Wakati wa kukabidhi kombe kwa Chelsea jana sikuona Rais Trump akiwa na walinzi

Siku moja tuwategeshee wapo kwenye ufunguzi wa miradi yao mara mama anatosha ,tuwafuate wale jamaa wenye magwanda tuwatishe wa kupiga kelele masikioni mwao kwa ghafla tuone kitatokea nini kaka
Mtakula mabanzi km yule alieingia uwanjani wakati wa mechi au alieenda kumkumbatia msanii fulani kwa lazima, alipasuliwa vibaya sana hakuamka wiki 1 amelala tu kitandani
 
Wewe vunga kuna kamtu nataka kajae kale kipigo kamezidi kusema mambo ya oktoba tunatiki
 
Japo ninaamini walinzi walikuwepo tena ulinzi mkubwa.

Lakini hoja yangu ni hii :

Jana kule Marekani mara baada ya fainali ya kombe la Dunia kwa vilabu wakati Chelsea wanakabidhiwa kombe , Rais wa Marekani Mhe Donald Trump alijumuika nao pamoja na Rais wa Fifa pale uwanjani .
Kilichonishangaza ni pale uwanjani ambapo Trump alijumuika na Chelsea wakati wananyanyua kombe juu na kushangilia, pia uwanja ulikuwa na watu wengi sana lakini sikuona walinzi wa Trump hata mmoja akiwa amemkaribia pale uwanjani.

Tofauti na huku kwetu Africa ambapo huwa tunaona kila sehemu Rais lazima azungukwe na wanajeshi wenye Magwanda na mitutu mizito na wengine wakiwa wamevaa suti. Pia wakati Trump amekaa jukwaani sikuona wanajeshi hata mmoja wala walinzi na mituti wakiwa wanawaangalia watazamaji.

Najuwa wenzetu wazungu wapo mbali sana katika teknolojia ndio maana huwezi kuona ulinzi manually kama Africa. Natamani sana na huku kwetu wana usalama wetu wajengewe uwezo zaidi katika vifaa vya kisasa.
Hii itasaidia pia kupunguza muingiliano katika shughuli za viongozi wetu kwani mara nyingi katika hadhira unakuta wananchi badala ya kumfuatilia Rais anachofanya au kuongea unakuta wananchi wanashangaa wanajeshi wenye mitutu.
Bila shaka wenzetu hili walishaliona na ndio maana kila ziara ya Kiongozi mkuu unakuta hakuna taswira nyingine ya kumvuta mtazamaji au msikilizaji zaidi ya Rais au Kiongozi aliyepo.
Ila Kiongozi anapofanya ziara kwenye maeneo ya vita au usalama mdogo ni kawaida kukuta majeshi na mitutu .

Tukio la.jana kule Marekani lilinifikirisha sana nikiangalia huku kwetu Africa kama Rwanda, Uganda na kwa kiasi kidogo hapa kwetu. Japo hapa kwetu ilianzia kipindi cha JPM
Nyie rais akienda kuangalia mechi ya Simba na Yanga basi siku hiyo wachezaji wa timu zote lazima wechezeshe angalau usalama wa taifa watatu kila timu
 
Mkuu
Walinzi wa nini kwenye nchi za kidemokrasia na zinazozingatia utawala bora?
Ulinzi wa uwanjani kwenye hii game uliratibiwa na kusimamiwa na secret service kwa asilimia 100%
Kulikuwa na scanner na walinzi kila Gate na kila shabiki aliyevuka kuingia uwanjani alijulikana kwa Sura, Taifa alilotokea, Fingerprint, Na Record yake ya kiusalama...

Hata yale mamashine ya kurusha Moto na moshi pale uwanjani na juu ya majukwaa washika remote na kubonyeza button walikuwa ni secret service

Sprinkler za kumwagilia uwanja pia secret service walizisimamia wao.....
 
HHakuN
Japo ninaamini walinzi walikuwepo tena ulinzi mkubwa.

Lakini hoja yangu ni hii :

Jana kule Marekani mara baada ya fainali ya kombe la Dunia kwa vilabu wakati Chelsea wanakabidhiwa kombe , Rais wa Marekani Mhe Donald Trump alijumuika nao pamoja na Rais wa Fifa pale uwanjani .
Kilichonishangaza ni pale uwanjani ambapo Trump alijumuika na Chelsea wakati wananyanyua kombe juu na kushangilia, pia uwanja ulikuwa na watu wengi sana lakini sikuona walinzi wa Trump hata mmoja akiwa amemkaribia pale uwanjani.

Tofauti na huku kwetu Africa ambapo huwa tunaona kila sehemu Rais lazima azungukwe na wanajeshi wenye Magwanda na mitutu mizito na wengine wakiwa wamevaa suti. Pia wakati Trump amekaa jukwaani sikuona wanajeshi hata mmoja wala walinzi na mituti wakiwa wanawaangalia watazamaji.

