Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Lazima uvunjweHapa ni kanisa Katoliki limesimama kupinga na sio kutokomboa kwasababu it's too little too late, tuko kwenye maandalizi ya HGA. Baada ya IGA ya DPW na Bandari zetu, licha ya mapungufu, HGA yake inakuja. Ombi kwa Serikali yetu sikivu, tunaomba Maximum Transparency kwenye HGA
P
Tunao waarabu maeneo tunayoishi mpaka muda huu, kwao mtu mweusi anadharaulika sana. Wazungu wana shida zao hata hivyo huwezi linganisha treatment ya wazungu kwenye viwanda/ migodi yao na waarabu/wahindi.Walioshinikiza kusitishwa kwa biashara ya utumwa ni wamishenari, na baada ya kusitishwa kwa biashara ya utumwa ni kanisa ndio liliwagomboa watumwa wote waliokuwa sokoni kwa kuwalipia!. Lile kanisa Mkunazini limejengwa mahali palipokuwa na soko la watumwa. Udhalimu wa Waarabu Zanzibar na Pemba: Ndugu zetu waliteswa, hasiwa, bakwa, na kuuawa kinyama
P
Mm naomba niongee kwa picha ni Wamisionari gani hao kama sio hawa walikuwa wanawatumikisha watumwa kiukweli ngozi nyeusi haijawahi kuheshimiwa na ngozi nyeupe tuweni wakweliWalioshinikiza kusitishwa kwa biashara ya utumwa ni wamishenari, na baada ya kusitishwa kwa biashara ya utumwa ni kanisa ndio liliwagomboa watumwa wote waliokuwa sokoni kwa kuwalipia!. Lile kanisa Mkunazini limejengwa mahali palipokuwa na soko la watumwa. Udhalimu wa Waarabu Zanzibar na Pemba: Ndugu zetu waliteswa, hasiwa, bakwa, na kuuawa kinyama
P
Biashara ya Utumwa nchini Tanganyika iliendeshwa na Waarabu.Mm naomba niongee kwa picha ni Wamisionari gani hao kama sio hawa walikuwa wanawatumikisha watumwa kiukweli ngozi nyeusi haijawahi kuheshimiwa na ngozi nyeupe tuweni wakweli
Mbingu Haipo na uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.Bonge la swali......hivi mbingu/pepo....ipo kweli?[emoji846]
Waafrika wana laana.Hapa ndipo nimegundua watumwa wote wanatetea mabwana zao mtu mweusi ni duni sana na atabaki kuwa mtumwa forever
Harakati za mtu mweusi HatariWaafrika wana laana.
Msingi wa imani ni kutokuwa na uhakika, Ukweli hauendani na imani, Ukweli una endana na kujua, facts, proofs, evidences na Logic.wakuu,huwa tunapenda kuwauliza mnataka uthibitisho upi wakati mnaambiwa haya ni maswala ya imani!!!!watu wanaamini dunia ni mali ya Mungu wewe unasema wathibitishe!!!ukiambiwa thibitisha huyo uliye naye ni mpenzi wako,unadhani hakuna uthibitishi utakaoutoa utaachwa kujengewa hoja kwamba hautoshi!!!!
dunia ni kamili na uwepo wa hawa mizimu,Mungu kwa utimilifu wake hakuona ni sawa akufungie kwenye kisanduku umjue yeye tu,huo ni udictator,fikiria huyo mpenzi wako umfungie ndani masaa 24 haonani na mtu mwingine,halafu udai anakupenda kweli kweli.
hauna utata,utata uko kwenye mawazo ya kutokuwepo kwake.
ndio sababu hauwezi kutulia na mawazo yako maana hayana nguzo,inabidi uje tubabuane hapa ili upate uhalisia na kujiridhisha kabisa kwamba ulikuwa unawaza vibaya.
