani Mhe Donald Trump alijumuika nao pamoja na Rais wa Fifa pale uwanjani .
Kilichonishangaza ni pale uwanjani ambapo Trump alijumuika na Chelsea wakati wananyanyua kombe juu na kushangilia, pia uwanja ulikuwa na watu wengi sana lakini sikuona walinzi wa Trump hata mmoja akiwa amemkaribia pale uwanjani.

Tofauti na huku kwetu Africa ambapo huwa tunaona kila sehemu Rais lazima azungukwe na wanajeshi wenye Magwanda na mitutu mizito na wengine wakiwa wamevaa suti. Pia wakati Trump amekaa jukwaani sikuona wanajeshi hata mmoja wala walinzi na mituti wakiwa wanawaangalia watazamaji.

Najuwa wenzetu wazungu wapo mbali sana katika teknolojia ndio maana huwezi kuona ulinzi manually kama Africa. Natamani sana na huku kwetu wana usalama wetu wajengewe uwezo zaidi katika vifaa vya kisasa.
Hii itasaidia pia kupunguza muingiliano katika shughuli za viongozi wetu kwani mara nyingi katika hadhira unakuta wananchi badala ya kumfuatilia Rais anachofanya au kuongea unakuta wananchi wanashangaa wanajeshi wenye mitutu.
Bila shaka wenzetu hili walishaliona na ndio maana kila ziara ya Kiongozi mkuu unakuta hakuna taswira nyingine ya kumvuta mtazamaji au msikilizaji zaidi ya Rais au Kiongozi aliyepo.
Ila Kiongozi anapofanya ziara kwenye maeneo ya vita au usalama mdogo ni kawaida kukuta majeshi na mitutu .

Tukio la.jana kule Marekani lilinifikirisha sana nikiangalia huku kwetu Africa kama Rwanda, Uganda na kwa kiasi kidogo hapa kwetu. Japo hapa kwetu ilianzia kipindi cha JPM
 
Walinzi wa nini kwenye nchi za kidemokrasia na zinazozingatia utawala bora?
 
Ukuangalia walikua nyuma la lile jukwaa tena kuna njemba kama 3 silikua zinaangalia mashabiki nami nilikua na mtazamo kama wako lakin nilivyoaangalia vizuri nikawaona wametanda na suti zao nyeusi
 
Mtoa mada anamaanisha kuwa karibu zaidi na rais
 
Japo ninaamini walinzi walikuwepo tena ulinzi mkubwa.

Lakini hoja yangu ni hii :

Jana kule Marekani mara baada ya fainali ya kombe la Dunia kwa vilabu wakati Chelsea wanakabidhiwa kombe , Rais wa Marekani Mhe Donald Trump alijumuika nao pamoja na Rais wa Fifa pale uwanjani .
Kilichonishangaza ni pale uwanjani ambapo Trump alijumuika na Chelsea wakati wananyanyua kombe juu na kushangilia, pia uwanja ulikuwa na watu wengi sana lakini sikuona walinzi wa Trump hata mmoja akiwa amemkaribia pale uwanjani.

Tofauti na huku kwetu Africa ambapo huwa tunaona kila sehemu Rais lazima azungukwe na wanajeshi wenye Magwanda na mitutu mizito na wengine wakiwa wamevaa suti. Pia wakati Trump amekaa jukwaani sikuona wanajeshi hata mmoja wala walinzi na mituti wakiwa wanawaangalia watazamaji.

Najuwa wenzetu wazungu wapo mbali sana katika teknolojia ndio maana huwezi kuona ulinzi manually kama Africa. Natamani sana na huku kwetu wana usalama wetu wajengewe uwezo zaidi katika vifaa vya kisasa.
Hii itasaidia pia kupunguza muingiliano katika shughuli za viongozi wetu kwani mara nyingi katika hadhira unakuta wananchi badala ya kumfuatilia Rais anachofanya au kuongea unakuta wananchi wanashangaa wanajeshi wenye mitutu.
Bila shaka wenzetu hili walishaliona na ndio maana kila ziara ya Kiongozi mkuu unakuta hakuna taswira nyingine ya kumvuta mtazamaji au msikilizaji zaidi ya Rais au Kiongozi aliyepo.
Ila Kiongozi anapofanya ziara kwenye maeneo ya vita au usalama mdogo ni kawaida kukuta majeshi na mitutu .

Tukio la.jana kule Marekani lilinifikirisha sana nikiangalia huku kwetu Africa kama Rwanda, Uganda na kwa kiasi kidogo hapa kwetu. Japo hapa kwetu ilianzia kipindi cha JPM
Majamaa ya secret service yalikiwepo, sema jana tu security perimeter ilikuwa kubwa ndo maama umeonankama hakuna ulinzi ila hakuna fala ambae angeweza pita pale.
 
Elewa maana ya SECRET SERVICE.
Walinzi wa rais (secret service) mpaka wadunguaji (snipers) walikuwa kila mahali (according to BBC). Sii kila mtua anaweza kuwaona.
 
ila ile midege mitatu ya kijeshi uliiona?
Kabla ya mechi kuanza waliionesha.

Kifupi, ulinzi ulikuwepo mkali ila umeongozwa na Teknolojia kali na sio maguvu kama kwetu
 
Elewa maana ya SECRET SERVICE.
Walinzi wa rais (secret service) mpaka wadunguaji (snipers) walikuwa kila mahali (according to BBC). Sii kila mtua anaweza kuwaona.
Ninaelewa yote hayo. Inahitaji utulivu kuielewa hoja yangu
 
Tukio la.jana kule Marekani lilinifikirisha sana nikiangalia huku kwetu Africa kama Rwanda, Uganda na kwa kiasi kidogo hapa kwetu. Japo hapa kwetu ilianzia kipindi cha JPM
Picha na video zipo wapi?
 
Nchi ya kidemokrasia ni ipi, Marekani ndio inaongoza kwa marais wao kuuwa wakiwa madarakani.
Marekani inaongoza kuua raia wake au sio? Hio ndio Marekane ile iliyopakana na Congo, Zambia, Rwanda na Malawi unaizungumzia au nyingine?
 
Back
Top Bottom