KERATO MOMBAA
JF-Expert Member
- Feb 4, 2025
- 4,602
- 6,274
Nilivyosema ni kweli huko nyuma watu waliandamana na maandamano yalipoonekana yatahatarisha amani na usalama yakazimwa na polisi - kama ilivyofanyika MO29 na waandamanaji hawakuiba wala hawakuharibu mali. Hii hukuisoma?
Akina Warioba wakachapwa fimbo ikulu na mwenyewe Nyerere. Hapa hukunifahamu? Vijana wa leo wanajifanya wanajua lakini hawajui chochote. Ni mihemko tu. Jee nawe umo?
Wananchi unamaanisha hao vibaka waliopigwa risasi au unamaanisha wale watiifu kwa sheria za nchi?.
Ndio maana tunasema yake hayakuwa maandamano ilikuwa vurugu yenye kutaka kuiangusha serikali, wangepoteza umakini siku ya pili serikali ingeangushwa...hata kibaka hastahili kuuwawa.
..Polisi wetu wamefundishwa namna ya kukamata vibaka, pamoja na kuwatawanya.
..pia wako wako wananchi waliouwawa wakiwa majumbani.
..haiwezekani Polisi wetu wenyewe wafanye mauaji makubwa kuliko wakati wa vita tuliyovamiwa na majeshi toka nje.
..Hii nchi ni yetu sote. Tusikubali maisha ya Watanzania wenzetu yatolewe thamani kiasi hiki.
Ndio maana tunasema yake hayakuwa maandamano ilikuwa vurugu yenye kutaka kuiangusha serikali, wangepoteza umakini siku ya pili serikali ingeangushwa.
Vita haina macho inapoanza, yale maisha tuliyoishi kwa siku mbili tu, kule DRC huwa utaratibu waliokwisha kuuzoea.
Huko Goma na Kivu kuna sehemu ukikatiza inabidi vidole vya mikono viwe mbele ya pua, unakutana na harufu za maiti zinazoharibika.
yaani wanaona wao walichokifanya ilikuwa ni haki yaoVijana wana akili za kudeka hawajui hisia za mtu mwingine zinakuwa vipi.
Hawajui kwamba wapo raia ambao wana hasira na ule ujinga wa kuingia barabarani na kuanza kuharibu mali za watu.
mbona swali lako hata haliendani na nilichokiandikahv maandamano na kuchoma vitu vina uhusiano gan ?
Mwl wako wa uraia akiona hii atalia sn
Kwasas adui wa taifa ni ujinga wenu
Huelewi kinachozungumzwa. Sijui umeona kichwa cha habari hii tunayoijadili na kukielewa? Kwa taarifa tu, mimi najadili hili bandiko...sasa kuchapwa viboko unalinganisha na vijana kuchapwa risasi tena wengine wakiwa majumbani kwao?
.
Hivi inawazekanaje kukawa na ''organized crime'' nchi nzima? Yaani wezi kuanzia Mbeya, Mwanza, Dar, Dodoma etcTarehe 29 October hapakuwa na maandamano mnajaribu kuweka urembo kwenye tukio la wizi na uasi dhidi ya serikali.
Nyerere hakuua ! waliopigwa viboko kwa ultimatum ni pamoja na akina Warioba ambao baadaye walikuwa washauri wa Mwalimu na leo ni Wazee wenye heshima katika Taifa.Suala la Nyerere umeandika uongo, maandamano aliyapokea yeye mwenyewe pale Ikulu, alitaka kupinduliwa mwaka 1964, maandamano aliyapokea mwaka 1966 Samuel Sitta akachapwa viboko na Mwalimu Nyerere mbele ya hadhara.
Askari wangapi waliuawa! na ilitokea wapi?wala kuua askari.
mauaji ya askari.
Risasi zilikuwa ni matokeo ya uuaji wa askari,
Huelewi kinachozungumzwa. Sijui umeona kichwa cha habari hii tunayoijadili na kukielewa? Kwa taarifa tu, mimi najadili hili bandiko.
Nimesema wakati wa Nyerere na Mwinyi kulikuwa na maandamano nayo yakazimwa kama yalivyozimwa yale ya MO29, ila katika maandamano hayo waandamanaji hawakuiba, hawakuharibu mali wala kuua askari.
