Walienda kama walivyoenda mwaka huu mwezi wa 10?!!! Yaani walienda Huku wakiwa hawajaacha mtu au kitu kilicho salama nyuma yao?!!! Yaani kujeruhi (nasikia waliopiga kura), kuua (nasikia polisi kadhaa) kupora na kuharibu Mali za watu, kuiba na kuharibu miundombinu?!!!! Tueleze vizuri kidogo ukiweka pembeeeeni huko any sort of UNAFIKI.
Sawa, kwa Hali hiyo (kama nilivyosema hapo juu) ilibidi kifanyike nini?!!!!..hii challenge kwa waandamanaji.
..pia ni challenge kwa serikali na vyombo vyake.
..maandamano bila uharibifu yanawezekana.
..Na maandamano bila vyombo vya dola kuua wananchi yanawezekana.
Sawa, kwa Hali hiyo (kama nilivyosema hapo juu) ilibidi kifanyike nini?!!!!
Sawa, tufanye joto hilo liliachwa kama unavyosema. Sasa ilibidi vyombo unavyovishutumu vifanyaje kulingana na kilichokuwa kinaendelea kama kilivyoelezwa humu katika post #2?!! Nasubiri majibu kwa hamu kuu mkuu wangu...joto la kisiasa liliachwa likawa kali kupita kiasi.
..vyombo vya dola vilichochewa vikajiona wao ndio chama tawala, na maandamano ni dhidi yao.
..vyombo vya dola vinapaswa kuwa katikati. Havipaswi kuonekana vinaegemea upande mmoja.
Walichoma vituo vya mafuta, mali za rai na za umma na waliua polisi wangapi?
Sawa na wewe kesho anadamana uende ikulu hautauwawa
Hilo halihitaji kujua sababu wala hamna sababu yoyote inayokuruhusu kufanya huo unyumbu na ukiufanya kitakachokukuta usimlaumu mtu na umwambie mama yako asije kujilizaliza mbele ya camera..kwanini waliandamana?
..kwanini walichoma moto vituo vya mafuta?
..kwanini waliharibu vituo vya Polisi?
..kwanini waliuwa Polisi?
..baada ya vyombo kuwauwa waandamanaji, serikali isikae tu, bali itafute chanzo cha yaliyotokea, na kurekebisha ili yaliyotokea yasijirudie.
Kuandamana siyo tatizo, tatizo kuandamana hadi rais ang'okeKuna dhana inaenezwa na wazalendo uchwara kwamba kuandamana kwenda Ikulu ni kutaka kufanya mapinduzi, au uhaini.
Wazalendo uchwara wanakwenda mbali na kudai kwamba yeyote anayepanga maandamano kwenda Ikulu anastahili kuuwawa hapo alipo.
Ukweli ni kwamba ktk jamhuri yetu maandamano yamewahi kwenda Ikulu na vyombo vyetu havikuamrishwa kuuwa waandamanaji.
Kipindi cha Mwalimu Nyerere, tena yeye alishanusurika kupinduliwa na wanajeshi, wasomi wa chuo kikuu waliandamana mpaka Ikulu.
Kipindi cha Mzee Mwinyi waandamanaji walifika Ikulu upande ule ilipo Ofisi ya Waziri Mkuu na hakuna aliyeuwawa.
..
Hilo halihitaji kujua sababu wala hamna sababu yoyote inayokuruhusu kufanya huo unyumbu na ukiufanya kitakachokukuta usimlaumu mtu na umwambie mama yako asije kujilizaliza mbele ya camera
Kuandamana siyo tatizo, tatizo kuandamana hadi rais ang'oke
Huko mbali sana, JK akiwa Rais BAWACHA waliandamana kuelekea ikulu ya magogoni kina halima mdee walikamatwa tu lakina wakaachiwa. Ingekua zama hizi wangeshazikwa kaburi la pamoja!!Kuna dhana inaenezwa na wazalendo uchwara kwamba kuandamana kwenda Ikulu ni kutaka kufanya mapinduzi, au uhaini.
Wazalendo uchwara wanakwenda mbali na kudai kwamba yeyote anayepanga maandamano kwenda Ikulu anastahili kuuwawa hapo alipo.
Ukweli ni kwamba ktk jamhuri yetu maandamano yamewahi kwenda Ikulu na vyombo vyetu havikuamrishwa kuuwa waandamanaji.
Kipindi cha Mwalimu Nyerere, tena yeye alishanusurika kupinduliwa na wanajeshi, wasomi wa chuo kikuu waliandamana mpaka Ikulu.
Kipindi cha Mzee Mwinyi waandamanaji walifika Ikulu upande ule ilipo Ofisi ya Waziri Mkuu na hakuna aliyeuwawa.
..
Ungetukumbusha na tarehe kamili za maandano yaliyofanywa siku za uchaguzi mkuu na kwamba waandamanaji walichoma miundombinu ya umma na binafsi na kuiba mali za watu wakati wa uongozi wa Nyerere au Mwinyi ungetusaidia sana ndugu Joka Kuu.Kuna dhana inaenezwa na wazalendo uchwara kwamba kuandamana kwenda Ikulu ni kutaka kufanya mapinduzi, au uhaini.
Wazalendo uchwara wanakwenda mbali na kudai kwamba yeyote anayepanga maandamano kwenda Ikulu anastahili kuuwawa hapo alipo.
Ukweli ni kwamba ktk jamhuri yetu maandamano yamewahi kwenda Ikulu na vyombo vyetu havikuamrishwa kuuwa waandamanaji.
Kipindi cha Mwalimu Nyerere, tena yeye alishanusurika kupinduliwa na wanajeshi, wasomi wa chuo kikuu waliandamana mpaka Ikulu.
Kipindi cha Mzee Mwinyi waandamanaji walifika Ikulu upande ule ilipo Ofisi ya Waziri Mkuu na hakuna aliyeuwawa.
..
Ungetukumbusha na tarehe kamili za maandano yaliyofanywa siku za uchaguzi mkuu na kwamba waandamanaji walichoma miundombinu ya umma na binafsi na kuiba mali za watu wakati wa uongozi wa Nyerere au Mwinyi ungetusaidia sana ndugu Joka Kuu.
MUNGU KAMA AMEKUPA AKILI ZITUMIE VIZURI , SIASA ZA AFRICA KUPIGWA RIASASI NA KUULIWA NI JAMBO LA KUFIKIA , UKIANDAMANA UJUE KITAKACHOKUPATA NDO HICHO
..sasa kama tayari tunaujua ukweli huo kwanini serikali yetu inakwenda kuuwa wananchi wake?
..mimi nilitarajia serikali yetu itajiepusha na mauaji ili kujitofautisha na tawala zilizo dhalimu.
Akikujibu nishtue mkuuWalienda kama walivyoenda mwaka huu mwezi wa 10?!!! Yaani walienda Huku wakiwa hawajaacha mtu au kitu kilicho salama nyuma yao?!!! Yaani kujeruhi (nasikia waliopiga kura), kuua (nasikia polisi kadhaa) kupora na kuharibu Mali za watu, kuiba na kuharibu miundombinu?!!!! Tueleze vizuri kidogo ukiweka pembeeeeni huko any sort of UNAFIKI.