Wakati wa kukabidhi kombe kwa Chelsea jana sikuona Rais Trump akiwa na walinzi

Bora umeweka video sasa leta na picha
t.jpg
 
Pale kila aliyepanda kwenye ile stage tayari Secret Service washamfanyia pre-vetting.

Kila sekunde ya tukio ilikuwa inafuatiliwa, ni ngumu kuona walinzi wote wa Trump, ila ule uwanja jana ulijaa walinzi: snipers, wachache walionekana suti zao nyuma ya jukwaa na wengine walikuwa wanafanya scanning ya kila anayeenda kupanda kuhakikisha ni mtu waliyeruhusu awepo pale.

Kitu cha kushangaza ni Trump kuwa juu ya jukwaa kwa muda mrefu zaidi, baada ya kukabidhi kombe alipaswa kushuka ila alikaa mpaka muda wa ushangiliaji kitu kilichopelekea confetti kusubirishwa.

Kimsingi ambaye anahisi Trump jana ulinzi wake ulikuwa mdogo angejaribu kukanyaga lile jukwaa wakati Trump yupo pale, hata Luis Enrique angejaribu kujinyoosha kama kwa João Pedro aone! 😅
 
Kitu cha kushangaza ni Trump kuwa juu ya jukwaa kwa muda mrefu zaidi,
Kwanini aligoma kushuka Chelsea ilimkosha sana au yeye pia alikua mchezaji wa nje ya uwanja wa Chelsea?
 
Japo ninaamini walinzi walikuwepo tena ulinzi mkubwa.

Lakini hoja yangu ni hii :

Jana kule Marekani mara baada ya fainali ya kombe la Dunia kwa vilabu wakati Chelsea wanakabidhiwa kombe , Rais wa Marekani Mhe Donald Trump alijumuika nao pamoja na Rais wa Fifa pale uwanjani .
Kilichonishangaza ni pale uwanjani ambapo Trump alijumuika na Chelsea wakati wananyanyua kombe juu na kushangilia, pia uwanja ulikuwa na watu wengi sana lakini sikuona walinzi wa Trump hata mmoja akiwa amemkaribia pale uwanjani.

Tofauti na huku kwetu Africa ambapo huwa tunaona kila sehemu Rais lazima azungukwe na wanajeshi wenye Magwanda na mitutu mizito na wengine wakiwa wamevaa suti. Pia wakati Trump amekaa jukwaani sikuona wanajeshi hata mmoja wala walinzi na mituti wakiwa wanawaangalia watazamaji.

Najuwa wenzetu wazungu wapo mbali sana katika teknolojia ndio maana huwezi kuona ulinzi manually kama Africa. Natamani sana na huku kwetu wana usalama wetu wajengewe uwezo zaidi katika vifaa vya kisasa.
Hii itasaidia pia kupunguza muingiliano katika shughuli za viongozi wetu kwani mara nyingi katika hadhira unakuta wananchi badala ya kumfuatilia Rais anachofanya au kuongea unakuta wananchi wanashangaa wanajeshi wenye mitutu.
Bila shaka wenzetu hili walishaliona na ndio maana kila ziara ya Kiongozi mkuu unakuta hakuna taswira nyingine ya kumvuta mtazamaji au msikilizaji zaidi ya Rais au Kiongozi aliyepo.
Ila Kiongozi anapofanya ziara kwenye maeneo ya vita au usalama mdogo ni kawaida kukuta majeshi na mitutu .

Tukio la.jana kule Marekani lilinifikirisha sana nikiangalia huku kwetu Africa kama Rwanda, Uganda na kwa kiasi kidogo hapa kwetu. Japo hapa kwetu ilianzia kipindi cha JPM
😅😅 ila security system ya raisi wa bongo huwa inanichekesha sana. Nataman siku moja litokee jambo tuone na tupime uimara wao
 
Jambo km lipi umesahau yule mama (mlinzi) wa wale wavaa mewani miyeusi na nguo za mazishi (nyeusi) km wapo msibani muda wote alieanguka siku ile na alikua nyuma yake pale uliona kilichoendelea?
 
Japo ninaamini walinzi walikuwepo tena ulinzi mkubwa.

Lakini hoja yangu ni hii :

Jana kule Marekani mara baada ya fainali ya kombe la Dunia kwa vilabu wakati Chelsea wanakabidhiwa kombe , Rais wa Marekani Mhe Donald Trump alijumuika nao pamoja na Rais wa Fifa pale uwanjani .
Kilichonishangaza ni pale uwanjani ambapo Trump alijumuika na Chelsea wakati wananyanyua kombe juu na kushangilia, pia uwanja ulikuwa na watu wengi sana lakini sikuona walinzi wa Trump hata mmoja akiwa amemkaribia pale uwanjani.

Tofauti na huku kwetu Africa ambapo huwa tunaona kila sehemu Rais lazima azungukwe na wanajeshi wenye Magwanda na mitutu mizito na wengine wakiwa wamevaa suti. Pia wakati Trump amekaa jukwaani sikuona wanajeshi hata mmoja wala walinzi na mituti wakiwa wanawaangalia watazamaji.

Najuwa wenzetu wazungu wapo mbali sana katika teknolojia ndio maana huwezi kuona ulinzi manually kama Africa. Natamani sana na huku kwetu wana usalama wetu wajengewe uwezo zaidi katika vifaa vya kisasa.
Hii itasaidia pia kupunguza muingiliano katika shughuli za viongozi wetu kwani mara nyingi katika hadhira unakuta wananchi badala ya kumfuatilia Rais anachofanya au kuongea unakuta wananchi wanashangaa wanajeshi wenye mitutu.
Bila shaka wenzetu hili walishaliona na ndio maana kila ziara ya Kiongozi mkuu unakuta hakuna taswira nyingine ya kumvuta mtazamaji au msikilizaji zaidi ya Rais au Kiongozi aliyepo.
Ila Kiongozi anapofanya ziara kwenye maeneo ya vita au usalama mdogo ni kawaida kukuta majeshi na mitutu .

Tukio la.jana kule Marekani lilinifikirisha sana nikiangalia huku kwetu Africa kama Rwanda, Uganda na kwa kiasi kidogo hapa kwetu. Japo hapa kwetu ilianzia kipindi cha JPM
Hilo kafiri naomba usilitaje jina lake

Free palestine 🇵🇸
 
Africa wana wasiwasi muda wote maana tamaa, dhulma, wanyanyasaji, waharibifu wa democracy, wauaji na yenyewe yanawaza muda wowote yatakatwa kichwa kama nikiiwazia ile umbwa natamani anavyotangatanga si hata ndege yake ipate ajali baharini aishilizie huko hata pasiwepo na kaburi
 
😅😅 ila security system ya raisi wa bongo huwa inanichekesha sana. Nataman siku moja litokee jambo tuone na tupime uimara wao
Wanatuimbiaga tu wako imara, wako imara hwajakutana na jambo tu hawa😀😀 jeshi lenyewe linafundishwa na wazungu na wachina sa sijui uimara uko wapi hamza mwenyewe aliwatoa mavi siku ile na bunduki moja
 
😅😅 ila security system ya raisi wa bongo huwa inanichekesha sana. Nataman siku moja litokee jambo tuone na tupime uimara wao
Siku moja tuwategeshee wapo kwenye ufunguzi wa miradi yao mara mama anatosha ,tuwafuate wale jamaa wenye magwanda tuwatishe wa kupiga kelele masikioni mwao kwa ghafla tuone kitatokea nini kaka
 
Back
Top Bottom