Wakati wa kusafiri napenda kipindi cha kuchimba dawa vichakani maana niliwahi kula mbususu!

Sehemu zote umesema kweli ila kwenye buku laki hapo umeongopa kweli mpaka naona tabu kusoma
 
Malaya huyo, alikua anaenda report kituo kipya.
 
ukimwi hauwezi kuisha dunian ila watakao isha n binadam
 
Kweli wewe jamaa mzembe...yaani unasubiri mpaka mnapanda gari?
 
Mimi napenda kipindi cha misosi tu..halafu gari isimame sehemu zenye nyama choma za ukweli kama pale msamvu zinapopaki gari za dodoma nje kidogo ya stendi ya msamvu.


Nyama choma ndio ugonjwa wangu.
Mnatupaga shida sana baada ya kumaliza kula.Maana hua mnageuka kua viwanda vinavyotembea vya vijambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…