Wakati Waafrika wakiuzwa kama watumwa, Mashehe, Mapadre, wachungaji wa Ulaya, Amerika na Uarabuni walikuwa wapi?

Walioshinikiza kusitishwa kwa biashara ya utumwa ni wamishenari, na baada ya kusitishwa kwa biashara ya utumwa ni kanisa ndio liliwagomboa watumwa wote waliokuwa sokoni kwa kuwalipia!. Lile kanisa Mkunazini limejengwa mahali palipokuwa na soko la watumwa. Udhalimu wa Waarabu Zanzibar na Pemba: Ndugu zetu waliteswa, hasiwa, bakwa, na kuuawa kinyama
P
Tunao waarabu maeneo tunayoishi mpaka muda huu, kwao mtu mweusi anadharaulika sana. Wazungu wana shida zao hata hivyo huwezi linganisha treatment ya wazungu kwenye viwanda/ migodi yao na waarabu/wahindi.
Wakati wazungu wameweka, usalama kazini ni 1st priority kwa wenzetu waarabu kumkuta mtu anafanya kazi yenye risk nyingi amevaa kandambili ni jambo la kawaida.
Hatuwachukii waarabu ila kiukweli hawatupendi siye weusi na wanatudharau sana.
Pitia matukio ya kuhuzunisha yanayowapata wasichana wa kiKenya wanaokwenda kufanya kazi nchi za uarabuni inatisha sana.
Nakiri pia kuwapo na wazungu wabaguzi kama tunavyoshuhudia na kusikia huko Marekani, lakini haya niliyoyaandika kuwahusu waarabu nimeshuhudia kwa macho haswa treatment za wafanyakazi wanafanya kazi kwenye viwanda au migodi inayomilikiwa na waarabu/ wahindi. Ukimkuta mtu ana safety gears muulize alivyozipata, ikitokea amepewa na kampuni basi itakuwa kampuni ilisikia OSHA watafanya inspection.
 
Walioshinikiza kusitishwa kwa biashara ya utumwa ni wamishenari, na baada ya kusitishwa kwa biashara ya utumwa ni kanisa ndio liliwagomboa watumwa wote waliokuwa sokoni kwa kuwalipia!. Lile kanisa Mkunazini limejengwa mahali palipokuwa na soko la watumwa. Udhalimu wa Waarabu Zanzibar na Pemba: Ndugu zetu waliteswa, hasiwa, bakwa, na kuuawa kinyama
P
Mm naomba niongee kwa picha ni Wamisionari gani hao kama sio hawa walikuwa wanawatumikisha watumwa kiukweli ngozi nyeusi haijawahi kuheshimiwa na ngozi nyeupe tuweni wakweli
 
Attachments

  • FB_IMG_1692802052792.jpg
    FB_IMG_1692802052792.jpg
    32.6 KB · Views: 1
  • FB_IMG_1692802087029.jpg
    FB_IMG_1692802087029.jpg
    32.2 KB · Views: 1
Mm naomba niongee kwa picha ni Wamisionari gani hao kama sio hawa walikuwa wanawatumikisha watumwa kiukweli ngozi nyeusi haijawahi kuheshimiwa na ngozi nyeupe tuweni wakweli
Biashara ya Utumwa nchini Tanganyika iliendeshwa na Waarabu.
 
Ujue Biblia ilitumika katika kueneza ukoloni na utumwa barani Afrika. Nenda U-tube mtafute professor Patrick lumumba wa Kenya,"jinsi Biblia ilivyotumika kueneza utumwa"
 
wakuu,huwa tunapenda kuwauliza mnataka uthibitisho upi wakati mnaambiwa haya ni maswala ya imani!!!!watu wanaamini dunia ni mali ya Mungu wewe unasema wathibitishe!!!ukiambiwa thibitisha huyo uliye naye ni mpenzi wako,unadhani hakuna uthibitishi utakaoutoa utaachwa kujengewa hoja kwamba hautoshi!!!!

dunia ni kamili na uwepo wa hawa mizimu,Mungu kwa utimilifu wake hakuona ni sawa akufungie kwenye kisanduku umjue yeye tu,huo ni udictator,fikiria huyo mpenzi wako umfungie ndani masaa 24 haonani na mtu mwingine,halafu udai anakupenda kweli kweli.

hauna utata,utata uko kwenye mawazo ya kutokuwepo kwake.
ndio sababu hauwezi kutulia na mawazo yako maana hayana nguzo,inabidi uje tubabuane hapa ili upate uhalisia na kujiridhisha kabisa kwamba ulikuwa unawaza vibaya.
Msingi wa imani ni kutokuwa na uhakika, Ukweli hauendani na imani, Ukweli una endana na kujua, facts, proofs, evidences na Logic.