Najuwa wenzetu wazungu wapo mbali sana katika teknolojia ndio maana huwezi kuona ulinzi manually kama Africa. Natamani sana na huku kwetu wana usalama wetu wajengewe uwezo zaidi katika vifaa vya kisasa.
Hii itasaidia pia kupunguza muingiliano katika shughuli za viongozi wetu kwani mara nyingi katika hadhira unakuta wananchi badala ya kumfuatilia Rais anachofanya au kuongea unakuta wananchi wanashangaa wanajeshi wenye mitutu.
Bila shaka wenzetu hili walishaliona na ndio maana kila ziara ya Kiongozi mkuu unakuta hakuna taswira nyingine ya kumvuta mtazamaji au msikilizaji zaidi ya Rais au Kiongozi aliyepo.
Ila Kiongozi anapofanya ziara kwenye maeneo ya vita au usalama mdogo ni kawaida kukuta majeshi na mitutu .

Tukio la.jana kule Marekani lilinifikirisha sana nikiangalia huku kwetu Africa kama Rwanda, Uganda na kwa kiasi kidogo hapa kwetu. Japo hapa kwetu ilianzia kipindi cha JPM
Hakuna rais mwenye ulinz mkali Kama wa marekani ,
Uwanja ulikua secured na bado ulikua una ulinz Kila mahali
 
Marekani inaongoza kuua raia wake au sio? Hio ndio Marekane ile iliyopakana na Congo, Zambia, Rwanda na Malawi unaizungumzia au nyingine?
Acha ufala hio nchi ndio inaongoza kwa mauaji ya risasi
Tena black people wanauliwa na polisi mbele za watu
Acha kufananisha amani ya Tz na uko marekani
Sie tuko vizur
Hao mpk Marais waliopo madarakani wamewaua afu unajidai ndio Kuna democracy
 
Unataka kusemaje wewe Halo Halo?
 
Japo ninaamini walinzi walikuwepo tena ulinzi mkubwa.

Lakini hoja yangu ni hii :

Jana kule Marekani mara baada ya fainali ya kombe la Dunia kwa vilabu wakati Chelsea wanakabidhiwa kombe , Rais wa Marekani Mhe Donald Trump alijumuika nao pamoja na Rais wa Fifa pale uwanjani .
Kilichonishangaza ni pale uwanjani ambapo Trump alijumuika na Chelsea wakati wananyanyua kombe juu na kushangilia, pia uwanja ulikuwa na watu wengi sana lakini sikuona walinzi wa Trump hata mmoja akiwa amemkaribia pale uwanjani.

Tofauti na huku kwetu Africa ambapo huwa tunaona kila sehemu Rais lazima azungukwe na wanajeshi wenye Magwanda na mitutu mizito na wengine wakiwa wamevaa suti. Pia wakati Trump amekaa jukwaani sikuona wanajeshi hata mmoja wala walinzi na mituti wakiwa wanawaangalia watazamaji.

Najuwa wenzetu wazungu wapo mbali sana katika teknolojia ndio maana huwezi kuona ulinzi manually kama Africa. Natamani sana na huku kwetu wana usalama wetu wajengewe uwezo zaidi katika vifaa vya kisasa.
Hii itasaidia pia kupunguza muingiliano katika shughuli za viongozi wetu kwani mara nyingi katika hadhira unakuta wananchi badala ya kumfuatilia Rais anachofanya au kuongea unakuta wananchi wanashangaa wanajeshi wenye mitutu.
Bila shaka wenzetu hili walishaliona na ndio maana kila ziara ya Kiongozi mkuu unakuta hakuna taswira nyingine ya kumvuta mtazamaji au msikilizaji zaidi ya Rais au Kiongozi aliyepo.
Ila Kiongozi anapofanya ziara kwenye maeneo ya vita au usalama mdogo ni kawaida kukuta majeshi na mitutu .

Tukio la.jana kule Marekani lilinifikirisha sana nikiangalia huku kwetu Africa kama Rwanda, Uganda na kwa kiasi kidogo hapa kwetu. Japo hapa kwetu ilianzia kipindi cha JPM
Hauko Serious,

Rais wa USA - Ndiye Rais anayelindwa zaidi duniani. kuanzia kusweep eneo, Ulinzi kidijiti, Idadi ya walinzi waliopo on the ground, Layers za ulinzi, Snippers nk nk. Jaribu kufuatilia kuanzia kabla ya tukio (maandalizi) nk nk hizo clips huwa zipo Youtube.

Huku kwetu kwa sababu ya kutokuwa na uwezo mkubwa wa kimifumo, inalazimika walinzi kuwa karibu sana na VIP.