Utumwa ulienezwa na Waarabu,Wazungu walikuja kutufumbua macho tu karibia Serikali zote hizi za Afrika asilimia 75% zilijengwa na Wazungu.Hata Bandari yetu ya Dar es Salaam ambayo DP World wanaikodolea macho ilijengwa na Mjerumani(Mzungu),Reli ya Kati ilijengwa na Mjerumani(Mzungu)Reli ya Kaskazini ilijengwa na Mwingereza(Mzungu)kwa hiyo Wazungu ni watu muhimu sana katika Maendeleo ya hii dunia.Ujue Biblia ilitumika katika kueneza ukoloni na utumwa barani Afrika. Nenda U-tube mtafute professor Patrick lumumba wa Kenya,"jinsi Biblia ilivyotumika kueneza utumwa"
Hapo kwenye industry revolution hivi ni nchi gani zilikuwa zinapitia hiyo hali? ilikuwa Europe na America na ndio nchi zinaongoza kwa watumwa mpaka leo watu weusi wamejaa huko sio bara ka waarabu, na nchi nyingi za kiarabu walikuwa mabedui tu hawana lolote wameanza kuendelea karibuni tu. Kwa hoja hii nani alikuwa ananunua watumwa hao, Je sio USA? mbona tunapindisha history makanisa haya yali support sana tu hii biashara maana ndio walikuwa wateja wakubwa.Utumwa ulikwisha sababu baada ya industry revolution haikuwa efficient tena kuwa na watumwa wakati wangeweza kutumika kuzalisha malighafi wakiwa na illusion kwamba wapo huru...., by the way hata enzi za kina Yesu na Mohammed utumwa ulikuwa order of the day.., haya mambo yanabadilika kutokana na convenience ya watawala at any given time...,
Hao Watunisia na Walibya wanaozama kila siku kwenye Bahari ya Mediterania nao huchukuliwa na Wazungu ili wakawe Watumwa huko Ulaya?Hapo kwenye industry revolution hivi ni nchi gani zilikuwa zinapitia hiyo hali? ilikuwa Europe na America na ndio nchi zinaongoza kwa watumwa mpaka leo watu weusi wamejaa huko sio bara ka waarabu, na nchi nyingi za kiarabu walikuwa mabedui tu hawana lolote wameanza kuendelea karibuni tu. Kwa hoja hii nani alikuwa ananunua watumwa hao, Je sio USA? mbona tunapindisha history makanisa haya yali support sana tu hii biashara maana ndio walikuwa wateja wakubwa.
Ilikuwaje wamissionari wawe agents wa colonialism na hapo hapo waje wakomeshe utumwa? Babu zetu kwa Karne nyingi sana walisafiriahwa kwenda Marekani bila wamissionari kuingilia kati kivipi waje wawe ndio wakimaliza hii biashara haramu? Namuangaliaga tu Bagonza akijidai kukemea maovu serikalini wakati hajawahi wakemea wamissionari wenzake wa kijerumani waliowatesa na kunyonga wazee wetu kwenye mibuyu ya wajerumani Tanzania yote. Babu zetu wakiamka leo watatushangaa kwa tulivyowasaliti.Walioshinikiza kusitishwa kwa biashara ya utumwa ni wamishenari, na baada ya kusitishwa kwa biashara ya utumwa ni kanisa ndio liliwagomboa watumwa wote waliokuwa sokoni kwa kuwalipia!. Lile kanisa Mkunazini limejengwa mahali palipokuwa na soko la watumwa. Udhalimu wa Waarabu Zanzibar na Pemba: Ndugu zetu waliteswa, hasiwa, bakwa, na kuuawa kinyama
P
Unazungumzia Trans Atlantic slave trade sio?Kwani wewe hujasoma shule....hujui hayo yapo kwenye historia kuwa waarabu walikuwa wakifacilitate biashara za utumwa East and west Africa.
