Sasa umesema. Sio kutupa lawama tu...kuiba, na kuharibu mali, hakuna anayebisha.
..tatizo liko kwenye vifo. Sina uhakika kama kuficha vifo vilivyotokea kutasaidia kupata suluhisho ya yaliyotokea.
..kwa mfano, tutajuaje kama Polisi walitumia nguvu stahiki au la, ikiwa hatujui idadi ya vifo, jinsi vifo hivyo vilivyotokea, na wapi vilitokea?
Samia walitaka kumletea dharau labda kwa jinsia yake hawakujua kwamba Rais ni taasisi unayemuona mbele ya mimbari huwa kiongozi wa taasisi ya urais.Hivi inawazekanaje kukawa na ''organized crime'' nchi nzima? Yaani wezi kuanzia Mbeya, Mwanza, Dar, Dodoma etc
Kilichotakiwa ni kulinda Waandamanaji na kukamata wahalifu
Kwa mwaka mzima Polisi walipita mitaani kwa kutisha si kusoma mazingira. Serikali ilinunua magari ya deraya si kutafuta sukuhu ya tatizo.
Nyerere hakuua ! waliopigwa viboko kwa ultimatum ni pamoja na akina Warioba ambao baadaye walikuwa washauri wa Mwalimu na leo ni Wazee wenye heshima katika Taifa.
Maadamano yale ya Mwinyi kutoka Wanafunzi wa UDSM mmoja wao alikuwa James Mbatia, yupo hai hakukuuawa na ni kiongozi anayeheshimika pia
Mwaka 1964 ilikuwa ''army mutiny' washiriki wakiwa askari . Hakuna Raia aliyeshiriki .
Kilichotokea MO29 ni ''mass uprising' kwa maana yake halisi ikifanywa na Raia
Kutenganisha mambo hayo mawili ni muhimu!
JokaKuu
Tarehe 29 hapakuwa na maandamano palikuwa na uasi fulani wenye kufanana na mapinduzi lengo lao haswa kuirudisha nyuma Tanzania kwa kuharibu maeneo maalum ambayo yangeurudisha nyuma uchumi wa Tanzania.Hivi inawazekanaje kukawa na ''organized crime'' nchi nzima? Yaani wezi kuanzia Mbeya, Mwanza, Dar, Dodoma etc
Kilichotakiwa ni kulinda Waandamanaji na kukamata wahalifu
Kwa mwaka mzima Polisi walipita mitaani kwa kutisha si kusoma mazingira. Serikali ilinunua magari ya deraya si kutafuta sukuhu ya tatizo.
Nyerere hakuua ! waliopigwa viboko kwa ultimatum ni pamoja na akina Warioba ambao baadaye walikuwa washauri wa Mwalimu na leo ni Wazee wenye heshima katika Taifa.
Maadamano yale ya Mwinyi kutoka Wanafunzi wa UDSM mmoja wao alikuwa James Mbatia, yupo hai hakukuuawa na ni kiongozi anayeheshimika pia
Mwaka 1964 ilikuwa ''army mutiny' washiriki wakiwa askari . Hakuna Raia aliyeshiriki .
Kilichotokea MO29 ni ''mass uprising' kwa maana yake halisi ikifanywa na Raia
Kutenganisha mambo hayo mawili ni muhimu!
JokaKuu
Not true! hakuna suala la uchumi. Kuna genuine complains ya Wananchi ikiwemo utekaji na kupoteza watu, matumizi mabaya ya rasilimali, viongozi kufujam kubananga demokrasia, kufunga wapinzani ili kupata ushindi.Tarehe 29 hapakuwa na maandamano palikuwa na uasi fulani wenye kufanana na mapinduzi lengo lao haswa kuirudisha nyuma Tanzania kwa kuharibu maeneo maalum ambayo yangeurudisha nyuma uchumi wa Tanzania.
Ushahidi gani?Lengo lao ni pana zaidi ya kile kinachoonekana kwa macho. Walitaka kuichoma TPA jiulize Tanzania ingepoteza pesa kiasi gani katika kuikarabati bandari ile.
Kwa ushahidi gani?Walitaka kuchoma kituo cha mabasi cha Magufuli, jiulize hiyo hasara ingeumiza uchumi kiasi gani katika suala la mawasiliano.
EAC, SADC, AU! Need say more? Thabo Mbeki, Ian Khama etcJiulize wepesi wa viongozi wa mataifa ya kigeni kuilaani Tanzania baada ya mauaji bila kwanza kujiridhisha na maoni yao kama yanatenda haki kwa pande zote mbili zilizokuwepo kwenye uovu ule.
Tumechafua taswira yetu wenyewe! hakuna kutafuta mchawi.Lengo linakuwa kuichafua taswira chanya iliyojengwa tangu miaka ya 60, hii ni vita inahitaji fikra pana kuweza kufahamu namna inavyopiganwa.
Hoja kwamba askari wameuawa unaitoa wapi ?Sijui udadi ya askari kama ambavyo sijui idadi ya waandamanaji
Uchumi huwa ni huu huu miaka yote kwanini muda huu ndio watu wainuke kudai haki, kitu gani cha ajabu kitokee 2025 kisitokee 2010?.Not true! hakuna suala la uchumi. Kuna genuine complains ya Wananchi ikiwemo utekaji na kupoteza watu, matumizi mabaya ya rasilimali, viongozi kufujam kubananga demokrasia, kufunga wapinzani ili kupata ushindi.