Agalia siku Trump anashambuliwa, Namna walinzi zaidi ya 10 walivyowahi jukwaani kuweka shield, - walikuwa kwenye jukwaa hapo hapo kwa chini - sasa imagine Rais analindwa na watu wangapi? tusijidanganye kwa kuwa TV hazichukui maeneo yenye walinzi - tukadhani hawapo>
 
Japo ninaamini walinzi walikuwepo tena ulinzi mkubwa.

Lakini hoja yangu ni hii :

Jana kule Marekani mara baada ya fainali ya kombe la Dunia kwa vilabu wakati Chelsea wanakabidhiwa kombe , Rais wa Marekani Mhe Donald Trump alijumuika nao pamoja na Rais wa Fifa pale uwanjani .
Kilichonishangaza ni pale uwanjani ambapo Trump alijumuika na Chelsea wakati wananyanyua kombe juu na kushangilia, pia uwanja ulikuwa na watu wengi sana lakini sikuona walinzi wa Trump hata mmoja akiwa amemkaribia pale uwanjani.

Tofauti na huku kwetu Africa ambapo huwa tunaona kila sehemu Rais lazima azungukwe na wanajeshi wenye Magwanda na mitutu mizito na wengine wakiwa wamevaa suti. Pia wakati Trump amekaa jukwaani sikuona wanajeshi hata mmoja wala walinzi na mituti wakiwa wanawaangalia watazamaji.

Najuwa wenzetu wazungu wapo mbali sana katika teknolojia ndio maana huwezi kuona ulinzi manually kama Africa. Natamani sana na huku kwetu wana usalama wetu wajengewe uwezo zaidi katika vifaa vya kisasa.
Hii itasaidia pia kupunguza muingiliano katika shughuli za viongozi wetu kwani mara nyingi katika hadhira unakuta wananchi badala ya kumfuatilia Rais anachofanya au kuongea unakuta wananchi wanashangaa wanajeshi wenye mitutu.
Bila shaka wenzetu hili walishaliona na ndio maana kila ziara ya Kiongozi mkuu unakuta hakuna taswira nyingine ya kumvuta mtazamaji au msikilizaji zaidi ya Rais au Kiongozi aliyepo.
I la Kiongozi anapofanya ziara kwenye maeneo ya vita au usalama mdogo ni kawaida kukuta majeshi na mitutu .

Tukio la.jana kule Marekani lilinifikirisha sana nikiangalia huku kwetu Africa kama Rwanda, Uganda na kwa kiasi kidogo hapa kwetu. Japo hapa kwetu ilianzia kipindi cha JPM
Hakuna mechi ambayo Soka liliingiliwa kama hii, hadi Ultra wa Psg walipangiwa waimbe nini, ndio maana watu wakawa wanazomea.

Na hata Tanzania linapokuja suala la katikati ya uwanja hata maraisi wetu wanaenda bila walinzi.

images (84).jpeg

Ngumu tukio kutokea kutoka kwa wachezaji, kama kuna tukio mostly litakua kwa washabiki.
 
Japo ninaamini walinzi walikuwepo tena ulinzi mkubwa.

Lakini hoja yangu ni hii :

Jana kule Marekani mara baada ya fainali ya kombe la Dunia kwa vilabu wakati Chelsea wanakabidhiwa kombe , Rais wa Marekani Mhe Donald Trump alijumuika nao pamoja na Rais wa Fifa pale uwanjani .
Kilichonishangaza ni pale uwanjani ambapo Trump alijumuika na Chelsea wakati wananyanyua kombe juu na kushangilia, pia uwanja ulikuwa na watu wengi sana lakini sikuona walinzi wa Trump hata mmoja akiwa amemkaribia pale uwanjani.

Tofauti na huku kwetu Africa ambapo huwa tunaona kila sehemu Rais lazima azungukwe na wanajeshi wenye Magwanda na mitutu mizito na wengine wakiwa wamevaa suti. Pia wakati Trump amekaa jukwaani sikuona wanajeshi hata mmoja wala walinzi na mituti wakiwa wanawaangalia watazamaji.

Najuwa wenzetu wazungu wapo mbali sana katika teknolojia ndio maana huwezi kuona ulinzi manually kama Africa. Natamani sana na huku kwetu wana usalama wetu wajengewe uwezo zaidi katika vifaa vya kisasa.
Hii itasaidia pia kupunguza muingiliano katika shughuli za viongozi wetu kwani mara nyingi katika hadhira unakuta wananchi badala ya kumfuatilia Rais anachofanya au kuongea unakuta wananchi wanashangaa wanajeshi wenye mitutu.
Bila shaka wenzetu hili walishaliona na ndio maana kila ziara ya Kiongozi mkuu unakuta hakuna taswira nyingine ya kumvuta mtazamaji au msikilizaji zaidi ya Rais
Walinzi wa nini kwenye mifumo inayojitambua? Ukizingatia rais wao sio taahira kama hawa wengine
 
ila ile midege mitatu ya kijeshi uliiona?
Kabla ya mechi kuanza waliionesha.