sasa tatizo la kuuliza facts,proof,evidences na logic kwenye imani ni la kwetu watu wa imani au la kwenu watu mnaoamini pia hakuna Mungu???Msingi wa imani ni kutokuwa na uhakika, Ukweli hauendani na imani, Ukweli una endana na kujua, facts, proofs, evidences na Logic.
kumbuka hata swala la uwepo wa Mungu unatuuliza sisi,ambao pia tunaweza kukuyliza wewe.Kutoa mfano wa mpenzi wako ambaye ni binadamu ambaye hata mimi naweza kumuuliza kama yeye ni mpenzi wako, Hakuna utata. Maana huyo mpenzi wako atanipa jibu la kwamba yeye ni mpenzi kwako.
utata upo,maana dalili zote kwamba ni mpenzi wako unazoweza kutoa ni dalili zinazotegema imani tu kwamba OK hawa watakuwa wapenzi kwa dalili hizi.Sasa hapa hakuna Imani wala utata wowote, kwamba huyo mpenzi wako ni wako kweli.
huo hauwi uongo sababu hujawahi kumwona,unakuwa uongo kama kweli tu hayupo.Kusema Mungu yupo asiye onekana bila uthibitisho wa kuonekana, Bali uthibitisho wa ki imani ni Uongo.
hata akili tunaamini unayo sababu tunaona matokeo yake tu,hakuna kifaa ktk mwili kinachojulikana kama AKILI,lakini si kwamba huna.Maana kama Mungu yupo ange onekana yupo na kuthibitishika yupo, Angalau kwa namna fulani.
hawezi kuwa hayupo sababu humwoni.Sasa huyo Mungu unaye sema yupo Haonekani, Hashikiki, Hasikiki, kwa namna yeyote ile zaidi ya mawazo ya kufikirika na imaginations.
Mungu huyo Hayupo.
Sote tunajua kuwa imani za dini (Ukristo na Uislam) vilikuwepo kabla ya utumwa. Umewahi kujiuliza wakati Waafrica wanauzwa kama Mbuzi kwenye masoko ya Ulaya, Marekani, Uarabuni, viongozi wa dini wa nchi hizo walikuwa wapi kupinga biashara hiyo, tena nchi kama Marekani watumwa wakilimishwa kwenye mashamba kwa uwazi kabisa? Jambo hili huwa najiuliza sipati majibu.
Kwa upande wa Tanzania, rasilimali zote nyeti zinamilikiwa na wawekezaji huku Watanzania wakibaki kama Watwana kwenye Maliasili zao. Madini yanachimbwa huku michanga ikibebwa na kupelekwa tusipojua, kilichomo humo hatujui, ndege kutoka Dubai inatua Loliondo na kuondoka, hivi tuna uhakika kama wanabeba wanyama hai? Vipi ule wimbo wa kwamba Tanzania iwe tayari kuelekea kwenye uchumi wa gesi ya Mtwara na Lindi, tena tunakaambiwa yatasambazwa mabomba ya gesi, kweli huo uchumi wa gesi tunauona?
Watanzania tusikubali kuingia kwenye mitego ya Wanasiasa, achaneni na propaganda za eti tusichanganye siasa na dini, viongozi wa dini zote, Waislam, Wakristo na dini nyingine, kemea mikataba mibovu. Tukiruhusu mikataba mibovu, vizazi vyetu bila kujali dini zetu vitaishia kuwa dereva bodaboda huku watoto wa kizungu wakitafuna urithi wetu.
