Kanisa katoliki huwezi litenganisha utumwa nenda bagamoyo kuna kanisa lililo jengwa likiwa na njia ya chini kwa chini mpaka ufukweni andaki hilo lilikuwa likipitasha watumwa,muarabu mzungu na watemi huwezi kuwatoa kwenye biashara ya utumwa
Babu Yako alikudanganya sana kwaiyo unataka uniambie hata wakati inajengwa Reli ya kati na mjeruman Babu zetu walifanya kazi kama vibarua kwa hiyari yao?