Kifupi, ulinzi ulikuwepo mkali ila umeongozwa na Teknolojia kali na sio maguvu kama kwetu
uko sahihi mkuu,

mambo mengi hguwa hayaoneshwi lakini kama ni mfuatiliaji wa vitu - hata kwa msaada wa youtube utaona namna ulinzi wa agents on the ground ulivyo mkali - kimsingi sources zinasuggest kuwa, zaidi ya watu 300+ huwa wako on ground kwenye ulinzi wa US president anapokuwa kwenye events - kuanzia agents wa Immediate detail, extended support, na Local law enforcements, Military nk nk
 
Hakuna mechi ambayo Soka liliingiliwa kama hii, hadi Ultra wa Psg walipangiwa waimbe nini, ndio maana watu wakawa wanazomea.

Na hata Tanzania linapokuja suala la katikati ya uwanja hata maraisi wetu wanaenda bila walinzi.

View attachment 3406408

Ngumu tukio kutokea kutoka kwa wachezaji, kama kuna tukio mostly litakua kwa washabiki.
hapa mtu anaweza kusema kulikuwa hakuna walinzi - nilikuwepo siku hii Kimsingi kulikuwa na agents wengi sana na snipers. Kuna muda mashabiki walianza kuwasha miale ya moshi - Agents walimind sana kwa kuwa ilikuwa inaleta giza - Kimsingi ilipofika Halftime Rais aliondoka. Lakini kwa kuangalia picha hii unaweza kudhani hakukuwa na ulinzi - kwa kuwa media imetaka kuonesha tukio mahsusi na ni katikati ya uwanja, wachezaji hawawezi kuwa na hatari wakati huo, lakini snipers wako makini na wengine wako karibu na Rais.
 
Na hii ndio point yangu, mechi ya Psg walinzi walijaa wengi, mtu ana focus tu Trump alivyokua uwanjani,

Ultra wa psg wana fujo sana na wanajulikana Ulaya nzima, ila walikua neutralized, anakaa Shabiki na Security forces hakuna kuimba, ama kuleta Fujo, Ngoma na vifaa vingine vya kushangilia walipokonywa.
 
Japo ninaamini walinzi walikuwepo tena ulinzi mkubwa.

Lakini hoja yangu ni hii :

Jana kule Marekani mara baada ya fainali ya kombe la Dunia kwa vilabu wakati Chelsea wanakabidhiwa kombe , Rais wa Marekani Mhe Donald Trump alijumuika nao pamoja na Rais wa Fifa pale uwanjani .
Kilichonishangaza ni pale uwanjani ambapo Trump alijumuika na Chelsea wakati wananyanyua kombe juu na kushangilia, pia uwanja ulikuwa na watu wengi sana lakini sikuona walinzi wa Trump hata mmoja akiwa amemkaribia pale uwanjani.

Tofauti na huku kwetu Africa ambapo huwa tunaona kila sehemu Rais lazima azungukwe na wanajeshi wenye Magwanda na mitutu mizito na wengine wakiwa wamevaa suti. Pia wakati Trump amekaa jukwaani sikuona wanajeshi hata mmoja wala walinzi na mituti wakiwa wanawaangalia watazamaji.

Najuwa wenzetu wazungu wapo mbali sana katika teknolojia ndio maana huwezi kuona ulinzi manually kama Africa. Natamani sana na huku kwetu wana usalama wetu wajengewe uwezo zaidi katika vifaa vya kisasa.
Hii itasaidia pia kupunguza muingiliano katika shughuli za viongozi wetu kwani mara nyingi katika hadhira unakuta wananchi badala ya kumfuatilia Rais anachofanya au kuongea unakuta wananchi wanashangaa wanajeshi wenye mitutu.
Bila shaka wenzetu hili walishaliona na ndio maana kila ziara ya Kiongozi mkuu unakuta hakuna taswira nyingine ya kumvuta mtazamaji au msikilizaji zaidi ya Rais au Kiongozi aliyepo.
Ila Kiongozi anapofanya ziara kwenye maeneo ya vita au usalama mdogo ni kawaida kukuta majeshi na mitutu .

Tukio la.jana kule Marekani lilinifikirisha sana nikiangalia huku kwetu Africa kama Rwanda, Uganda na kwa kiasi kidogo hapa kwetu. Japo hapa kwetu ilianzia kipindi cha JPM
Sasa wewe ni Rais kisha Kila siku unaua raia wako mwenyewe unaowaongoza unatengeneza chuki ndani ya mioyo Yao kwann usirindwe kama kuku wa Pasaka.
 
Back
Top Bottom