Kutoa mfano wa mpenzi wako ambaye ni binadamu ambaye hata mimi naweza kumuuliza kama yeye ni mpenzi wako, Hakuna utata. Maana huyo mpenzi wako atanipa jibu la kwamba yeye ni mpenzi kwako.

Sasa hapa hakuna Imani wala utata wowote, kwamba huyo mpenzi wako ni wako kweli.

Kusema Mungu yupo asiye onekana bila uthibitisho wa kuonekana, Bali uthibitisho wa ki imani ni Uongo.

Maana kama Mungu yupo ange onekana yupo na kuthibitishika yupo, Angalau kwa namna fulani.

Sasa huyo Mungu unaye sema yupo Haonekani, Hashikiki, Hasikiki, kwa namna yeyote ile zaidi ya mawazo ya kufikirika na imaginations.

Mungu huyo Hayupo.
 
Ujue Biblia ilitumika katika kueneza ukoloni na utumwa barani Afrika. Nenda U-tube mtafute professor Patrick lumumba wa Kenya,"jinsi Biblia ilivyotumika kueneza utumwa"
Utumwa ulienezwa na Waarabu,Wazungu walikuja kutufumbua macho tu karibia Serikali zote hizi za Afrika asilimia 75% zilijengwa na Wazungu.Hata Bandari yetu ya Dar es Salaam ambayo DP World wanaikodolea macho ilijengwa na Mjerumani(Mzungu),Reli ya Kati ilijengwa na Mjerumani(Mzungu)Reli ya Kaskazini ilijengwa na Mwingereza(Mzungu)kwa hiyo Wazungu ni watu muhimu sana katika Maendeleo ya hii dunia.
 
Utumwa ulikwisha sababu baada ya industry revolution haikuwa efficient tena kuwa na watumwa wakati wangeweza kutumika kuzalisha malighafi wakiwa na illusion kwamba wapo huru...., by the way hata enzi za kina Yesu na Mohammed utumwa ulikuwa order of the day.., haya mambo yanabadilika kutokana na convenience ya watawala at any given time...,
Hapo kwenye industry revolution hivi ni nchi gani zilikuwa zinapitia hiyo hali? ilikuwa Europe na America na ndio nchi zinaongoza kwa watumwa mpaka leo watu weusi wamejaa huko sio bara ka waarabu, na nchi nyingi za kiarabu walikuwa mabedui tu hawana lolote wameanza kuendelea karibuni tu. Kwa hoja hii nani alikuwa ananunua watumwa hao, Je sio USA? mbona tunapindisha history makanisa haya yali support sana tu hii biashara maana ndio walikuwa wateja wakubwa.
 
Hao Watunisia na Walibya wanaozama kila siku kwenye Bahari ya Mediterania nao huchukuliwa na Wazungu ili wakawe Watumwa huko Ulaya?
 
Walioshinikiza kusitishwa kwa biashara ya utumwa ni wamishenari, na baada ya kusitishwa kwa biashara ya utumwa ni kanisa ndio liliwagomboa watumwa wote waliokuwa sokoni kwa kuwalipia!. Lile kanisa Mkunazini limejengwa mahali palipokuwa na soko la watumwa. Udhalimu wa Waarabu Zanzibar na Pemba: Ndugu zetu waliteswa, hasiwa, bakwa, na kuuawa kinyama
P
Ilikuwaje wamissionari wawe agents wa colonialism na hapo hapo waje wakomeshe utumwa? Babu zetu kwa Karne nyingi sana walisafiriahwa kwenda Marekani bila wamissionari kuingilia kati kivipi waje wawe ndio wakimaliza hii biashara haramu? Namuangaliaga tu Bagonza akijidai kukemea maovu serikalini wakati hajawahi wakemea wamissionari wenzake wa kijerumani waliowatesa na kunyonga wazee wetu kwenye mibuyu ya wajerumani Tanzania yote. Babu zetu wakiamka leo watatushangaa kwa tulivyowasaliti.
 