Those are concerns za Watanzania na zinajulikana. Kwani Gwajima ni beberu?
Ushahidi gani?
Kwa ushahidi gani?
EAC, SADC, AU! Need say more? Thabo Mbeki, Ian Khama etc
Tumechafua taswira yetu wenyewe! hakuna kutafuta mchawi.
Huelewi kinachozungumzwa. Sijui umeona kichwa cha habari hii tunayoijadili na kukielewa? Kwa taarifa tu, mimi najadili hili bandiko.
Nimesema wakati wa Nyerere na Mwinyi kulikuwa na maandamano nayo yakazimwa kama yalivyozimwa yale ya MO29, ila katika maandamano hayo waandamanaji hawakuiba, hawakuharibu mali wala kuua askari.
Pamoja na yote hayo, bado yalizimwa na polisi baada ya kuonekana uwezekano wa kutokea fujo na uharibifu seuze yale yaliyofanywa kwa kushiriki katika wizi, uharibifu wa mali na mauaji ya askari.
Risasi zilikuwa ni matokeo ya uuaji wa askari, wizi na uharibifu wa mali.
Hakuna suala la uchumi! masuala ni Haki yanazungumzwa!Uchumi huwa ni huu huu miaka yote kwanini muda huu ndio watu wainuke kudai haki, kitu gani cha ajabu kitokee 2025 kisitokee 2010?.
Kushtaki ni haki, kushtakiwa ni haki. Kuachiwa huru ni haki, kufungwa jela ni haki.Wapinzani wanafungwa kutokana na kukiuka sheria za nchi, huwezi kuleta ubishi katika suala la wazi halafu ukategemea uachiwe huru tu.
OK ! tuamini tu kwasababu umesema!!!Kuhusu ushahidi kuna masuala huwezi ukayaanika hapa jukwaani lakini ndio ushahidi wenyewe. Vijana walikuwa wanaelekea kuharibu miundo mbinu nyeti ya uchumi wa Tanzania wakawahiwa kabla hawajaleta uharibifu.
Je, Heche ameshtakiwa kwa kosa hilo?Upo ushahidi wa jamaa kutoka Kenya kuletwa na Heche na wakasumbua sana kule Mara siku ya uchaguzi wenyewe, Heche aliahidi kabisa kwamba uchaguzi hautafanyika na alirekodiwa akiyasema hayo.
Walichoma moto vituo vya kupigia kura! je ni kweli?Walikata watu vidole, haya masuala ya kinyama hatukuyafahamu, walichoma moto mwendokasi ambao wadogo zao wakaja kusota wakikosa usafiri wa kutoka Kimara kuingia mjini kwa mwezi mzima.
EAC.SADC.AUHao marais wa Botswana na South Africa walikuwa na matatizo yao binafsi, mengine yaliyotokea ndani ya Tanzania hawakuyafahamu wakaishia kuongea kidiplomasia. Mbona Rais wa Zambia na wa Burundi walikuja kwenye sherehe za kumuapisha Samia?.
Haya ni matatizo ya ndani yashughulikiwe na sisi wenyewe. Hatuwezi kupata suluhu kama tutaficha ukweli kwa kusingizia watu. Hizi habari za mabeberu zilikuwa miaka 80.90, kwasasa hakuna anayezisikiliza!Hili zengwe lote limetengenezwa kutokea huko nje kwa makusudi maalum siku zote kadri Taifa linavyokuwa linakutana na changamoto kubwa zaidi.
Kwenye kichwa changu. Hoja kwamba waandamanaji waliuawa inatoa wapi?Hoja kwamba askari wameuawa unaitoa wapi ?
Nazungumzia kuzimwa kwa maandamano, pamoja na kwamba waandamanaji hawakuharibu mali, ila ilpoonekana kuna uwezekano wa kutokea uhalifu yalizimwa kuzuia uhalifu usitokee. Waandamanaji wakazuiwa kwa virungu walipofika Urafiki na wako walioumia...unasema UONGO.
..maandamano ya wakati wa Nyerere, na Mwinyi, hayakuzimwa kwa unyama na udhalimu kama ya Oct 29, 2025.
Rais na Bunge walisimama kimya kwa watu waliouawa. Kuna picha mortuary za maiti zilizolundikwaKwenye kichwa changu. Hoja kwamba waandamanaji waliuawa inatoa wapi?
Ikiwa huo ndo ushahidi, huku mtaani tulizika askari waliouawa na waandamanaji.Rais na Bunge walisimama kimya kwa watu waliouawa. Kuna picha mortuary za maiti zilizolundikwa
Tumezika wapendwa kwa ushahidi.
Ikiwa huo ndo ushahidi, huku mtaani tulizika askari waliouawa na waandamanaji.
Hao wako unosema waliuawa waliuwawa wangapi na kwa ushahidi gani wa kuaminika?..askari Polisi wangapi walikufa?
..walikufa katika mazingira gani?
..Na wamezikwa wapi kwa utaratibu gani?
Hao wako unosema waliuawa waliuwawa wangapi na kwa ushahidi gani wa kuaminika?