Kama unasema kwamba "Mungu hajawahi kuonekana"sasa tatizo la kuuliza facts,proof,evidences na logic kwenye imani ni la kwetu watu wa imani au la kwenu watu mnaoamini pia hakuna Mungu???
kumbuka hata swala la uwepo wa Mungu unatuuliza sisi,ambao pia tunaweza kukuyliza wewe.
utata upo,maana dalili zote kwamba ni mpenzi wako unazoweza kutoa ni dalili zinazotegema imani tu kwamba OK hawa watakuwa wapenzi kwa dalili hizi.
huo hauwi uongo sababu hujawahi kumwona,unakuwa uongo kama kweli tu hayupo.
hata akili tunaamini unayo sababu tunaona matokeo yake tu,hakuna kifaa ktk mwili kinachojulikana kama AKILI,lakini si kwamba huna.
hawezi kuwa hayupo sababu humwoni.
hoja iwe Mungu hajawahi kuoenekana,basi matokeo ya nguvu zinazodaiwa ni zake zitolewe ufafanuzi na nyinyi watu wa kupinga,ili tujue kweli tunaamini kisivhokuwepo ambacho kilichopo ni hiki hapa.
sciense inakwenda vyema sana lakini kwenye chanzo cha maisha na uhai nayenyewe inabaki na imani tu wala sio facts.big bang etc.
Ebu rudi kwenye historia ya biashara ya utumwa na nini kilifanyika hadi ikakoma. Chambua vile vile nafasi ya kila dini.Sote tunajua kuwa imani za dini (Ukristo na Uislam) vilikuwepo kabla ya utumwa. Umewahi kujiuliza wakati Waafrica wanauzwa kama Mbuzi kwenye masoko ya Ulaya, Marekani, Uarabuni, viongozi wa dini wa nchi hizo walikuwa wapi kupinga biashara hiyo, tena nchi kama Marekani watumwa wakilimishwa kwenye mashamba kwa uwazi kabisa? Jambo hili huwa najiuliza sipati majibu.
Kwa upande wa Tanzania, rasilimali zote nyeti zinamilikiwa na wawekezaji huku Watanzania wakibaki kama Watwana kwenye Maliasili zao. Madini yanachimbwa huku michanga ikibebwa na kupelekwa tusipojua, kilichomo humo hatujui, ndege kutoka Dubai inatua Loliondo na kuondoka, hivi tuna uhakika kama wanabeba wanyama hai? Vipi ule wimbo wa kwamba Tanzania iwe tayari kuelekea kwenye uchumi wa gesi ya Mtwara na Lindi, tena tunakaambiwa yatasambazwa mabomba ya gesi, kweli huo uchumi wa gesi tunauona?
Watanzania tusikubali kuingia kwenye mitego ya Wanasiasa, achaneni na propaganda za eti tusichanganye siasa na dini, viongozi wa dini zote, Waislam, Wakristo na dini nyingine, kemea mikataba mibovu. Tukiruhusu mikataba mibovu, vizazi vyetu bila kujali dini zetu vitaishia kuwa dereva bodaboda huku watoto wa kizungu wakitafuna urithi wetu.
Hivi soko kubwa la watumwa lilikuwa wapi na walipelekwa huko ili wafanye nini ?Hapo kwenye industry revolution hivi ni nchi gani zilikuwa zinapitia hiyo hali? ilikuwa Europe na America na ndio nchi zinaongoza kwa watumwa mpaka leo watu weusi wamejaa huko sio bara ka waarabu, na nchi nyingi za kiarabu walikuwa mabedui tu hawana lolote wameanza kuendelea karibuni tu. Kwa hoja hii nani alikuwa ananunua watumwa hao, Je sio USA? mbona tunapindisha history makanisa haya yali support sana tu hii biashara maana ndio walikuwa wateja wakubwa.
Utumwa ulikuwepo toka enzi kuumbwa ulimwengu na Mungu aliruhusu, when the need of watumwa ilipokwisha due to industrial revolution, ni Wamishenari ndio liliwagomboa watumwa waliopo kwa kuwanunua na kuwaacha huru.Ilikuwaje wamissionari wawe agents wa colonialism na hapo hapo waje wakomeshe utumwa? Babu zetu kwa Karne nyingi sana walisafiriahwa kwenda Marekani bila wamissionari kuingilia kati kivipi waje wawe ndio wakimaliza hii biashara haramu?