Msingi wa imani ni kutokuwa na uhakika, Ukweli hauendani na imani, Ukweli una endana na kujua, facts, proofs, evidences na Logic.
sasa tatizo la kuuliza facts,proof,evidences na logic kwenye imani ni la kwetu watu wa imani au la kwenu watu mnaoamini pia hakuna Mungu???
Kutoa mfano wa mpenzi wako ambaye ni binadamu ambaye hata mimi naweza kumuuliza kama yeye ni mpenzi wako, Hakuna utata. Maana huyo mpenzi wako atanipa jibu la kwamba yeye ni mpenzi kwako.
kumbuka hata swala la uwepo wa Mungu unatuuliza sisi,ambao pia tunaweza kukuyliza wewe.
Sasa hapa hakuna Imani wala utata wowote, kwamba huyo mpenzi wako ni wako kweli.
utata upo,maana dalili zote kwamba ni mpenzi wako unazoweza kutoa ni dalili zinazotegema imani tu kwamba OK hawa watakuwa wapenzi kwa dalili hizi.
Kusema Mungu yupo asiye onekana bila uthibitisho wa kuonekana, Bali uthibitisho wa ki imani ni Uongo.
huo hauwi uongo sababu hujawahi kumwona,unakuwa uongo kama kweli tu hayupo.
Maana kama Mungu yupo ange onekana yupo na kuthibitishika yupo, Angalau kwa namna fulani.
hata akili tunaamini unayo sababu tunaona matokeo yake tu,hakuna kifaa ktk mwili kinachojulikana kama AKILI,lakini si kwamba huna.
Sasa huyo Mungu unaye sema yupo Haonekani, Hashikiki, Hasikiki, kwa namna yeyote ile zaidi ya mawazo ya kufikirika na imaginations.

Mungu huyo Hayupo.
hawezi kuwa hayupo sababu humwoni.
hoja iwe Mungu hajawahi kuoenekana,basi matokeo ya nguvu zinazodaiwa ni zake zitolewe ufafanuzi na nyinyi watu wa kupinga,ili tujue kweli tunaamini kisivhokuwepo ambacho kilichopo ni hiki hapa.
sciense inakwenda vyema sana lakini kwenye chanzo cha maisha na uhai nayenyewe inabaki na imani tu wala sio facts.big bang etc.
 
Sote tunajua kuwa imani za dini (Ukristo na Uislam) vilikuwepo kabla ya utumwa. Umewahi kujiuliza wakati Waafrica wanauzwa kama Mbuzi kwenye masoko ya Ulaya, Marekani, Uarabuni, viongozi wa dini wa nchi hizo walikuwa wapi kupinga biashara hiyo, tena nchi kama Marekani watumwa wakilimishwa kwenye mashamba kwa uwazi kabisa? Jambo hili huwa najiuliza sipati majibu.

Kwa upande wa Tanzania, rasilimali zote nyeti zinamilikiwa na wawekezaji huku Watanzania wakibaki kama Watwana kwenye Maliasili zao. Madini yanachimbwa huku michanga ikibebwa na kupelekwa tusipojua, kilichomo humo hatujui, ndege kutoka Dubai inatua Loliondo na kuondoka, hivi tuna uhakika kama wanabeba wanyama hai? Vipi ule wimbo wa kwamba Tanzania iwe tayari kuelekea kwenye uchumi wa gesi ya Mtwara na Lindi, tena tunakaambiwa yatasambazwa mabomba ya gesi, kweli huo uchumi wa gesi tunauona?

Watanzania tusikubali kuingia kwenye mitego ya Wanasiasa, achaneni na propaganda za eti tusichanganye siasa na dini, viongozi wa dini zote, Waislam, Wakristo na dini nyingine, kemea mikataba mibovu. Tukiruhusu mikataba mibovu, vizazi vyetu bila kujali dini zetu vitaishia kuwa dereva bodaboda huku watoto wa kizungu wakitafuna urithi wetu.

Kwani mkuu aliyesaidia kuiharamisha biashara hili alikuwa na nani dhidi ya nani aliyekuwa kinara wa kuifanya.

Zingatia marekani na marekani kusini huko masalia ya tuliouWa huko wangalipo. Vipi waliopwlekwa uarabuni umewahi kuwaona wawili watatu masalia?

Au ulidhani wakifanywa maksai ni ng'ombe tu ndugu?
 
sasa tatizo la kuuliza facts,proof,evidences na logic kwenye imani ni la kwetu watu wa imani au la kwenu watu mnaoamini pia hakuna Mungu???

kumbuka hata swala la uwepo wa Mungu unatuuliza sisi,ambao pia tunaweza kukuyliza wewe.

utata upo,maana dalili zote kwamba ni mpenzi wako unazoweza kutoa ni dalili zinazotegema imani tu kwamba OK hawa watakuwa wapenzi kwa dalili hizi.

huo hauwi uongo sababu hujawahi kumwona,unakuwa uongo kama kweli tu hayupo.

hata akili tunaamini unayo sababu tunaona matokeo yake tu,hakuna kifaa ktk mwili kinachojulikana kama AKILI,lakini si kwamba huna.

hawezi kuwa hayupo sababu humwoni.
hoja iwe Mungu hajawahi kuoenekana,basi matokeo ya nguvu zinazodaiwa ni zake zitolewe ufafanuzi na nyinyi watu wa kupinga,ili tujue kweli tunaamini kisivhokuwepo ambacho kilichopo ni hiki hapa.
sciense inakwenda vyema sana lakini kwenye chanzo cha maisha na uhai nayenyewe inabaki na imani tu wala sio facts.big bang etc.
Kama unasema kwamba "Mungu hajawahi kuonekana"

Walio sema Mungu yupo, walifanya uchunguzi gani na utafiti upi waka gundua kwamba huyo Mungu hawezi kuonekana?