Pamoja na yote hayo, bado yalizimwa na polisi baada ya kuonekana uwezekano wa kutokea fujo na uharibifu seuze yale yaliyofanywa kwa kushiriki katika wizi, uharibifu wa mali na mauaji ya askari.
Risasi zilikuwa ni matokeo ya uuaji wa askari, wizi na uharibifu wa mali.
Muuaji ni Muuaji tu hakuna namna ya kumsafisha...Kipindi cha Mwalimu Nyerere, tena yeye alishanusurika kupinduliwa na wanajeshi, wasomi wa chuo kikuu waliandamana mpaka Ikulu.
Kipindi cha Mzee Mwinyi waandamanaji walifika Ikulu upande ule ilipo Ofisi ya Waziri Mkuu na hakuna aliyeuwawa.
Acha uzwazwa we mkongwe hapa hawakuharibu chochote wala kuiba chochote na hoja zao zilisikilizwa zikafumbuliwa.Kuna dhana inaenezwa na wazalendo uchwara kwamba kuandamana kwenda Ikulu ni kutaka kufanya mapinduzi, au uhaini.
Wazalendo uchwara wanakwenda mbali na kudai kwamba yeyote anayepanga maandamano kwenda Ikulu anastahili kuuwawa hapo alipo.
Ukweli ni kwamba ktk jamhuri yetu maandamano yamewahi kwenda Ikulu na vyombo vyetu havikuamrishwa kuuwa waandamanaji.
Kipindi cha Mwalimu Nyerere, tena yeye alishanusurika kupinduliwa na wanajeshi, wasomi wa chuo kikuu waliandamana mpaka Ikulu.
Kipindi cha Mzee Mwinyi waandamanaji walifika Ikulu upande ule ilipo Ofisi ya Waziri Mkuu na hakuna aliyeuwawa.
Kuna dhana inaenezwa na wazalendo uchwara kwamba kuandamana kwenda Ikulu ni kutaka kufanya mapinduzi, au uhaini.
Wazalendo uchwara wanakwenda mbali na kudai kwamba yeyote anayepanga maandamano kwenda Ikulu anastahili kuuwawa hapo alipo.
Ukweli ni kwamba ktk jamhuri yetu maandamano yamewahi kwenda Ikulu na vyombo vyetu havikuamrishwa kuuwa waandamanaji.
Kipindi cha Mwalimu Nyerere, tena yeye alishanusurika kupinduliwa na wanajeshi, wasomi wa chuo kikuu waliandamana mpaka Ikulu.
Kipindi cha Mzee Mwinyi waandamanaji walifika Ikulu upande ule ilipo Ofisi ya Waziri Mkuu na hakuna aliyeuwawa.
Sijui udadi ya askari kama ambavyo sijui idadi ya waandamanajiAskari wangapi waliuawa! na ilitokea wapi?
Sijui idadi ya askari waliouwawa kama ambavyo sijui, nawe hujui idadi ya waliokufa. Idadi inayotolewa ni ya uongo. Hoja yangu ilikuwa kwamba maandamano yaligeuka kuwa uharamia wa kuiba, kuharibu mali na kuua. Hii ni kwasababu vijana wa leo hamuna hekima wala ustaarabu kwa kukosa elimu - siyo taaluma...askari wangapi walikufa?
..maana tukijua idadi ya askari waliouwawa, na namna walivyouwawa, tutaweza kujua kama nguvu iliyotumika ilikuwa sahihi au la.
..sasa umewahi kujiuliza kwanini idadi ya askari Polisi waliouwawa haitajwi?
Sijui idadi ya askari waliouwawa kama ambavyo sijui, nawe hujui idadi ya waliokufa. Idadi inayotolewa ni ya uongo. Hoja yangu ilikuwa kwamba maandamano yaligeuka kuwa uharamia wa kuiba, kuharibu mali na kuua. Hii ni kwasababu vijana wa leo hamuna hekima wala ustaarabu kwa kukosa elimu - siyo taaluma.
Kweli kabisa. Hawajui chochote ila wanajiona wao wana akili mnoo. Yumkini kuna shida kwa maprofesa huko vyuoni huenda nao wamekuwa wanaharakati. Haiwezekani graduates wakawa wajinga kwa kiwango hiki.Vijana wa leo wanajifanya wanajua lakini hawajui chochote. Ni mihemko tu. Jee nawe umo?