Walifahamu vipi kwanza huyo Mungu yupo?

Kisha wakaja na hitimisho kwamba huyo Mungu yupo ila hajawahi kuonekana?

Yaani wajue Mungu yupo, Halafu hapohapo waseme hajawahi kuonekana!!!

Huoni , Hoja ya uwepo wa huyo Mungu ni ndoto za kufikirika?
 
Sote tunajua kuwa imani za dini (Ukristo na Uislam) vilikuwepo kabla ya utumwa. Umewahi kujiuliza wakati Waafrica wanauzwa kama Mbuzi kwenye masoko ya Ulaya, Marekani, Uarabuni, viongozi wa dini wa nchi hizo walikuwa wapi kupinga biashara hiyo, tena nchi kama Marekani watumwa wakilimishwa kwenye mashamba kwa uwazi kabisa? Jambo hili huwa najiuliza sipati majibu.

Kwa upande wa Tanzania, rasilimali zote nyeti zinamilikiwa na wawekezaji huku Watanzania wakibaki kama Watwana kwenye Maliasili zao. Madini yanachimbwa huku michanga ikibebwa na kupelekwa tusipojua, kilichomo humo hatujui, ndege kutoka Dubai inatua Loliondo na kuondoka, hivi tuna uhakika kama wanabeba wanyama hai? Vipi ule wimbo wa kwamba Tanzania iwe tayari kuelekea kwenye uchumi wa gesi ya Mtwara na Lindi, tena tunakaambiwa yatasambazwa mabomba ya gesi, kweli huo uchumi wa gesi tunauona?

Watanzania tusikubali kuingia kwenye mitego ya Wanasiasa, achaneni na propaganda za eti tusichanganye siasa na dini, viongozi wa dini zote, Waislam, Wakristo na dini nyingine, kemea mikataba mibovu. Tukiruhusu mikataba mibovu, vizazi vyetu bila kujali dini zetu vitaishia kuwa dereva bodaboda huku watoto wa kizungu wakitafuna urithi wetu.
Ebu rudi kwenye historia ya biashara ya utumwa na nini kilifanyika hadi ikakoma. Chambua vile vile nafasi ya kila dini.
Anzia na alichoandika Pascal Mayalla
 
Hapo kwenye industry revolution hivi ni nchi gani zilikuwa zinapitia hiyo hali? ilikuwa Europe na America na ndio nchi zinaongoza kwa watumwa mpaka leo watu weusi wamejaa huko sio bara ka waarabu, na nchi nyingi za kiarabu walikuwa mabedui tu hawana lolote wameanza kuendelea karibuni tu. Kwa hoja hii nani alikuwa ananunua watumwa hao, Je sio USA? mbona tunapindisha history makanisa haya yali support sana tu hii biashara maana ndio walikuwa wateja wakubwa.
Hivi soko kubwa la watumwa lilikuwa wapi na walipelekwa huko ili wafanye nini ?

Hivi unadhani bila mashine na efficiency mpaka leo kungekuwa hakuna watumwa ? Watu wangejustify wanachofanya kwa Imani za Dini; Superior Races au necessary Evil lakini badala ya graders kufanya hizo kazi au mashamba ya miwa, pamba na soya wangekuwa ni Taifa lisilo na nguvu ndio watu wake wangefanya....

It's the Law of Nature..., Big Fish Eats Small Fish - Matsya Nyaya
 
Ilikuwaje wamissionari wawe agents wa colonialism na hapo hapo waje wakomeshe utumwa? Babu zetu kwa Karne nyingi sana walisafiriahwa kwenda Marekani bila wamissionari kuingilia kati kivipi waje wawe ndio wakimaliza hii biashara haramu?
Utumwa ulikuwepo toka enzi kuumbwa ulimwengu na Mungu aliruhusu, when the need of watumwa ilipokwisha due to industrial revolution, ni Wamishenari ndio liliwagomboa watumwa waliopo kwa kuwanunua na kuwaacha huru.

Pale soko la watumwa la Zanzibar, Mkunazini, ikatokea watumwa ni wengi, wamegombolewa na hawana pa kwenda, ndipo Anglican church wakaomba kuuziwa hilo eneo na kuendelea kuwahifadhi, watumwa wote waliokuwa gombolewa na Mission wakawa converted into Christian na ndio Wakristo wa Zanzibar!.
P
 
Back
Top Bottom